Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

kwa kuwa humu wanafagiliwa wanaume wazungu nafikiri hii inahusu pia
mzungu wa Halle Berry....

[h=1]Halle Berry’s Ex Gabriel Aubry Investigated for Child Endangerment[/h]https://www.jamiiforums.com/https://www.jamiiforums.com/
Email 7 Smaller Font Text Larger Text | Print

gty_aubry_berry_jef_120123_wblog.jpg
(Kevin Mazur/WireImage/Getty Images)

Actress Halle Berry is taking Gabriel Aubry, her ex-boyfriend and the father of her only child, to court over charges of child endangerment and battery.
The incident involves the couple’s 3-year-old daughter, Nahla, and her nanny, according to a Los Angeles Police Department report obtained by TMZ.
According to TMZ, the altercation started after Aubry decided not to take the child to school. The nanny, who works for both parents, went to school to pick Nahla up and found out she had not gone to school.
After going to Aubry’s house to pick Nahla up, the nanny asked him why he did not take her to school. In a rage, Aubry cursed at the nanny and pushed her out of the door while she was holding the Nahla, TMZ cites the report as stating.
The nanny filed a police report afterward. The police report, according to TMZ, documents Aubry as saying “”You’re the f**king nanny. Who do you think you are? You are a nobody. You don’t need to f**king know anything.”
“According to her, he went off. He just flew off the handle, started screaming at her in front of the child,” TMZ’s Harvey Levin told ABC News.
Law enforcement officials are investigating child endangerment and battery. Child protective services is also investigating child endangerment.
“Halle Berry is going to court trying to block Gabriel from even seeing the child while all of this is going on,” Levin said.
“people who have been around Halle Berry say she’s a great mom,” Levin said. “There are people who say that Gabriel has a temper and flies off the handle. There are others show say they’ve seen him with the kid and that he’s very loving, so it really does depend on who you talk to.”
Reps for Berry and Aubry didn’t respond to requests for comment from ABC News.
Berry, 45, reportedly became engaged to French actor Olivier Martinez earlier this month. It will be her third marriage.
 
Mchelle,

Hii thread sijaweza kuielewa na kila ninalojaribu ili nielewa naishia kutoka kapa!!

Mweeeeeeeeee.......Ngoja niendelee kuomboleza kwa kuzipotenza enzi zetu za 1947!!

Hivi bibi au mama yangu huko Kitwechenkula hakuwahi kupata mapenzi ya kweli hadi afikirie kuyapata kwa mnyamahanga tena kutoa ng'ambo ya bahari???

Kwa herini....naende kupata usingizi kidogo!!

Babu DC!!

Mapenzi ya kweli yapo Babu DC kama ya miaka 1947, na hayapatikani kwa rangi ya mtu...au alikozaliwa na kukulia au uwezo wake wa kifedha....kuna kuchanganyikiwa na uwepo wa alternatives kunakofanya baadhi ya wadada walenge kuwa na watu fulani.

Mapumziko mema.
 
@babu DC
hata mie nashangaa mtu anaposifu mzungu kwa zawadi
staili ya maisha yao na yetu ni tofauti.
Wao kwa mtoto kumkopesha mzazi wake hawashangai
sie huku ni laana.

Tena ukute wee ndo umetoka kwenye familia ndo usiseme.
Priority zetu zinatofautiana.

Kitu kingine, mapenzi ya wazungu yakiisha ndo basi
utaolewa na wangapi?
Bora huku, baba shoma akichoka atalambua mtaani kwa akili mama shoma hajui
kipindi cha mpito kikiisha ndoa kama kawaida

sorry kwa hili, jamani wazungu wakizeeka, ile ngozi yao, Mungu nisamehe, i can't stand that.
 
Binafsi siwajui wazungu na kwa maana hiyo siwezi kusema lolote kuwahusu....

Ila kinachonishangaza sana hizi sababu za mtu kumchagua mzungu dhidi ya mweusi au Mhindi!!

Anyway.....Namshukuru Mungu nimeshapita huko vinginevyo somo halieleweki kabisa!!
 
