Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Haaahaaa! Hata leo baada ya utandawazi na baada ya watu kutapeliwa na wazungu kuliko hata wabongo wenzao? Well wazungu wako strategic. Wengi wakishazeeka wanatafuta nurses in Africa, kwa kuoa visichana vidogo viwe vinawakanda magoti sababu ya uzee kwa mshahara wa kwenda nao Ulaya.
 
Mzee, usisahau pia tupo dada zenu ambao tunaamini hakuna mapenzi ya kina na ya ukweli kama ya mwanaume wa kibantu despite all odds!
Nilimuuliza mdada ambae aliteswa sana na mume wa kitz the motive behind ya kusaka mzungu desperately (anajilipia gym colosseum hotel 500 $ kwa mwezi wakati hapo karibu kuna ya 80,000 tshs), jibu ni 'kuwa kibiashara zaidi', kwamba hata kama mateso na manyanyaso yapo lakini mkwanja unaeleweka. Tunawezaje kutofautisha 'mapenzi ya kina' na 'biashara ya mapenzi'
 
Huu usemi hauna ukweli kbs,sio wanaume wote wa kiafrika ni matapeli wapo wenye mapnz ya kweli pia,na hao wazungu co wote wana mapnz ya kweli wapo matapeli wa mapnz pia tena utapeli wao ni bora na ule wa wanaume wa kiafrika na mifano yao ni mingi ya walioumizwa kikatili na hao wazungu.
 
Wazungu gani mnaowazungumzia? Pink/white people or even brown/black people? Naomba tofauti maana wengine wapendelea brown au sijui wanawaitaga black men hata kama sio wa hapa kwetu.
 
Tatizo dada zetu ikiwa ngozi nyeupe tu basi hata kama fundi gereji hapa mjini au wale wanaofanya kazi na security groups kama walinzi:lol:, nadhani lengo lao watoe watoto mulato haijalishi anatokea Poland au Szeckslovakia kwakuwa wengi wao wakishazaa tu wanawapiga chini wale wazungu. Masikini ya mungu wazungu wanatumika kama sperm donors hapa mjini wadada wa bongo makatili sana!!!!!
 
Wazungu gani mnaowazungumzia? Pink/white people or even brown/black people? Naomba tofauti maana wengine wapendelea brown au sijui wanawaitaga black men hata kama sio wa hapa kwetu.

#**&@$*&$$$###%%=/""::~~~ :confused:
 
MMK, na hao jamaa huwa hawakawii 'kukaanga chapati', pengine hicho ndo wanachokipenda zaidi
 
Back
Top Bottom