Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Mambo FL1? By the way hakuan wazungu wa kike? wanabehave vipi...kama vipi nije kumfanyia experimentation mmoja?:A S-coffee:

:biggrin: wapo wapo ila nadhani wanagawiana wenyewe kwa wenyewe ..maana kuna mmoja alitongozwa na mbongo akaenda kushitaki utawala ....,Kaizer wewe unaweza kushitakiwa police
 
Hapo bold, una uhakika kua wanawake wanaona poa tu? wangekua wanaona poa mbona wangeridhika na 'wabongo' wenzao?
But this is another debate nadhani
.

Exactly...halafu mbona sioni kikombe cha chai Mwali..:A S-coffee:

Mwali, hapa sidhani kama tunazungumzia UHAKIKA in the strict sense...tunaangalia kwa ujumla hii hali 'inakubalika' au la...sasa pia ukumbuke hapa lazima tuwatoe wale a 'few elites' ambao 'wameliona jua' lakini ukivuta historia, utaona kuwa polygamy inakubalika zaidi kiafrika kuliko uzunguni kijamii as a whole na sio kwa rangi. So, kujibu swali lako hapa siwazungumzii wale ambao kwa mujibu wa analysis yako hapa chini wamevuka 'social economic barries'.

Na kama ni wanawake 'wachache' wa kibongo ndio wanakataa polygamy (as an exception), mbona kwa upande wa wazungu hakuna exception in the same proportion (kwamba wanawake 'wachache' wa kizungu wanataka polygamy)?

Again, hii nadhani inajibiwa hapo juu... kumbuka kwamba sio 'wanawake wanataka' in that way....ni jamii...wanawake ni sehemu ya jamii....
Point yangu ni kwamba hizo 'values na cultures' sio culture ya kiafrica, wala ya watu 'weusi'. ni male dominance over wake zao na sababu ya socioeconomic constraint wanawake walikua wakizikubali bila kuzipenda. sasa hizo constraint zikitoka watu wanasema wazi kua hawapendi polygamy.
Mwali, nilikuwa nadhani tusiende kwenye 'male-female dominance' maana huo again utakuwa mjadala mwingine, hapo bold ningeweza kuuliza kama una 'uhakika' kama walikuwa hawazipendi? ila I think it is not relevant here. Social economic constraints zenyewe tunazoongelea hapa mara nyingi ni western vuales kuanzia education hadi culture...mtu akiziadapt hizo baaas ndo anaonekana amevuka ;social economic constraints (maana ndivyo tilivyoaminishwa) but think ni kwa vipi zimesaidia kuleta harmony kwenye jamii zetu as compared to the past? kwa nini wao hawafuati zetu?

I mean kwa nini, kwa mfano, a large section yao wasikubali value ya kuwa na mke zaidi ya mmoja kwamba sio contraint ya 'women emancipation and liberation' il hali wanacheat na ndoa zaozinavunjika deile?

Mwanaume kama mwanamke aki raise above socio economic constraint anabadili mtazamo wa 'culture and values', awe mzungu au mweusi.
Hapo, kubadili mtizamo mara nyingi inakuwa kuishi na kutamani maisha aliyokuwa anaishi 'mwanaume'. the end result? Women dominance over men! Mungu apishie mbali.

Ndio maana utaona mara nyingi wanawake wanao taka wazungu wanakubali alternative ya mtu 'mweusi' msomi, mwenye pesa, na mwenye kuhishi maisha fulani ya 'movies'.

Hapo, wakija wenyewe wakakuzodoa ukija nyumbani unalia, ntakuongezea fimbo.:yawn:
 
:biggrin: wapo wapo ila nadhani wanagawiana wenyewe kwa wenyewe ..maana kuna mmoja alitongozwa na mbongo akaenda kushitaki utawala ....,Kaizer wewe unaweza kushitakiwa police

Mi mwenyewe Polisi.....kitaeleweka tu...hebu do ze nidiful lol
 
Simsahau rafiki yangu Fred alikuwa kwenye managerial ya Airtel,wakati huo ikiitwa Celtel.. Machangudoa aina zote ndiyo ilikuwa dili zake.. Baadye akamzoea mmoja akampangia nyumba,na w/ends dada anaenda kwa Fred.. Kasheshe wakinywa na kulewa Fred anawabadilikia hadi mashemeji zake! Sio mara moja dada yule amemfumania Fred na shoga zake wawili tofauti.. Lakini anajitahidi kuvumilia. Jamaa alitoka pale kwenye ile post na akaniambia hatahama bongo.. Maslahi na maisha hapa ni fun na mepesi..
Na kwamba alkuwa offered similar job Nigeria,akakataa.. Lakini siku hiyo tukatoka tukaenda Namanga jirani ya Best bites,Dar,kuna sehemu palikuwa na mishkaki ya uhakika.. Tukaenda kutafuna na kunywa vinywaji baridi..
Pale napo hakukosa wadada wanaomfahamu.. Kifupi wazungu mi nimewatoa maana. Sijui labda ukutane nao huko makwao..
Pia niliishi Zanzibar,nimekaa nao na kugundua ni watu ambao maadili yao yana matege tangu kuzaliwa kwao.. Si wanawake wala wanaume..wanasmoke weed na wanaume wachafuchafu,wanalewa hovyo.. Basi tu..
 
Kwa bht mbya ni via mobile ningekupa haki yako..naomba nikupm mwali.
Haya mambo sikujisemea tu, kuna informal reaserch zimenionesha hivo. Na utakuta wanawake wa familia kama hizo wanajituma sana na hawasubiri kuwezeshwa, wanaweza tu!
 
Exactly...halafu mbona sioni kikombe cha chai Mwali..:A S-coffee:
Samahani Uncle... Karibu chai.
cup-of-tea.gif

Mwali, hapa sidhani kama tunazungumzia UHAKIKA in the strict sense...tunaangalia kwa ujumla hii hali 'inakubalika' au la...sasa pia ukumbuke hapa lazima tuwatoe wale a 'few elites' ambao 'wameliona jua' lakini ukivuta historia, utaona kuwa polygamy inakubalika zaidi kiafrika kuliko uzunguni kijamii as a whole na sio kwa rangi. So, kujibu swali lako hapa siwazungumzii wale ambao kwa mujibu wa analysis yako hapa chini wamevuka 'social economic barries'.
Uncle, nadhani maoni yangu na yako yametofautinana sana, kiasi kwamba yana stahili debate mpya kabisa. Mungu akipenda tunaweza kukutana katika thread itakayo uliza hayo maswali na tukayajadili kwa undani.
Nataridhika lakini kama utaniunga mkono kusema kua watu hatutakiwi kugeneralize. iwe mila na culture, iwe race, iwe gender etc. Mtu hawezi kucondemn wanaume wote kwa msingi ya rangi yao.
Na pia, as a subsequent argument, ningefurahi kama utakubali kua individuality matters zaidi katika maswala ya mapenzi (pamoja na kua social background ina play nafasi, but only after individual preferences)
 
Kwa bht mbya ni via mobile ningekupa haki yako..naomba nikupm mwali.
Unamuona huyo member anaitwa Kaizer hapo juu? ni Uncle wangu, tena mkali sana! Muombe ruhusa ya kuni PM. Akikubali yeye we tuma tu bila wasi wasi.
 
Hahaa..haya Mwali.
Unamuona huyo member anaitwa Kaizer hapo juu? ni Uncle wangu, tena mkali sana! Muombe ruhusa ya kuni PM. Akikubali yeye we tuma tu bila wasi wasi.
 
Thanks, sasa The Boss....wangekuwa wanajiuza kwa mabaharia weusi ingekuwa sawa.....

natafuta kujua kwanini kuwa kwao na wazungu kulikuathiri? walikuwa wanawakataa nyie,wana prefer
wazungu??

Elewa waliokuwa wanafanya biashara ya kununua madem zamani ni mabaharia ambao wengi wao walikuwa wazungu. Weusi walikuwa bado hawajajikinai. Ila na wao walipokaa na hao weupe wakajifunza ukora. Honestly watoto wa mabaharia blacks hawana tofauti na watoto wawazungu hata ukiona hao mabaharia weusi leo utaelewa kabisa ninachosema, hawaendani na tamaduni zetu
 
i was hurt by african brothers,and i come from a broken home....i guess i have low opinion on black men in general....hii ni senstive issue usinifanye nikatupiwa mawe bureee michelle...i just love wazunguz just the way you love black men lol

Jitahidi na omba mungu utawapata wazungu siku moja. Na hata kama wazungu wataku "hurt" kama wale weusi usiwe na shaka bado kuna waarabu, wahindi, wachina, wakorea na wajapani.
 
asante,
kwa kweli ni hila tu
hasa mambo ya cheap labour
na kutumia atakavyo bila masharti

wanakula hadi hazina ya taifa, kizazi kijacho watajibeba.

Hivi wewe utaacha vituko lini??

Una maanisha nini hapo (blue)??
 
Wanatumia kama vile hutatumika tena kwa shughuli za kuijaza dunia

Ni hatari sana kwa hazina ya taifa kuliwa, wizara ya fedha ya TZ inahaha sababu hazina imeliwa
Hata hazina ya mwili vivyo hivyo, ililiwa wizara ya kichwa unahaha hasa unapobeba ujauzito, aibu.

Anyway, am too old fashioned.

Hivi wewe utaacha vituko lini??

Una maanisha nini hapo (blue)??
 
Samahani Uncle... Karibu chai.
cup-of-tea.gif

Uncle, nadhani maoni yangu na yako yametofautinana sana, kiasi kwamba yana stahili debate mpya kabisa. Mungu akipenda tunaweza kukutana katika thread itakayo uliza hayo maswali na tukayajadili kwa undani.
Nataridhika lakini kama utaniunga mkono kusema kua watu hatutakiwi kugeneralize. iwe mila na culture, iwe race, iwe gender etc. Mtu hawezi kucondemn wanaume wote kwa msingi ya rangi yao.
Na pia, as a subsequent argument, ningefurahi kama utakubali kua individuality matters zaidi katika maswala ya mapenzi (pamoja na kua social background ina play nafasi, but only after individual preferences)

Asante kwa chai Mwali...kumbe mafundisho unayashika vizuri kabisa

Na kwa sababu hiyo...nakubaliana na hoja zako zote hapo juu...kwamba tusiwacondem wanaume wote kwa msingi wa race yao, hilo kabisaaa naliunga mkono. Kawaida binadamu wote ni so rational kwenye mapenzi...na mizania inaelemea zaidi kwenye indiviualism kuliko collectivism kwenye hii continuum.

ngoja noulize chai yangu mie...again, asante
 
...bana wee... na dakika mbili kabla mgao haujapita hapa...
namba moja,---hutabadili utaifa wala kabila...ninachomaanisha
desturi zako mtoto wa kibantu...unazitambua?

namba mbili,
---kuishi kisanii maana yake wwewe mweusi ni mweusi tu bana...
huna exception yeyote itayokufanya uonekane best mbele ya dumb blondes inlaws, neighbours etc
siku zote utaonekana ni opportunist sponger tu kwa kaka yao...
jamani rascism haijaisha nyie...ohoooo....labda uolewe kisha muishie huko huko Africa...

kuishi kisanii na maana itakubidi nawe usukie weaving hicho kipilipili, uvae vinguo vya ajabu ajabu,
na vijitabia vya ajabu ajabu mbele ya watu ili "kujikweza"....huwezi tena napigia msitari, huwezi wewe binti
wa kibantu uolewe na mzungu kisha umvalie khanga sijui tenge....hata kama miguu yenyewe ya spoku utaivaa mini skirt!

....bisheni weee lakini naishi nao 'ze komedians'

dah, mapenzi sio siasa mbu, kubadilisha jambo mpaka lipitie mlolongo mrefu. Siku zote ukijifanya dhaifu mbele ya yoyote awe mzungu au mwafrica lazima utadharauliwa. Hata kama wametuzidi kimaendeleo, kitechnology, vyovyote kumbuka kwenye mapenzi ni mimi na yeye. Na uzuri wenzetu hawana mambo ya extended families, ukioldwa wajomba mashangazi wote waje kulundikana hapo. Ni wapi hao ndugu zake watapata nafasi ya kuninyanyapaa? Kama huyo mzungu ataniheshimu na kunithamini hata watu wake wa karibu watafanya hvyo. Hlf mbona unawaponda sana? Hebu taja na mazuri yao basi maana wangekuwa wabaya wote nafikiri ngozi nyeusi zote zingekuwa zisharudi kwao.
 
...dahhhh, mzee mwanakijiji unaona sasa ulivyotutukanisha?
hivi nyie hao wanaume wa hivyo mnawaokota wapi? mnapenda ma bongo celebrity
matokeo yake ndio hayo bana,

...
sio wote tuko ki hivyo.
:A S-coffee:

Kweli kabisa kaka,

Hapa kuna generalization ya hatari sana,

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba wazungu wengi wanajua mapenzi na blacks wengi hatujui....

Mie siko kwenye hilo kundi na siko hivyo kabisa....

Nina ushahidi wa kuthibitisha kauli yangu....

Babu DC!!
 
dearest kwa maoni yangu wazungu ni wabinfsi sana,wengine ni wanyama kabisaa....kanyaga tu taratibu na uwe na malengo sahihi na wao na ujiandae kwa lolote....hawa kaka zetu wengi, tatizo lao ni kuendekeza starehe na kukosa vipaumbele kwenye maisha....

I like that kind of thinking...kudos!!!
 
Kweli kabisa kaka,

Hapa kuna generalization ya hatari sana,

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kwamba wazungu wengi wanajua mapenzi na blacks wengi hatujui....

Mie siko kwenye hilo kundi na siko hivyo kabisa....

Nina ushahidi wa kuthibitisha kauli yangu....

Babu DC!!

thibitisha nipo nasubiri big bro...lol!!
 
Back
Top Bottom