Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Mengi yaliyosemwa humu dhidi ya Wazungu, hayo hayo yakisemwa na Wazungu dhidi ya Waafrika watu watalia ubaguzi wa rangi!
Lakini ngoja kwanza. Waafrika siyo wabaguzi wa rangi. Waafrika hawana hata chembe ya ubaguzi katika nafsi zao. Waafrika ni wema sana. Kwa hiyo yote yaliyoongewa humu dhidi ya Wazungu ni ya ukweli 110%.
Unajua ubaguzi wenyewe ni subjective sana. ni rahisi kwa mwafrika kua susceptible baada ya utumwa na ukoloni, na mzungu anaweza asishtukie ubaguzi kama mwafrika...
E.g.:
you being black ukimwambia mtu mweusi: there is a white guy looking for you na
you being white ukamwambia mzungu: there is a black guy looking for you,
perception takua tofauti kidogo sababu ya history of how white communities used to consider black ones.
kwa hiyo hata concept ya ubaguzi ni relative. some express their opinions, some are being racists. lol
ila hii debate nadhani haiko mahala pake.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Ni kweli, mambo ya ubaguzi ni subjective kwani hata wale KKK hawajioni kama ni wabaguzi. Wenyewe wanajiita pro-white na si anti-black.

Hata black panthers nao siyo anti-white bali ni pro-black!
 
Toooobah!
Yashakuwa hayo?
Mbona na wababa nao wanatoka na marafiki zao wa kike, mara wa ofisini na wanapiga mitungi haswaaa ya kutosha!? Tena hujakutana na outing ya washkaji ya mkeo sasa, nae anatoka na 'washkaji' tena pombe na nyama choma kwa raha zao, saa sita usiku unamfungulia wife!

Hii ligi ya ndoa ingepewa madaraja na kombe! Lol!
pia mkewe
anaaga anaenda outing na shoga zake.... angalia blogs hata za kiswahili utaona hizo picha,
ati ladies night out...ingawa kuna "mashoga" wanaongozana nao.... no way bana...

...acha niwe mume mnoko, mswahili mswahili hivi...kama kutoka tutatoka sote...
hutaki, anza ....kaolewe na 'mzungu!'[/FONT][/SIZE][/COLOR]
 
Yaani mtu akisema ana prefer black iwe sawa na apongezwe lakini akisema ana prefer whites iwe kosa na abezwe!

Why?

Gai,

Kuhusu black sidhani kama kuna tatizo (preference is not an issue) kwani hao ndiyo default, labda mtu anaposema hawapendi. Na sababu za kutowapenda kwa kweli nyingi ni genuine....Ila kuhusu wahite, nimekwazika na sababu ambazo watu wanazitoa za kuhisi kuwapenda zaidi kuliko wale ambao walitegemewa kuwapenda!!

Babu DC
 
Babu sijakupata. Blacks ni default kivipi? Kwa mujibu wa nani? Siku hizi kuna Watanzania wengi tu ambao by the time wanafika kwenye umri wa kuingia kwenye mahisiano, wanakuwa yupo kwenye nafasi ambayo blacks sio default setting.

Tunapozungumza sehemu kama hii, tusisahau kuwa kuna akina hao pia.

Sielewi utanitegemea vipi kumpenda mtu kwa sababu ni black. That's racist
 
Je kupenda ntu kwa sababu ya mwonekano lake, si ubaguzi wa maumbile?
Kumpenda mtu sababu ya 'intelligence' yake si ubaguzi wa kiakili?
Je kumpenda mtu sababu ya mali si ubaguzi kwa wasio nacho?
 
...aarrghhh,

...kaka hebu ondoa kidogo hiyo political correctness bana... kila mmoja wetu nafsini mwake ni mbaguzi. Ubaguzi upo na utaendelea madhali tumetofautiana, hilo tutake tusitake, lakini katu "sitampisha mzungu kiti ati kwakuwa yeye mbora," NEVER...

Miafrika Ndivyo Tulivyo.

...sitajidhalilisha uafrika wangu sababu ya mental slavery waliyotujengea,...

Mengi yaliyosemwa humu dhidi ya Wazungu, hayo hayo yakisemwa na Wazungu dhidi ya Waafrika watu watalia ubaguzi wa rangi!

Lakini ngoja kwanza. Waafrika siyo wabaguzi wa rangi. Waafrika hawana hata chembe ya ubaguzi katika nafsi zao. Waafrika ni wema sana. Kwa hiyo yote yaliyoongewa humu dhidi ya Wazungu ni ya ukweli 110%.

