Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,778
- 59,133
Lol, romance na kianzio?? heloooooooooooooooo.....tatizo mianaume yetu ya kiafrica imejaa misifa mingi sana ya kijinga na mijuaji...suala la romance linalalamikiwa sana...btw ataanza wapi romance karudi home saa tisa usiku anataka saa kumi na moja awahi kazini na foleni zetu hizi....wanachotaka ni sehemu ya kupunguza uzito unaowasumbua....ndo hiyo chovya chovya....wanajielewa sana tu...ukikuta tena ndo wale wa daslamu wala chipsi zege,hakuna mazoezi hata ya kutembea,basi hasara unayo dearest...wazungu wana take effort kumuandaa mtu,atleast you are more likely ku-enjoy sex!
Hahahaha unaona sasa dearest. Vitu ambavyo hua wanajitahidi kufanya ni kunywa na kula tu, tena bar na sio nyumbani. Mengine yanayohusiana na kuboresha mahusiano tukisema tuanze kuwapa marks utashangaa watakavyofeli.