Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Ahsante Michelle,

Unajua nimeenda kitandani halafu nikakumbuka kuwa kuna mtu alisema kwamba Wazungu ni wakweli na waaminifu....

Hivi haya mambo ya forgery yameanzia Afriaka? Na kama ni waaminifu CCTV zilizoenea mitaani za kazi gani??

Babu DC!!

Umenikumbusha kile kipindi cha Cheaters, Jerry Springer Show na kingine cha baba mmoja detective yule,anawakamata sana!
Uaminifu ni tabia ya mtu japokuwa kuna sehemu wasio waaminifu wamezidi walio waaminifu....kazi kwao,kuchagua kiwafaacho....!
 
Ngoja nichokoze!

Kusema ukweli wanaume wengi wa kibantu wamekuwa wababaishaji kiasi kwamba wanawafanya hata wale ambao hawajajaribu za kizungu wanatamani kufanya hivyo. Hebu ifike wakati sasa wanaume wa kibantu muanze kuwakemea wenzenu wanaoharibu badala ya kuwasifia kuwa vidume!
Hahahahha hata mie najaribu kufikiria kama kuna tofauti kati yenu na wazungu. Sema tu in nature siwapendi tu wazungu!!!

Nafikiri haya ndo maneno ya kumaliza mjadala huu....japo ningefurahi zaidi ungewahi zaidi,ila pia nafurahi umetoa conclusion nzuri na way forward....Bless you MJ1!
 
Umenikumbusha kile kipindi cha Cheaters, Jerry Springer Show na kingine cha baba mmoja detective yule,anawakamata sana!
Uaminifu ni tabia ya mtu japokuwa kuna sehemu wasio waaminifu wamezidi walio waaminifu....kazi kwao,kuchagua kiwafaacho....!

...kwa mtazamo wangu, wengi wameathirika na sinema za kizungu kiasi cha
kufikiria in real life wazungu wapo hivyo hivyo...

...halafu, labda waje africa ndio utaona ma exec wazungu wanaoa dada zetu...huko
kwao nadra sana hawa white collar mates kuwakuta na weusi...majority wanaolewa na
blue collar (manual workers)...

...prejudices bado zipo, sawa na wanaume weusi ambao wakishafikia kauwezo fulani, na wao
wanatafuta bimbo [blonde, blue eyes 'doll'] wakusafishia jina...hebu mbu nitafute mpolish/ukraine mie..
warembo wa ulaya mashariki watulivu, wasikivu na wenyenyekevu kama wetu wa kinyumbani, maana
nishastukia dalili ya kutoswa hapa kwa kibabu cha kizungu.....

shida ugali ataweza?...lol...
 
Michelle,

Wengine ni akina Tomaso.. bila kutuwekea data kwamba Kenya kuna cheaters kuliko Tz au vice versa inakuwa ngumu kuelewa...

Hata hivyo hayo mambo mengine watu wanaiga iga kwenye luninga na blogs....Naomba tunapojaribu kuchanganya tamaduni zetu na za watu wengine basi twende taratibu taratibu...

Hivi kwa mfano Wamasai ambao wana mila ya kusimika mkuki utasema ni cheaters zaidi kuliko makabila mengine?? Wanyankole (kabila la Museveni wa Uganda) ambapo baba ndiye anayetangulia kutembea na mkamwana wake utawasemaje??

Au haya yote ni mnyukano wa 1947 na dot com??

Babu DC!!
 
Nafikiri haya ndo maneno ya kumaliza mjadala huu....japo ningefurahi zaidi ungewahi zaidi,ila pia nafurahi umetoa conclusion nzuri na way forward....Bless you MJ1!

Hahahahahahahah,

Hivi hawa weusi wameanza ubabaishaji leo hii au hata babu na baba zetu walikuwa hivyo??

Nadhani tunajitahidi kutumia vibaya exposure ya kuona wengine wanavyoishi, tena tukiwa tumeichungulia kwa juu juu bila kuingia aktika undani wa maisha yao.

Ndiyo maana mtu akiwa bongo anaona wahindi kama ni upper class wakati ukifika huko kwao unaishia kuwashangaa!!

