Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Mi ni chuo kikuu kwa kweli....haaaaaaa,Mungu tujalie tu tuweze kumudu kuwa JF.....!
Mi nimesoma kuna watu wamesema from their experience na observation kwa watu wanao wajua: wameona White men are better lovers than black men in many aspect. Hakuna alie sema they are perfect, they said they are better. In their critera. Sasa who are we to challenge that? This alone ni somo tayari.
 
Baada ya utafiti mrefu (participatory research)
Nimerudi kusema kua hao wadada wanajidanganya. lol
 
Mimi pia naprefer mzungu.....sio kwa sababu za kiuchumi au mulato kids bali ni mtizamo wao katika relationship, akikupenda atakupenda whole heartedly hapa simaanishi kibabu. Wanaume wa Kiafrika wengi wao kwa kweli wanaboa wale wenye mtizamo wa relationship ambayo ninaoitaka mimi ni wachache!
 
Ni kweli, wanajitahidi sana kuwa wakweli kwenye relationship, wanaheshimu GF wao na kuwajali, hakikisha awe ni real guy kweli, wengine ni mapimp wanakuja kutafuta watu wa kuwauza kwenye madanguro yao huko Ulaya, wanalaghai watu na kuwapeleka ulaya nasikia hata uarabuni kwa business za madanguro, make sure Ubalozi wa Nchi yako huko uliko wanatambua uwepo wako kwenye hiyo nchi ngeni iliukipata tatizo balozi wako wa Tz kwenye hiyo nchi aweze kukusaidia kurudi nyumbani or kufuatilia matatizo yako
 
haya wengine wanasema poa. je, utamu vipi? kuna dada yangu amekuwa kichaa ndani ya miezi 2 tu amesha toa mimba ya mzungu sijui hata alipima au la!
 
Mtoa mada hii ana upendeleo fulani at "Eti Wazungu- nyie dada zetu chondeni..." ina maana gani hii sentensi? Tatizo ni nini hapo ambalo linahitaji utatuzi? Kuwa na mahusiano au hata kuoana na Mzungu kuna kosa? na ikiwa na mtu mwenye utaifa mwingine je?

Nadhani mapenzi hayachagui isipokuwa kuna kasumba ya mawazo finyu imewakamata watu wengi wake kwa waume kudhani Wazungu kama sio watu kamili. Kila mwanadamu ana changamoto zake bila kujali rangi ya mwili lakini ukweli utabaki kuwa Wazungu wengi wawazi zaidi kuliko watu weusi pia wanajua umuhimu wa mawasiliano katika uhusiano. Nimeolewa na mzungu sio kwa sababu ingine isipokuwa mapenzi tu na sio kitu nimewahi kuwazia maishani kabla nilidate Msukuma na nilidhani tungekuwa pamoja mana nilimpenda sana lakini akanitenda muda wote tukiwa pamoja sikuwahi kujua kaoa mpaka mwishowe alipotaka kunitosa. Ila angekuwa mzungu angesema kama ameoa na hivyo nijue kuwa nipo nae kwa muda tu!

Wazungu watu pia jamani, wengine wanafikia kusema mambo machafu kabisa kuhusu wazungu lakini hakuna weusi ambao pia wana mambo yao ya ajabu?

Stop being insecure about white people, they are people too just like you and if you see a woman dating a white man don't be jealous except find yours if you want to.
 
Wapo dada zetu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mapenzi ya kweli na ya kina kama ya na mzungu.

ukiona hivyo kuna sababu tujiulize mbona wansema hivyo? na mbona sijawasikia wanaume weusi wakisema wanawake wa kizungu wana mapenzi wanaume wetu wao wanasifia wanawake weusi ni black beauty so kila kitu kina sababutuangalie tabia zetu kwa kina sana. ukiona binti amelelewa maisha ya kumuona mwanaume au wanaume waliomzunguka si waaminifu basi anaweza kudhani wazungu ni angels
 
Kinyume kinyume, na wazungu wa kiume wanaamini kwamba wanawake weusi wana mapenzi haswaa!

Ila nahisi kuna aina fulani ya unyanyasaji! Namaanisha kwamba upande mmoja utakuwa juu ya mwingine interms of orders!

Wazungu wanaoa weusi kupunguza purukushani ndoani!

Wapo dada zetu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mapenzi ya kweli na ya kina kama ya na mzungu.
 
Back
Top Bottom