Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,545
Hapana Mwali, unfortunately not. Nafanania?
one thing tunakubaliana hapo kuwa social construction inashape hata mentality, then hapo tutakuwa tunazunguzmia sasa jamii as a whole na sio RACE. Ndio maana 'wazungu' kama jamii ina 'values, beliefs na norms' zao significantly different na za siye 'weusi' katika maana hiyo hiyo.
Na 'kushape mentality' kuna maana pia ya kuaccept, through the same social construction, kwamba hiki kinakubalika kijamii fulani katika muktadha fulani. Mfano kiafrika siye tunaweza kukubali polygamy ambapo kizungu hiyo ni cheating. Yaani mzungu haelewi inakuwaje mtu awe na zaidi ya 'mke' mmoja, ila 'kibongobongo' hiyo poa tu. Sasa hapo ina maana mentality ya wanawake wengi wa kiafrika imekwua shaped with that construction, wakati wanawake wa kizungu kwao hiyo haipo kabisa.
You are very smart...i like the way you explained it from a sociological point of view....nimesahau kuna kitabu cha Race nilikisoma kilikuwa na maelezo mazuri sana kuhusu social institutions,constructions,race na ethnicity...i have to review my readings nimtumie twin sisy wangu Mwali.