Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,820
Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa.
Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo maji yangu ila ya kuuza yameisha, maji nayotoa mimi bure kabisa.
Sasa dada wa watu akashangaa kwani maji yanakuwaga na rangi kweli?
Eti maji ya rangi ndio yapi?
Eti mpenzi msomaji, maji ya rangi rangi ndio yapi hayo??