Ni kweli, mambo ya ubaguzi ni subjective kwani hata wale KKK hawajioni kama ni wabaguzi. Wenyewe wanajiita pro-white na si anti-black.

Hata black panthers nao siyo anti-white bali ni pro-black!

​

Miafrika Ndivyo Tulivyo.
 
Yaani mtu akisema ana prefer black iwe sawa na apongezwe lakini akisema ana prefer whites iwe kosa na abezwe!

Why?

...Swali lako zuri, natamani ndio lingekuwa swali la msingi kwenye mjadala huu, kwani tayari hata maana imebadilika na majibu
yangekuja tofauti.

...jibu la hili, hakuna ubaya. Ni rangi ya ngozi tu...

ila kwa tafsiri yangu ( naamini na wengi) term "mzungu" ina maanisha incl. western culture compared na locals. It's all about perception and judgements, kufikiria nani mbora zaidi kuliko mwingine.
 
Toooobah!
Yashakuwa hayo?
Mbona na wababa nao wanatoka na marafiki zao wa kike, mara wa ofisini na wanapiga mitungi haswaaa ya kutosha!? Tena hujakutana na outing ya washkaji ya mkeo sasa, nae anatoka na 'washkaji' tena pombe na nyama choma kwa raha zao, saa sita usiku unamfungulia wife!

Hii ligi ya ndoa ingepewa madaraja na kombe! Lol!

....mdada, ni mambo ya mila na tamaduni tu...ukisema haya ni ukandamizaji wa mwanamke
ni sawa tu, lakini athari ya kujikubalisha jambo hilo 'kwa jamii husika' ni kubwa kuliko la mwanaume kutoka toka na marafiki zake.

...usinihoji sana, siwezi kukupa jibu zaidi ya hili kwani mimi si mmoja wa wanaorudi usiku wa manane...
mjadala wa hili labda tuufungulie thread nyingine.
 
...Swali lako zuri, natamani ndio lingekuwa swali la msingi kwenye mjadala huu, kwani tayari hata maana imebadilika na majibu
yangekuja tofauti.

...jibu la hili, hakuna ubaya. Ni rangi ya ngozi tu...

ila kwa tafsiri yangu ( naamini na wengi) term "mzungu" ina maanisha incl. western culture compared na locals. It's all about perception and judgements, kufikiria nani mbora zaidi kuliko mwingine.

Mtu kupendelea utamaduni wa West kuliko wa Kitanzania pia hakuna tatizo na wala hakumaanishi kuwa anadhani Mzungu ndio kiumbe bora.

Na ikiwa tutazungumzia kijumla, hata anaependelea Mweusi, basi ni kwa sababu anaona mweusi ni bora kuliko mwengine, ndio maana akawa na preference. Preference haiji tu iwapo vitu vyote ni sawa, lazima kimoja ni bora zaidi
 
Babu sijakupata. Blacks ni default kivipi? Kwa mujibu wa nani? Siku hizi kuna Watanzania wengi tu ambao by the time wanafika kwenye umri wa kuingia kwenye mahisiano, wanakuwa yupo kwenye nafasi ambayo blacks sio default setting.

Tunapozungumza sehemu kama hii, tusisahau kuwa kuna akina hao pia.

Sielewi utanitegemea vipi kumpenda mtu kwa sababu ni black. That's racist

Tatizo la siku nyingi ambalo nimekuwa naliona hapa ni kutaka kuwatazama Watanzania wote katika context ya watu wachache wa mjini.

Kwangu default inatokana na wingi wa watu ambao wanategemewa kuwa katika mahusiano ya black na black....In percentage naamini ni zaidi ya 99% in Africa. Kuwaongelea hawa sidhani kama ni kuwa mbaguzi..just talking of the reality!!

Hatutaki kuongelea kwa context ya watu wachache, lakini pia hao watu wachache sio wadharauliwe kama vile hawana haki ya kupenda wanaemtaka.

Wanategemewa na nani?

Hii kutegemea ndio inayowapa Waafrika kuwanyanyasa wanawake wa Kiafrika nje ya nchi, wanapo waona wanawapenda au wana date watu weupe. Kwa sababu walishazowea kusikia na hata kuamini kuwa kwa mtu mweusi ku date mtu mweusi ndio inavyotakiwa.

Hatuwezi tukaendeleza hii mentality kwa sababu athari zake si ndogo kama mnavyodhani
 
Sitaki na mie si mmoja wa watu wanaocriminalise watu wengine kwa sababu ya kuwa na mtazamo tofauti.

