Mshaurini na nyie mie nimekosa busara

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
622
1,642
Iko hivi, kuna mdau amenifata akanieleza juu ya mahusuano yake na mwanamke wake.

Aligombana na huyo dada ikafikia akaachwa, tena akaambiwa ana mtu mpya anaempenda sana. Jamaa akakausha ila baada ya siku mbili yule dada akamtafuta jamaa wakarudiana lakini jamaa akawa hajali tena kuhusu yule dada kama hapo mwanzo, awali alikuwa anamhudumia kuanzia kula mpaka kuvaa , kwa kifupi alikuwa kama baba kwa mtoto under 12. Baada ya kurudiana akaamua kumfanya yule dada kama lose ball tu ama punching bag ya mazoezi ya kirumi na akakata huduma.

Anadai ikafikia kipindi akawa hana time sana na yule dada kiasi akawa haombi hata mzigo tena.

Yule dada akaanza kumlalamikia jamaa mbona siku hizi hali mzigo na hata dada mwenyewe akisema anataka jamaa anatafuta sababu ya ku cancel.

Kwa hofu jamaa akahisi labda dada mgonjwa akamchukua ANGAZA akampima akawa -ve.

Sasa anajiuliza kama huyu dada alidiriki kusema amepata mpenzi mpya na jamaa kafatilia kakuta ni kweli kinachomfanya huyu dada kumlalamikia jamaa hataki kumbaruza ni nini wakati anaweza kwenda kwa boy wake.
 
Mpendwa Candela,

Mapenzi ni hisia. Kama bado mnapendana endeleeni lakini ni vigumu sana kuwa na uhusiano mzuri kama mwanzo.

Ni sawa na gundi, ukiibandua haiwezi kunasa vizuri tena. Ningekushauri uachane naye, ila inaonekana bado unamhitaji, and it's okay.

Muache akufundishe kwa vitendo ili wakati mwingine usijekurudia tena.

Wasalaam.
 
Iko hivi, kuna mdau amenifata akanieleza juu ya mahusuano yake na mwanamke wake.

Aligombana na huyo dada ikafikia akaachwa, tena akaambiwa ana mtu mpya anaempenda sana. Jamaa akakausha ila baada ya siku mbili yule dada akamtafuta jamaa wakarudiana lakini jamaa akawa hajali tena kuhusu yule dada kama hapo mwanzo, awali alikuwa anamhudumia kuanzia kula mpaka kuvaa , kwa kifupi alikuwa kama baba kwa mtoto under 12. Baada ya kurudiana akaamua kumfanya yule dada kama lose ball tu ama punching bag ya mazoezi ya kirumi na akakata huduma.
Anadai ikafikia kipindi akawa hana time sana na yule dada kiasi akawa haombi hata mzigo tena. Yule dada akaanza kumlalamikia jamaa mbona siku hizi hali mzigo na hata dada mwenyewe akisema anataka jamaa anatafuta sababu ya ku cancel.
Kwa hofu jamaa akahisi labda dada mgonjwa akamchukua ANGAZA akampima akawa -ve.

Sasa anajiuliza kama huyu dada alidiriki kusema amepata mpenzi mpya na jamaa kafatilia kakuta ni kweli kinachomfanya huyu dada kumlalamikia jamaa hataki kumbaruza ni nini wakati anaweza kwenda kwa boy wake.
Mwambie Jamaa ashikilie hapohapo, asiachie
 
Wanawake wajinga sana mkuu yaan daaa
 
azingatie kauli ya kutomzingatia mwanamke ili awe na amani na furaha ya maisha.
 
Back
Top Bottom