Babu DC
 
...kwa mtazamo wangu, wengi wameathirika na sinema za kizungu kiasi cha
kufikiria in real life wazungu wapo hivyo hivyo...

...halafu, labda waje africa ndio utaona ma exec wazungu wanaoa dada zetu...huko
kwao nadra sana hawa white collar mates kuwakuta na weusi...majority wanaolewa na
blue collar (manual workers)...

...prejudices bado zipo, sawa na wanaume weusi ambao wakishafikia kauwezo fulani, na wao
wanatafuta bimbo [blonde, blue eyes 'doll'] wakusafishia jina...hebu mbu nitafute mpolish/ukraine mie..
warembo wa ulaya mashariki watulivu, wasikivu na wenyenyekevu kama wetu wa kinyumbani, maana
nishastukia dalili ya kutoswa hapa kwa kibabu cha kizungu.....

shida ugali ataweza?...lol...

Sinema kweli zinatuathiri sana, wapo wadada trust me wanaishi maisha ya Sex n the city....lol...nikiwacheki rafiki zangu nagundua nina almost kila character kwenye sex n the city na desperate housewives.....kazi sana...tuko kwenye transition, ni either watu wataacha kabisa uafrika wao wawe na tabia za kimagharibi au sijui,ila sioni uafrika ukiendelea kuwa dominant huko mbeleni.

Timiza wajibu wako Mbu wala kibabu cha kizungu hakitakupokonya....lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Michelle,

Wengine ni akina Tomaso.. bila kutuwekea data kwamba Kenya kuna cheaters kuliko Tz au vice versa inakuwa ngumu kuelewa...

Hata hivyo hayo mambo mengine watu wanaiga iga kwenye luninga na blogs....Naomba tunapojaribu kuchanganya tamaduni zetu na za watu wengine basi twende taratibu taratibu...

Hivi kwa mfano Wamasai ambao wana mila ya kusimika mkuki utasema ni cheaters zaidi kuliko makabila mengine?? Wanyankole (kabila la Museveni wa Uganda) ambapo baba ndiye anayetangulia kutembea na mkamwana wake utawasemaje??

Au haya yote ni mnyukano wa 1947 na dot com??

Babu DC!!

Babu DC, data sijawahi kuziona,binafsi na-observe mwenyewe tu...kweli kama kuna kitu kina nguvu kubwa ni blogs na luninga....nikiangalia watu kama kina Mange walivyoweza teka akili za wadada na kubadili mtazamo kuhusu wanaume weusi nashindwa kuelewa miaka 10 ijayo hali itakuwaje....na wanajitahidi kweli kuweka picha kila kukicha za jinsi walivyo na raha(sina hakika ndivyo ilivyo)!!

Siwezi sema wamasai wana cheat kuliko wahaya,nilicho na hakika, katika makabila yote kuna cheaters! Dot Com itanyuka 1947,IMO
 
Hahahahahahahah,

Hivi hawa weusi wameanza ubabaishaji leo hii au hata babu na baba zetu walikuwa hivyo??

Nadhani tunajitahidi kutumia vibaya exposure ya kuona wengine wanavyoishi, tena tukiwa tumeichungulia kwa juu juu bila kuingia aktika undani wa maisha yao.

Ndiyo maana mtu akiwa bongo anaona wahindi kama ni upper class wakati ukifika huko kwao unaishia kuwashangaa!!

Babu DC

Huo ndo ukweli, kuna vitabia vingi sana vya hawa watu hatuvijui na pengine tungevijua vizuri mtizamo wetu ungekuwa tofauti!
 
Sinema kweli zinatuathiri sana, wapo wadada trust me wanaishi maisha ya Sex n the city....lol...nikiwacheki rafiki zangu nagundua nina almost kila character kwenye sex n the city na desperate housewives.....kazi sana...tuko kwenye transition, ni either watu wataacha kabisa uafrika wao wawe na tabia za kimagharibi au sijui,ila sioni uafrika ukiendelea kuwa dominant huko mbeleni.