Mapenzi ya kweli yapo Babu DC kama ya miaka 1947, na hayapatikani kwa rangi ya mtu...au alikozaliwa na kukulia au uwezo wake wa kifedha....kuna kuchanganyikiwa na uwepo wa alternatives kunakofanya baadhi ya wadada walenge kuwa na watu fulani.

Mapumziko mema.

Ahsante Michelle,

Unajua nimeenda kitandani halafu nikakumbuka kuwa kuna mtu alisema kwamba Wazungu ni wakweli na waaminifu....

Hivi haya mambo ya forgery yameanzia Afriaka? Na kama ni waaminifu CCTV zilizoenea mitaani za kazi gani??

Babu DC!!
 
Ngoja nichokoze!

Kusema ukweli wanaume wengi wa kibantu wamekuwa wababaishaji kiasi kwamba wanawafanya hata wale ambao hawajajaribu za kizungu wanatamani kufanya hivyo. Hebu ifike wakati sasa wanaume wa kibantu muanze kuwakemea wenzenu wanaoharibu badala ya kuwasifia kuwa vidume!
Hahahahha hata mie najaribu kufikiria kama kuna tofauti kati yenu na wazungu. Sema tu in nature siwapendi tu wazungu!!!
 
unaanzisha somo lingine kabisaa
wabantu wababaishaji?
je nilotic ambao ni waafrika pia?lol
 
Utaambiwa camera ni za usalama wa nchi si mapenzi.

Mie wananiudhi kuoana na kuachana kama njugu.

Ahsante Michelle,

Unajua nimeenda kitandani halafu nikakumbuka kuwa kuna mtu alisema kwamba Wazungu ni wakweli na waaminifu....

Hivi haya mambo ya forgery yameanzia Afriaka? Na kama ni waaminifu CCTV zilizoenea mitaani za kazi gani??

Babu DC!!
 
@babu DC
Kitu kingine, mapenzi ya wazungu yakiisha ndo basi
utaolewa na wangapi?
Bora huku, baba shoma akichoka atalambua mtaani kwa akili mama shoma hajui
kipindi cha mpito kikiisha ndoa kama kawaida

sorry kwa hili, jamani wazungu wakizeeka, ile ngozi yao, Mungu nisamehe, i can't stand that.

Kongosho, ma maradhi haya?? ni bora nikampata yule ambaye mapenzi yakiisha anambie kuliko atakayenichanganya na hao wengine. Sijui kwa nini lakini ninaamini kabisa nikiwa single nina uhakika wa asilimia 99.9 wa kujikinga na maradhi yatokanayo na ngono kuliko nikiwa na mwenzi mwenye nyanja nyingi aisee.

Kwa hili nitramchagua mzungu kama hakuna option nyingine kusema ukweli!
 
hii mada inafaa u-turn kule kwa wake za wazungu, utapata majibu fasaha.
 
dah, mapenzi sio siasa mbu, kubadilisha jambo mpaka lipitie mlolongo mrefu. Siku zote ukijifanya dhaifu mbele ya yoyote awe mzungu au mwafrica lazima utadharauliwa. Hata kama wametuzidi kimaendeleo, kitechnology, vyovyote kumbuka kwenye mapenzi ni mimi na yeye. Na uzuri wenzetu hawana mambo ya extended families, ukioldwa wajomba mashangazi wote waje kulundikana hapo. Ni wapi hao ndugu zake watapata nafasi ya kuninyanyapaa? Kama huyo mzungu ataniheshimu na kunithamini hata watu wake wa karibu watafanya hvyo.

...inategemea na mtapoishi dear, kama maisha yenyewe ni ughaibuni...jiandae x-mas ndio mtembelewe na
ndugu wa mume, na uzeeni jiandae kumtembelea nursing home!

extended family
mnaweza dharau kipindi cha raha, lakini kipindi cha misiba na upweke
ina manufaa yake.

Hlf mbona unawaponda sana? Hebu taja na mazuri yao basi maana wangekuwa wabaya wote nafikiri ngozi nyeusi zote zingekuwa zisharudi kwao.

