Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

Aisee huyu dada wa Mgahawa amezidi sasa

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
13,145
Reaction score
25,800
Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...

Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..

Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.
 
Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dra analicuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..

Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.
 
Attachments

  • 1784189035002_1.jpg
    1784189035002_1.jpg
    46.7 KB · Views: 5
Kwani 'wadada wa mgahawani' wana shida gani mpaka usile?
Kwenye ABC usisahau kutembea na C lakini.
Yule kanikosha tu, hawana shida...
Itanibidi tu kwakweli just in case.. Sio kwa mkia ule, yaani upo kwenye imagination rent free
 
Kuna dada wa mgahawa X huwa anapenda sana kunichangamkia ila jana ndo nilijua ya kuwa ameshindlia wezele.. Aisee ana mkia, her butty is on another level...

Jana kavaa dera flani hivi matata, alaf akawa akiingia ndani kuhudumia watu anakuwa ananitupia jicho fulani hivi then lile dera analivuta kwa mbele makusudi, aisee tako wazi wazi...,alaf nilivyomaliza kula na kumpa cash akaniambia "utanila lini na mimi si huwa mnasema mnakula mpaka mpishi?" nilidinda bila kupenda..

Ndugu zangu sisi wanaume tunapitia mengi sana... Wanawake wa namna ile huwa wanajua weakness zetu kwa kweli, nilisha apa kabisa kula wanawake wa mgahawani Hapana kwa kweli, ila huyu nahisi nitaingia dhambini.
Tomber wewe bwana ata mfalme sulemani alishasema kuwa burudani ya mwanaume ni wanawake
 
Back
Top Bottom