Timiza wajibu wako Mbu wala kibabu cha kizungu hakitakupokonya....lol

...utaendelea wapi ikiwa conservatives kina DC wanaonekana wana mambo ya kizamani?
kulikuwa kuna unyuzi hapa tuliufanyia maskhara, mume anarudi nyumbani akisukuma baiskeli,
lenye gunia la mkaa...mkononi kashikilia kuku.... mke aliyekuwa mkekani akisuka ukili na wenzake mbio
ananyanyuka kwenda mpokea!

...tunaukumbatia umagharibi ambao mume pamoja na house chores zote, pia mkewe
anaaga anaenda outing na shoga zake.... angalia blogs hata za kiswahili utaona hizo picha,
ati ladies night out...ingawa kuna "mashoga" wanaongozana nao.... no way bana...

...acha niwe mume mnoko, mswahili mswahili hivi...kama kutoka tutatoka sote...
hutaki, anza ....kaolewe na 'mzungu!'
 
Babu DC naomba uniruhusu kukujibu ninachoamini. Wanaume wa zamani hawakuwa na ubabaishaji unaofanywa na wa siku hizi. Hii ninaamini kwa kuwa wale wa zamani walifunzwa na wakaelewa maana ya mapenzi na mahusiano. Sisemi hawakuwa wakicheat la hasha, waliyatenda ya kutenda lakini kwa akili. Tofauti kabisa na hawa wa dot.com ambao viroja vyao vimepelekea hadi baadhi yao kuitwa wanaume suruali.
2. Exposure ambayo unasema tunaitumia vibaya nadhani haikuwepo kwa wamama zetu enzi hizo kiasi kwamba kama ingekuwepo na kama wababa wa enzi hizo wangekuwa kama wa sasa naamini tungeyashuhudia haya hata kwa kizazi chao.
 
Haya dada,

Inawezekana kwamba kweli vijana wa dot com wanaboa sana. Hata hivyo nadhani wadada anao wanakuwa na expections tofauti au over estimations za gains kwenye mahusiano kiasi kwamba wanakuwa wepesi kuwa disappointed!!

Enzi zile, kuna dada mmoja alinikimbia eti kisa ni kauli yangu kwamba siwezi kumhonga mwanamke yeyote duniani!!
 
Jamani kwa mtazamo wangu mimi, huwezi kunitoa kwa watanzania(waafrika). Nimeshakutana na changamoto nyingi sana kimapenzi na hawa hawa watanzania ila moyo yangu bado umetua kwao.

Inategemea na mwanamke/wanawake wanataka..binafsi hata kidogo tulichonacho ilimradi kuna amani na upendo unatawala maishani mwetu+mwanaume kujali familia , hilo ni shukrani tosha na inapokuja suala la maendeleo hapa siwezi kumwachia mwanaume mpaka akumbuke ila nitahakikisha tunachakarika wote.
Maisha pia ni mipango na hiyo mipango inabidi ipewe vipaumbele ambapo kwa kaka zetu ni mtihani mkubwa. Yes, kuwa na marafiki mnywe na kufurahia lakini mwisho wa siku inabidi ukae chini na kufikiria/kuvifanya na kuviendeleza. Sasa ku-balance hii ni tatizo sana mana starehe zinachanganya vijana wengi.

Suala la kucheat hilo halina race, wote ni mule mule. Kwa ujuzi wa machache, ile mizungu mingi ni mikweli yaani ''excitement' ya mapenzi ikiisha imeisha laa kwa kaka zetu wengi tunarundikwa wengi hana hofu. Pia exeptions hazikosekani kwa hizi jamii mbili kwenye hili suala.
 
Babu DC naomba uniruhusu kukujibu ninachoamini. Wanaume wa zamani hawakuwa na ubabaishaji unaofanywa na wa siku hizi. Hii ninaamini kwa kuwa wale wa zamani walifunzwa na wakaelewa maana ya mapenzi na mahusiano. Sisemi hawakuwa wakicheat la hasha, waliyatenda ya kutenda lakini kwa akili. Tofauti kabisa na hawa wa dot.com ambao viroja vyao vimepelekea hadi baadhi yao kuitwa wanaume suruali.
2. Exposure ambayo unasema tunaitumia vibaya nadhani haikuwepo kwa wamama zetu enzi hizo kiasi kwamba kama ingekuwepo na kama wababa wa enzi hizo wangekuwa kama wa sasa naamini tungeyashuhudia haya hata kwa kizazi chao.

