Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

khaaa! Nitatafuta mzungu msikivu na mwelewa. Najua ukimkuta mzungu ***** anakuwa bw.ge haswa.
Sasa kama ni hivo si bora utafute tu mwanaume wowote, mzungu au mweusi, ila awe mwelewa? na hapo nyota nyota ni matusi gani tena uliandika sissy?
 
It was a good,mjadala... Nilikuwa naufuatilia kwa macho ,tena nimekaa katikati kama mechi ya Nadal na Federer....
Good arguments.. Ila namshauri Lizzy asiwakubali hawa expatriates. Ni malaya wa kutupa! Unless anaweza kuact wild,na immoral hivi..
Yaani hapo utadumu naye,na hata mikataba ataongeza ya kukaa nchini.. Yaani unakuwa........sijui kama kuna mtu anapata hiyo picha.......viatu vya visigino virefu,mini skirt za hatari,kupenda party,kuwa talkative hasa mambo ya kijingajinga,kipuuzipuuzi,utani,that nature of things..
Basi ndiyo..halafu then akijua kuna wakati unaweza kuwa serious na kuongea sense,inakuwa added advantage..
Ila inategemea pia haya yote..

Mi nimeyaona kwa mabosi wengi hasa hawa wawekezaji kwenye makampuni ya mawasiliano ya nchini kwetu.. Wakiwa wamevaa suti wanaongea na Pinda,Kikwete,sijui nani...unaweza kudhani ni watu wa maana sana...waone viwanja usiku na w/end...hutaamini!
Ni hayo..
 
IMG_3330.jpg
only mzungu can five you this as birthday present...lol
nimeona coments humo kny topic ya huyo dada,it seems.....wadada zenu wa kiafrica tunapenda luxury na nyie wakaka wa kiafrica hamuwaziii hilo kabisaaa,nyie kwenu mwanamke ni wa kukaa nyumbani kukupikia na kulea watoto....anzeni na nyie kutuhonga marange,kututoa vacation na kutotoa dinner jioni kwenye mahoteli kama hatujasahau wazungu!!! hahahah nimeamua kuvunja ukimya ,basi nawangojea wale wadada watakaoruka hapa hawataki mambo matamu kama haya kutoka kwa waume zao lol...mie mwenzenu nayataka,lol nikipata mwaname wa kiafrica wa kunipa mambo kama haya.....i will love him forever!LOLS!
 
Hapa sasa unaniangusha, sina budi ila kukupinga na wewe! huwezi kugeneralize hivi!

LOL...sasa ulitaka nimkatisheje tamaa?...nimeelezea kwa muono wa hawa walionizunguka hapa nilipo
maana wengi kweli ...na huyu Husninyo anaelekea anapotea nae kama Lizzy...
ngoja nikalale mie....:juggle:
 
Si ndio nimekwambia tabia hizo mnazo zitaja sio dominant kwa race, ni dominant kwa socioeconomic background...
Race sio kitu kabisa... ni kama shati tu, huyu anavaa la bluu mwenzie anavaa la red...

Si dominant kwa social economic background tu, Tanzania ina class ya watu tofauti, IMO hawatofautiani sana kitabia....the same applies to other countries...kila race ina priorities zake,japokuwa kutakuwa na wachache wenye tabia tofauti na wenzao kwa uzuri au kwa ubaya....!! Race si kama shati tu, tuko tofauti sana.
 
only mzungu can five you this as birthday present...lol
nimeona coments humo kny topic ya huyo dada,it seems.....wadada zenu wa kiafrica tunapenda luxury na nyie wakaka wa kiafrica hamuwaziii hilo kabisaaa,nyie kwenu mwanamke ni wa kukaa nyumbani kukupikia na kulea watoto....anzeni na nyie kutuhonga marange,kututoa vacation na kutotoa dinner jioni kwenye mahoteli kama hatujasahau wazungu!!! hahahah nimeamua kuvunja ukimya ,basi nawangojea wale wadada watakaoruka hapa hawataki mambo matamu kama haya kutoka kwa waume zao lol...mie mwenzenu nayataka,lol nikipata mwaname wa kiafrica wa kunipa mambo kama haya.....i will love him forever!LOLS!

...hahaha....

mnaona sasa?

ngoja nikalale mimi!...
:yawn:
 
LOL...sasa ulitaka nimkatisheje tamaa?...nimeelezea kwa muono wa hawa walionizunguka hapa nilipo
maana wengi kweli ...na huyu Husninyo anaelekea anapotea nae kama Lizzy...
ngoja nikalale mie....:juggle:

Mbu usikimbie bana. . .
Nilikua nawachangamsha tu, kaka zangu nawapenda and that's that. Nataka nitafute mmoja nimnyooshe haswa. . . mpaka mwenyewe ajishangae. .. ror (roughing out roud).
 
