Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

[h=2]Re: Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde![/h]Pengine hii mada ingekuja vyengine, badala ya-nyie dada zetu chonde!- ikawa -nyie kaka (au na dada) zetu chonde!- tungeona response tafauti na hizi tulizoweka hapa. Ninaheshimu mawazo ya wote, lakini kila mara huwa ninapata tabu kuchangia pale "generalization" inapotumika. Tukiwachia dada zetu wanaopapatikia wazungu, je akina kaka wanapofanya hivyo, huwa sababu ni kwa sababu "mapenzi ya kidhungu?" au maslahi?

Kwa mawazo yangu sioni tafauti kubwa sana baina ya mapenzi na maslahi, nikimaanisha kuwa kuna - maslahi katika mapenzi na mapenzi katika maslahi-. Kwa hivyo, sioni ubaya kama mwanamke au mwanamume, awe Mwafrika au Mzungu, kuvutiwa na aliye tafauti naye, pengine kwa mapenzi ya dhati au kwa kutaka kujiridhisha tu na "myths" za Waafrika wako hivi, Wazungu wako vile.
 
@NN, You appear very interested in race matters and especially racism. In fact you are quite racist against both white and black people.
The hatred you harbour against people will leave you angry and bitter. In the end it will drive you insane and their misconceptions will be justified.
 
ubaguzi mpaka Mungu arudi, atueleze ilikuwaje akaweka watu wa kila rangi, na wengine wakawa bora kuliko wengine, mie nawachukia sana, na chuki ya wazungu imenipatia ofisini kabla ya hapo ilikuwa afadhali kidogo, najiuliza wana umuhimu gani kuja kufanya kazi na sisi kazi tunazoweza wazawa, na wanalipwa mara kumi ya sisi, khaaa hapa sijui nitawaelewa lini
 
@NN, You appear very interested in race matters and especially racism. In fact you are quite racist against both white and black people.
The hatred you harbour against people will leave you angry and bitter. In the end it will drive you insane and their misconceptions will be justified.

What's this mumbo-jumbo all about? Can you translate it?
 
Hua unabagua nini, nani, wakati gani?

Huwa nabagua watu ambao wako tofauti na mimi. Sehemu, muda, na wakati hutegemea na nipo wapi na ninafanya nini. Ila huwa sifanyi kwa makusudi. Ni jambo ambalo huwa najikuta tu nalifanya halafu najikosoa mwenyewe. Pia huwa sifanyi waziwazi.
 
Basi uache ubaguzi!!
 
95% ya dada zetu wa kibantu, mahusiano yao ya mapenzi iwe ni ya muda mfupi au mrefu na hata Ndoa ni kwa nia ya KUJIKIMU (subsistence relationship) na si kwa kumpenda mwenza, sishangai kwa mtizamo wao, kuwa kumpata Mzungu ni MAISHA PLUS!
 
Wazungu eti wanaamini wanawake wa kiafrica sio wahuni, ni waaminifu 100%. Na mwanamke wa kiafrica akisha olewa anakua mwaminifu na mtiifu kwa sababu ya hofu ya huyo mzungu, maana hajui akikasirika anakuwa na rangi ipi, asije akamfukia chini ya ardhi akiwa hai.

Kwa mtazamo wangu, mwanamke akitaka kuenjoy maisha yake ya ndoa, awe mvuilivu hadi apate jibaba lenye busara la kibantu. Atanenepa.
 
95% ya dada zetu wa kibantu, mahusiano yao ya mapenzi iwe ni ya muda mfupi au mrefu na hata Ndoa ni kwa nia ya KUJIKIMU (subsistence relationship) na si kwa kumpenda mwenza, sishangai kwa mtizamo wao, kuwa kumpata Mzungu ni MAISHA PLUS!
NAVUTA PUMZI KWANZA!!!
Nyie wakaka wa kibantu kwa aslimia hiyohiyo mnaboa sana na wadada wenu wanakaa na nyie basi tu wafanyeje!
 
I really do not understand kwanini tunajudge what people prefer..mbona most men wanapenda curvy women?do we to judge them kwasababu kuna a group of women who are not curvy?..come on!wanaume wangapi prefer white women hadi wengne wanatumia carolite ili wapendwe!.stop racism,.kama umempendea mwili wake na yeye pesa zako,then its a fair price!..aargh!.if you are materialistic,expect to get your type.
 
Back
Top Bottom