Umelonga mj1, mambo ya jandoni kuyaongelea siku hizi utaonekana hamnazo...lakini ni nani anawafundisha vijana sasa?...nikiri tu vijana wa leo wamekuwa wajuaji tena wabishi mno na kuangusha taasisi ya ubaba tz...wazungu...wamebadili tu style kutokana na hali ya dunia(maradhi) sasa wanawaweka vinyumba binti zetu ili wawachezee (udadisi) kwa nafasi na usalama...hivi vibabu dc vya ulaya ujana wao vilitumia na nani..vitajawafia bure...
 
Jamani kwa mtazamo wangu mimi, huwezi kunitoa kwa watanzania(waafrika). Nimeshakutana na changamoto nyingi sana kimapenzi na hawa hawa watanzania ila moyo yangu bado umetua kwao.

Inategemea na mwanamke/wanawake wanataka..binafsi hata kidogo tulichonacho ilimradi kuna amani na upendo unatawala maishani mwetu+mwanaume kujali familia , hilo ni shukrani tosha na inapokuja suala la maendeleo hapa siwezi kumwachia mwanaume mpaka akumbuke ila nitahakikisha tunachakarika wote.
Maisha pia ni mipango na hiyo mipango inabidi ipewe vipaumbele ambapo kwa kaka zetu ni mtihani mkubwa. Yes, kuwa na marafiki mnywe na kufurahia lakini mwisho wa siku inabidi ukae chini na kufikiria/kuvifanya na kuviendeleza. Sasa ku-balance hii ni tatizo sana mana starehe zinachanganya vijana wengi.

Suala la kucheat hilo halina race, wote ni mule mule. Kwa ujuzi wa machache, ile mizungu mingi ni mikweli yaani ''excitement' ya mapenzi ikiisha imeisha laa kwa kaka zetu wengi tunarundikwa wengi hana hofu. Pia exeptions hazikosekani kwa hizi jamii mbili kwenye hili suala.

Well said/written Belinda....! Nafurahi nawe umeliona na kusisitiza hilo!
BTW: Hongereni kwa juzi mtani wangu....AW,alituuza bwana....!
 
Thanks mumie..muhimu kusisitiza hawa ndugu zetu maana maisha yenyewe ndiyo haya!
Aisee..Pole mana nilikuhurumia sana festiledi wa Gunners..!Ushindi ule ulikuwa muhimu kwetu,nilifurahi mbayaa!
 
Shemeji shemeji nazima taaaaaaaaa aaaaa
wakisikia mpwa haya dada tutawananii wenyewe??
 
Thanks mumie..muhimu kusisitiza hawa ndugu zetu maana maisha yenyewe ndiyo haya!
Aisee..Pole mana nilikuhurumia sana festiledi wa Gunners..!Ushindi ule ulikuwa muhimu kwetu,nilifurahi mbayaa!

Lol, kiliniuma sana,nilitarajia hali itakuwa tofauti....mjitahid basi,manake nanyi hamtabiriki siku hizi...haya,usiku mwema,see you!
 
Kwani Mungu aliumba moyo wa kidhungu na wa kiafrika? Nachoamini ni kuwa feelings, emotions, passion nakadhalika vinaathiriwa na mazingira! uzungu ni rangi tu, labda kama wadada zetu wanataka kutuongezea kizazi cha mashombe (point 5) ntawaelewa sana tena saaaaaaanaa ila sio kwa sababu ya malavidavi..xoxoxo
 
Mengi yaliyosemwa humu dhidi ya Wazungu, hayo hayo yakisemwa na Wazungu dhidi ya Waafrika watu watalia ubaguzi wa rangi!

Lakini ngoja kwanza. Waafrika siyo wabaguzi wa rangi. Waafrika hawana hata chembe ya ubaguzi katika nafsi zao. Waafrika ni wema sana. Kwa hiyo yote yaliyoongewa humu dhidi ya Wazungu ni ya ukweli 110%.
 
Back
Top Bottom