Kama vile ambavyo hao wachache hatutakiwi kuwanyanyapaa kwa sababu ya maamuzi yao, pia nao (hao wachache) wasituone sisi kama washamba sana au ambao tumepitwa na wakati kwa sababu tunashikilia mambo ya kizamani.....

Kama utafutilia mijadala mingi....hili suala linajitokeza sana. Kila mtu anataka kujiona ni bora kuliko mwenzake badala ya kukubaliana kutokukubaliana kwao katika baadhi ya mambo na kuangalia mambo ambayo wanaelewana/kukubaliana!

Babu DC!
 
MHH..Hii mada imenichangamsha akili.
Kuna wanaoona wazungu wako juu kwenye ma care...ati wana mkwanja wa kuhonga.
Kuna wanaolaumu kaka weusi kuwa hawajui kupenda, hawana mkwanja na kama wanao ni wabahili.LOL!
Ninaomba niweke sauti yangu na maoni yangu kama ifuatavyo:
1. WAZUNGU NA KUHONGA ZAWADI - Ni wazungu gani hao ukiacha vibabu vinavyokuja nchi maskini na kulipwa kwa fedha za kigeni wakati na huko kwao wana pensheni za kufa mtu.Kuwa na disposable income asiyoihitaji kiviile kwa maana hana wasiwasi na maisha yake ya baadae kama watz, hana extended family inayomsumbua, humfanye amudu kutoa penzi linalotegemea pesa. Pia mahusiano ya hawa wazungu na akina dada wengi yanajengwa kwa msingi wa kutegemeana. Nitafafanua kwa kutumia yale niliyoyaona na kuyasikia. Bahati nzuri nina marafiki wengi wazungu na tunaongea sana haya maswala.Wengi wanasema huko kwao wanajiskia wapweke, wameshatimiza malengo yao, wengine wameachana na wenza wao, wengine wamestaafu na hawataki tena kurudi kwao.Hivyo wanakuja kutaka kuishi in warm wheather na ku enjoy African experience, na huku wakiwa na kitu cha kufanya badala ya kwenda kulisha ndege na bata kwenye ponds huko kwao! Kuondoa upweke ni pamoja na kujipatia hao dada zetu, na wengi nao wako mawindoni kuuaga umaskini.Ukiangalia trend ya mahusiano baina ya wanaume/wanawake wa kizungu na waswahili utaona pattern fulani.Ni uhusiano wa kubadilishana kitu na utu, NIPE NIKUPE lol.

2. WAZUNGU NA CARE/LOVE - Kama nilivyosema hapo juu, in order to get care,and feel loved, you must be responsive.Uchache ukiwepo katika mahusiano hufunika mambo mengine yote. Watu wengi hujiskia kutaabika kwenye mahusiano pale changamoto za penzi zinapogongana na changamoto nyingine za maisha.Kumbuka when poverty strikes, love escapes through the window.Mwanamke anayetegemea zawadi kila mara for no excuse/reason at all, na huku mwanaume wake hanazo mfukoni, au hata kama anazo kuna mambo mengi anayoyafanya yenye kuhitaji pesa, hayo mapenzi na care atayasikia wapi?Matatizo na mapenzi haviivi.Ukiondoa au kupunguza matatizo, utaona penzi lililonyauka likipata nguvu mpya.

HITIMISHO - Hamna mwenye mapenzi zaidi - mweusi anaweza kuwa na mapenzi hata zaidi ya mzungu kutegemeana na mambo mbalimbali.Kama kila kitu kiko sawa, hata weusi wanaweza kupenda zaidi ya weupe/wazungu.Pia tamaduni zinachangia kuleta hisia za kupendwa sana au kutokupendwa vya kutosha kuna gestures ambazo ni za kawaida kwa utamaduni wa kizungu.Mfano kuletewa maua mume/bwana akitoka kazini au siku ya birthday yako au kumbukumbu nyinginezo. Mambo kama haya kwa vile siyo utamaduni wa kiafrika basi mwanamke wa kiafrika akifanyiwa huona mzungu anajua kupenda zaidi. Kumbe ni utamaduni mgeni tu.
 
...aarrghhh,

...kaka hebu ondoa kidogo hiyo political correctness bana... kila mmoja wetu nafsini mwake ni mbaguzi. Ubaguzi upo na utaendelea madhali tumetofautiana, hilo tutake tusitake, lakini katu "sitampisha mzungu kiti ati kwakuwa yeye mbora," NEVER...

Sina kabisa tatizo na watu wanaokiri ukweli. Wewe umesema kilicho cha kweli na kwa hilo nakupa heko! Watu wengi huwa hawako tayari kukiri hilo suala la ubaguzi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom