Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,874
Natafuta mdhungu jamani.
Hua hawapalekwi jandoni, uko tayari?
Bora ulivomjibu fasta mpwa mwenzio
baada ya kusema hayo...hii sredi natabiri vita.
Natafuta mdhungu jamani.
Hua hawapalekwi jandoni, uko tayari?
Shkamoo Uncle. Unatabiri vita kati ya nani na nani?Bora ulivomjibu fasta mpwa mwenzio
baada ya kusema hayo...hii sredi natabiri vita.
Shkamoo Uncle. Unatabiri vita kati ya nani na nani?
Uncle ulisomea Diplomacy?MArhabaa Mwali! Nimefurahi kukuona mapema kabla hujapotea (maana hukawii na shule yako)
Vita kati ya hizi 2 schools of thought. Of course nimependa analysis yako, nimependa argumentation ya Mbu, Michelle (Huyu namsubiri aamke ataniambia), Lizzy, Ambitious, Neema na wengineo
Nimesha ona blog kadhaa za hivo (hiyo unayo sema nadhani nimeiona pia). Nadhani hapa ni home of the GT na ndio maana kila mtu alidevelop arguments zake independant na hizo blogs.Niwakumbushe kuna blogu ya Mange nahisi imebobea hasa kwa wanawake walioolewa na wazungu na faida zake wanazopata nahisi hata nhiyo picha ya benzi hapo (ML320 I guess) imetolewa kule...
Na nilicho sema mimi ni kwamba hizo social constructions sio racial constructions kama walivo pendekeza wachangiaji fulani. ni socio economic constructions ambazo mzungu kama mweuzi anaweza kuchukua kama sehemu ya caracter yake.Nakubaliana na wewe kuwa tabia ya mtu na usuli wake kijamii na kiuchumi unaathiri sana mahusiano yake ya baadaye.
Na hivi vitu kwenye jamii huumbwa, hukua,na kuwa inculcated kwenye minds za wanajamii wenyewe...mwishowe huwa kama 'sheria'. Hata mitizamo yetu kuhusu jambo fulani huwa inaathiriwa ''in part" na hizi 'social constructions'
Uncle naomba nikuulize swali kabla hujapotea: kama tabia ya wanaume wanao cheat na wasio jua kuonesha mapenzi inatokana na social construction, kwa nini hiyo social construction hai shape mentality ya wanawake kama ilivo shape ya wanaume? logicaly kama inatokana na race basi weusi wote, wanawake kama wanaume tungeona A is better than B...Sijui hata nasemaje.....wareva.
namba mbili, ---kuishi kisanii maana yake wwewe mweusi ni mweusi tu bana...
huna exception yeyote itayokufanya uonekane best mbele ya dumb blondes inlaws, neighbours etc
siku zote utaonekana ni opportunist sponger tu kwa kaka yao...
jamani rascism haijaisha nyie...ohoooo....labda uolewe kisha muishie huko huko Africa...
Uncle ulisomea Diplomacy?
Uncle naomba nikuulize swali kabla hujapotea: kama tabia ya wanaume wanao cheat na wasio jua kuonesha mapenzi inatokana na social construction, kwa nini hiyo social construction hai shape mentality ya wanawake kama ilivo shape ya wanaume? logicaly kama inatokana na race basi weusi wote, wanawake kama wanaume tungeona A is better than B...
Wazungu ni wakweli, wawazi, wanajali na sio wabinafsi kinyume na kaka zetu weusi. Mi ndio maana nimeamua kwamba sasa hivi waswahili sitaki tena.
Lizzy!:A S-coffee:
...maskini Lizzy,... hebu vumilia kidogo bana...
ukitaka 'aliyetulia' labda uolewe na mbabu wa kizungu,
otherwise...aheri ya jini likujualo!
Hahahah. . . hau-approve mama wa kwanza?
Kweli Lizzy time will tell .....
Tuna wazungu wengi hapa kwetu wengine ndo masharobaro, wengine ndo tabia haziwezekaniki wao wanashinda na ma CD yaani sijui sasa sijui ni wazungu wa aina gani hao ,na nikijaribu kucheki wametoka mataifa tofauti tofauti
Kuna mzungu nafanya nae kazi hapa ana ma G/F kama watatu..mwingine kazaa nae ,wengine anawapitia pitia tu mpaka wanagombana wenyewe kwa wenyewe ,wengine ndo wazungu vicheche Nikijaribu kujiuliza hiyo true love ya wazungu iko wapi hata siioni
Hapo bold, una uhakika kua wanawake wanaona poa tu? wangekua wanaona poa mbona wangeridhika na 'wabongo' wenzao?Hapana Mwali, unfortunately not. Nafanania?
one thing tunakubaliana hapo kuwa social construction inashape hata mentality, then hapo tutakuwa tunazunguzmia sasa jamii as a whole na sio RACE. Ndio maana 'wazungu' kama jamii ina 'values, beliefs na norms' zao significantly different na za siye 'weusi' katika maana hiyo hiyo.
Na 'kushape mentality' kuna maana pia ya kuaccept, through the same social construction, kwamba hiki kinakubalika kijamii fulani katika muktadha fulani. Mfano kiafrika siye tunaweza kukubali polygamy ambapo kizungu hiyo ni cheating. Yaani mzungu haelewi inakuwaje mtu awe na zaidi ya 'mke' mmoja, ila 'kibongobongo' hiyo poa tu. Sasa hapo ina maana mentality ya wanawake wengi wa kiafrika imekwua shaped with that construction, wakati wanawake wa kizungu kwao hiyo haipo kabisa.
Ndio hivo. Kwanza kama ni kufanya generalities mimi badala ya focus kwenye rangi ya ngozi bora nifocus kwenye back ground ya familia. Mara nyingi watu (any race) walio lelewa na mama peke yake wanakua na heshima kwa wanawake kuliko walio lelewa na wazazi wote, hasa kama baba alikua abusive. Pia wanaume walio lelewa katika familia ya wanawake wengi (na yeye akawa mdogo wao) wanakua na uelewa mkubwa kuliko wale walio zaliwa katika familia za mchanganyiko zaidi. Hii ni kutokana na uchunguzi wangu mwenyewe kwa baadhi ya rafiki zangu wa kiume.
Haya mambo sikujisemea tu, kuna informal reaserch zimenionesha hivo. Na utakuta wanawake wa familia kama hizo wanajituma sana na hawasubiri kuwezeshwa, wanaweza tu!Mwali,this is veeery true..amini nawaambia. Nimekulia mazingira ya namna hyo..watoto wakike wanne na wa kiume mmoja. Tangu nazaliwa mzee hakuwepo nchini na amerudi wkt tyr ninajitambua so nimelelewa na mama zaidi. To tell u the truth I really respect women aise
mzungu know how love and care me ninaye tunapendana sana,