IMG_3330.jpg
only mzungu can five you this as birthday present...lol
nimeona coments humo kny topic ya huyo dada,it seems.....wadada zenu wa kiafrica tunapenda luxury na nyie wakaka wa kiafrica hamuwaziii hilo kabisaaa,nyie kwenu mwanamke ni wa kukaa nyumbani kukupikia na kulea watoto....anzeni na nyie kutuhonga marange,kututoa vacation na kutotoa dinner jioni kwenye mahoteli kama hatujasahau wazungu!!! hahahah nimeamua kuvunja ukimya ,basi nawangojea wale wadada watakaoruka hapa hawataki mambo matamu kama haya kutoka kwa waume zao lol...mie mwenzenu nayataka,lol nikipata mwaname wa kiafrica wa kunipa mambo kama haya.....i will love him forever!LOLS!

Kwa hiyo kama nikikuoa wakati naweza ku-afford hiyo luxury halafu nikaanguka kiuchumi ndo nimeshaliwa na kupokonywa na mzungu au mwenye mali au sio??
 
...enhee, mtoto mzuri wewe unasikiliza wakubwa wako, sio unakurupuka tu maamuzi ati wabantu hawafai...

1. utapoteza asili yako, mila, desturi na tabia ulizokuzwa nazo
2. itakubidi maisha yako yote uishi kisanii...uige uzungu uzungu tu hata kwa mambo yaliyo nje ya matakwa yako
3. kuna hatari wanao mwenyewe ukaonekana/kuulizwa mtaani ati wewe ni childminder/housegirl wa mzungu gani..?!
4. na mengine mengi ya kusikitisha...
5.....kwanza hawa wazungu wakishavusha 50yrs wanaanza kupoteza kumbukumbu, dementia ndio ugonjwa wao mkubwa...i hope hutapenda kuishia kama carer wa mumeo, au?

nakataa namba 1, 2 na 4 ingawa nne hujayataja. Kwani nikiwa mzungu ina maana nitabadilika utaifa hadi kabila langu? Ni vipi nitapoteza mila na desturi zangu. Kwanini useme mimi ndio nitabadilika tabia lakini sio huyo mzungu kubadilika tabia? Kuishi kisanii kivipi? Mi najua katika maisha ya mahusiano lazima kuna mambo ucope na mwenzi wako ili mwende sawa. Huyo mzungu kama ana mazuri yake nitacope nayo ila na mazuri yangu lazima afanye hivyo. Kuwa na mzungu haimaanishi anitawale na kunibadili tabia. naweza pigania hilo kama ambavyo ningekuwa na black.
 
only mzungu can five you this as birthday present...lol
nimeona coments humo kny topic ya huyo dada,it seems.....wadada zenu wa kiafrica tunapenda luxury na nyie wakaka wa kiafrica hamuwaziii hilo kabisaaa,nyie kwenu mwanamke ni wa kukaa nyumbani kukupikia na kulea watoto....anzeni na nyie kutuhonga marange,kututoa vacation na kutotoa dinner jioni kwenye mahoteli kama hatujasahau wazungu!!! hahahah nimeamua kuvunja ukimya ,basi nawangojea wale wadada watakaoruka hapa hawataki mambo matamu kama haya kutoka kwa waume zao lol...mie mwenzenu nayataka,lol nikipata mwaname wa kiafrica wa kunipa mambo kama haya.....i will love him forever!LOLS!
Haya! nenda kwanza ukamjibu Lizzy hapa
Mbona wako wanaume wa kiafrika wenye kutoa zawadi kama hizo pia? ila zawadi isiwe ni exchanged good, kwamba anakupa sababu anajua ndio kitakacho kufanya umpende. hapo ni biashara tayari. Kama unampenda mwanaume sababu ya zawadi zake kuna jina maalum unapangwa, sio MKE
 
Mbu usikimbie bana. . .
Nilikua nawachangamsha tu, kaka zangu nawapenda and that's that. Nataka nitafute mmoja nimnyooshe haswa. . . mpaka mwenyewe ajishangae. .. ror (roughing out roud).

...aaahh, hawa wanaanza kuleta picha za dada zetu humu...tutaja gombana wenyewe kwa wenyewe bure...!
ila hapo "upate wa kumnyoosha" mnh?!..bahati mbaya, utawapata kwa mafungu kwa jinsi walivyo wanaume wengi wa sasa mijini.
 
Sasa kama ni hivo si bora utafute tu mwanaume wowote, mzungu au mweusi, ila awe mwelewa? na hapo nyota nyota ni matusi gani tena uliandika sissy?

kati ya mzungu au mweusi nimeweka 1st priority mzungu. Lol. Sist niliandika b.wege. Kumbe ni tusi!
 
Kwa hiyo kama nikikuoa wakati naweza ku-afford hiyo luxury halafu nikaanguka kiuchumi ndo nimeshaliwa na kupokonywa na mzungu au mwenye mali au sio??
Utaachwa ndio.