...hamna zuri lao moja ninaloweza wasifia aisee...naishi nao kisanii tu
am sorry:A S embarassed:
 
MJ1, kuna umri mwanamke ukifika hutaki tena kubadili mwanamme.
Na hiyo stail ya kizungu ya kuachana kama njugu unachoka sana.

yaani kuna muda hutaki kuona kiumbe yeyote zaidi ya huyo aliyepo tu.
Magonjwa yapo tu, waweza kufa hata kwa kansa ya kizazi.

Ukimwi mnaelimishana
unadhani hata kama bado mnapendana kama yai na kuku hawali nje.

Kama mwenza anajitambua atatumia kinga

Kongosho, ma maradhi haya?? ni bora nikampata yule ambaye mapenzi yakiisha anambie kuliko atakayenichanganya na hao wengine. Sijui kwa nini lakini ninaamini kabisa nikiwa single nina uhakika wa asilimia 99.9 wa kujikinga na maradhi yatokanayo na ngono kuliko nikiwa na mwenzi mwenye nyanja nyingi aisee.

Kwa hili nitramchagua mzungu kama hakuna option nyingine kusema ukweli!
 
Kongosho, ma maradhi haya?? ni bora nikampata yule ambaye mapenzi yakiisha anambie kuliko atakayenichanganya na hao wengine. Sijui kwa nini lakini ninaamini kabisa nikiwa single nina uhakika wa asilimia 99.9 wa kujikinga na maradhi yatokanayo na ngono kuliko nikiwa na mwenzi mwenye nyanja nyingi aisee.

Kwa hili nitramchagua mzungu kama hakuna option nyingine kusema ukweli!

...lol....soulmate sijakusoma hapo bado...

hivi nyie kina dada zetu,....mshawahi kusikia swingers, open relationship na mazaga zaga mengine
kibao? mnaposema wazungu hawana kuchanganya...siwaelewi!

...mwanaume wa kibantu mwambie hayo mambo ya orgy (group sex) na mkewe uone kisago chake, lakini hawa
wenzetu kwao ruksa....wana practice sana hizi swingers party
...wana ma 'fetish' ya ajabu ajabu sana watu hawa, submission, cross dressing na balaa nyingine kibao....halafu asubuhi unawaona na suti zao na briefcases wa maana!

Hahahha u turners wapi? Wanawake wengi wanadanganyika na hizi blog zilizozagaa kama upupu kuonyesha kwamba maisha ni kuwa na mzungu. Uliza wao wenyewe waliwapata vipi hao wazungu? Je wanawathamini kama mke au wanawapenda kwa vile ni chombo cha matumizi. Wazungu hawana tofauti na binadamu wengine wana mapungufu lakini inawezekana pungufu lao kubwa ni kuwageuza wanawake wa kiafrika kama chombo cha matumizi nao wanawake wakidhani ndio mapenzi kutwa kutangaza maisha yao nimepewa hiki nimepewa kile naishi hivi naishi vile bla bla. sasa wadada wengi wakisoma wanaona ndio maisha matokeo yake wao ni wazungu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....hahahah chonde chonde kweli kina dada mtaumizwa au mnaumizwa na hawa mijusi ajisemea fudenge(msemo wa utotoni hahahha!! eti unaficha jina la mtu kwa kutumia neno fudenge sijui maana yake nini???)
 
yaani hii thread alienishangaza kuliko wote ni Kaizer...

siku zote mimi na DC....na Fazaa....tunapata tabu kujitetea hapa
while Kaizer umejikunyata....tu why?.....lol

sasa leo ndo umefunguka au??????

Dah,,,

The Boss hujajue niemchekaje hapa lol

Kimsingi sio kuwa najikunyata...huwa 'napitwa' au nakuwa sina time kabisa wakati kukiwa na vitu kama ivo...otherwise next time sijui niweke RSS ya sredi za aina hii? LOL

Halafu, EW anakutafuta kule chit chat ameshindwa kukuambia personaly
 
Back
Top Bottom