Hayo ndio matokeo ya kupendwewa vitu.
 
IMG_3330.jpg
only mzungu can five you this as birthday present...lol
nimeona coments humo kny topic ya huyo dada,it seems.....wadada zenu wa kiafrica tunapenda luxury na nyie wakaka wa kiafrica hamuwaziii hilo kabisaaa,nyie kwenu mwanamke ni wa kukaa nyumbani kukupikia na kulea watoto....anzeni na nyie kutuhonga marange,kututoa vacation na kutotoa dinner jioni kwenye mahoteli kama hatujasahau wazungu!!! hahahah nimeamua kuvunja ukimya ,basi nawangojea wale wadada watakaoruka hapa hawataki mambo matamu kama haya kutoka kwa waume zao lol...mie mwenzenu nayataka,lol nikipata mwaname wa kiafrica wa kunipa mambo kama haya.....i will love him forever!LOLS!

Neema, umesema hutaki Africans wamekuumiza,kama nakuelewa sasa ulimaanisha hutaki weusi maskini...maisha ni kuchagua...akija mweusi mwenye uwezo wa kukupa kuxury unasahau yaliyopita....ha ha ha haaaaaaaaa, pendwa na heshimiwa kwanza....!

Mimi napenda luxury ila siwezi kuwa na mtu kwakuwa anaweza ninunulia kitu fulani....yaani mwanaume hata ******* niwe nae as ana hela ya ku-afford luxuries??
 
@mbu, wadada wengi wanaokuwa na wazungu huonekana si kitu na kudharauliwa sababu hawana kauli na wengi unakuta ni micharuko ya mjini. Kauli zao hufungwa kwa pesa na starehe wanazopata, kama mdada anajitambua na mwenye msimamo hawezi kupelekeshwa au kuishi maisha ambayo si yake hata akimpata mchina..
 
...aaahh, hawa wanaanza kuleta picha za dada zetu humu...tutaja gombana wenyewe kwa wenyewe bure...!
ila hapo "upate wa kumnyoosha" mnh?!..bahati mbaya, utawapata kwa mafungu kwa jinsi walivyo wanaume wengi wa sasa mijini.

Hehehe. . . wanaonyesha msisitizo!! Alafu kama wenyewe wameziachia acha ziwekwe tu.

Hao wamafungu ndio wazuri sina kazi ya kuchagua, nabeba tu.
 
Kwa hiyo kama nikikuoa wakati naweza ku-afford hiyo luxury halafu nikaanguka kiuchumi ndo nimeshaliwa na kupokonywa na mzungu au mwenye mali au sio??

Hupendwi wewe mkuu, yapendwa hela yako atii...itakuwa imekula kwako!
 
nakataa namba 1, 2 na 4 ingawa nne hujayataja. Kwani nikiwa mzungu ina maana nitabadilika utaifa hadi kabila langu? Ni vipi nitapoteza mila na desturi zangu. Kwanini useme mimi ndio nitabadilika tabia lakini sio huyo mzungu kubadilika tabia? Kuishi kisanii kivipi? Mi najua katika maisha ya mahusiano lazima kuna mambo ucope na mwenzi wako ili mwende sawa. Huyo mzungu kama ana mazuri yake nitacope nayo ila na mazuri yangu lazima afanye hivyo. Kuwa na mzungu haimaanishi anitawale na kunibadili tabia. naweza pigania hilo kama ambavyo ningekuwa na black.

...bana wee... na dakika mbili kabla mgao haujapita hapa...
namba moja,---hutabadili utaifa wala kabila...ninachomaanisha
desturi zako mtoto wa kibantu...unazitambua?

namba mbili,
---kuishi kisanii maana yake wwewe mweusi ni mweusi tu bana...
huna exception yeyote itayokufanya uonekane best mbele ya dumb blondes inlaws, neighbours etc
siku zote utaonekana ni opportunist sponger tu kwa kaka yao...
jamani rascism haijaisha nyie...ohoooo....labda uolewe kisha muishie huko huko Africa...

kuishi kisanii na maana itakubidi nawe usukie weaving hicho kipilipili, uvae vinguo vya ajabu ajabu,
na vijitabia vya ajabu ajabu mbele ya watu ili "kujikweza"....huwezi tena napigia msitari, huwezi wewe binti
wa kibantu uolewe na mzungu kisha umvalie khanga sijui tenge....hata kama miguu yenyewe ya spoku utaivaa mini skirt!

....bisheni weee lakini naishi nao 'ze komedians'
 
...hahaha....

mnaona sasa?

ngoja nikalale mimi!...:yawn:

Kimbia, mi usingizi umeisha,nitaondoka tu mtu akija nitoa hapa...lol....

Neema amefunguka jamani...lol
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom