Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Utaachwa ndio.

Hayo ndio matokeo ya kupendwewa vitu.

Asante kwa kunisaidia kuelewa mindsets za baadhi ya dada zetu...Let me exit before my intelligence is acutely insulted..
 
Hehehe. . . wanaonyesha msisitizo!! Alafu kama wenyewe wameziachia acha ziwekwe tu.

Hao wamafungu ndio wazuri sina kazi ya kuchagua, nabeba tu.

Mwambie Mbu akuelewe...tunabeba tu...lolest!
 


...bana wee... na dakika mbili kabla mgao haujapita hapa...
namba moja,---hutabadili utaifa wala kabila...ninachomaanisha
desturi zako mtoto wa kibantu...unazitambua?

namba mbili,
---kuishi kisanii maana yake wwewe mweusi ni mweusi tu bana...
huna exception yeyote itayokufanya uonekane best mbele ya dumb blondes inlaws, neighbours etc
siku zote utaonekana ni opportunist sponger tu kwa kaka yao...
jamani rascism haijaisha nyie...ohoooo....labda uolewe kisha muishie huko huko Africa...

kuishi kisanii na maana itakubidi nawe usukie weaving hicho kipilipili, uvae vinguo vya ajabu ajabu,
na vijitabia vya ajabu ajabu mbele ya watu ili "kujikweza"....huwezi tena napigia msitari,
huwezi wewe binti
wa kibantu uolewe na mzungu kisha umvalie khanga sijui tenge....hata kama miguu yenyewe ya spoku utaivaa mini skirt!


....bisheni weee lakini naishi nao 'ze komedians'

Una usingizi Mbu, kalale sasa! Usiku mwema,tuonane kesho Inshaallah
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
kati ya mzungu au mweusi nimeweka 1st priority mzungu. Lol. Sist niliandika b.wege. Kumbe ni tusi!

...why mzungu bana? halafu huyo mzungu almuradi mzungu, au mzungu wa nchi gani ana nafuu?
hata south africa kuna wazungu kule 'afrikaans'...hata kule Poland [wenye mabichwa mabaya, ...astaghafirullah] ni wazungu...

...hebu andika yakuyaandika nikiamka niyakute...
alamsiki
....zzzzzz!
 
Mwambie Mbu akuelewe...tunabeba tu...lolest!

Hahahah. . . habari ndio hiyo dearest.

Nimekumbuka namna wanavyokuaga wanauza vitu gengeni (haswa Dar). Vile vitu ambavyo ni fresh na vizuri wanaweka chini ya meza, pale juu wanapanga vile viporo na vilivyochoka choka. Muuzaji akikupenda anakupa vile vya chini ya meza na wengine wote wanapata viporo. Nadhani hii inahusika sana kwenye uchaguzi dearest. Kama fate/Mungu hajataka kukupendelea utatakiwa kubeba mmoja wa wale waliopo kwenye mafungu. . . .ukipendelewa unapewa vile visivyoonekana wala kupatikana kirahisi.
 
kati ya mzungu au mweusi nimeweka 1st priority mzungu. Lol. Sist niliandika b.wege. Kumbe ni tusi!
hahahaha. haya bwana, hongera. Mi sijapanga kuhusu race ila naona chances are high kwamba sitakuja kupenda mzungu. Kwanza nitakutana nae wapi?
 
Neema, umesema hutaki Africans wamekuumiza,kama nakuelewa sasa ulimaanisha hutaki weusi maskini...maisha ni kuchagua...akija mweusi mwenye uwezo wa kukupa kuxury unasahau yaliyopita....ha ha ha haaaaaaaaa, pendwa na heshimiwa kwanza....!

Mimi napenda luxury ila siwezi kuwa na mtu kwakuwa anaweza ninunulia kitu fulani....yaani mwanaume hata ******* niwe nae as ana hela ya ku-afford luxuries??


.... wanaume wa kiafrica hawana huo utamaduni wa kutoa sio kama wazungu,wenyewe hata kama hana mshahara mkubwa atajitahidi asave akupe good time.................................ndio maana napenda wazungu lol hapo usidhanie wanaonunulia wake zao magari ni mabilionea...basi tu...but its true kupanga ni kuchagua kama kuna mkaka mwafrica atakayejinyima anininunulie mie range...i will love him too...hahahahahahh
 
Haya! nenda kwanza ukamjibu Lizzy hapa
Mbona wako wanaume wa kiafrika wenye kutoa zawadi kama hizo pia? ila zawadi isiwe ni exchanged good, kwamba anakupa sababu anajua ndio kitakacho kufanya umpende. hapo ni biashara tayari. Kama unampenda mwanaume sababu ya zawadi zake kuna jina maalum unapangwa, sio MKE

unataka kusema ukiolewa,na kupenda luxury ndio mwisho?? mie nitaolewa na mume wangu akininunulia range i will love him even more...lol hapo nilipobold mbona siwasikiii jamani inabidi na wao wapate media coverage to remove this stereotype ni wazungu pekee ndio wanaotoa zawadi lol
 
Kwa hiyo kama nikikuoa wakati naweza ku-afford hiyo luxury halafu nikaanguka kiuchumi ndo nimeshaliwa na kupokonywa na mzungu au mwenye mali au sio??

hapana sitafanya hivyo,ila ukijinyima ukaninunulia mie benz...nitakupa mapenzi zaidi lol
 
Wazungu ni wakweli, wawazi, wanajali na sio wabinafsi kinyume na kaka zetu weusi. Mi ndio maana nimeamua kwamba sasa hivi waswahili sitaki tena.

Hapo kwenye red nafikiri kinyume chake ndio sahihi!
 
.... wanaume wa kiafrica hawana huo utamaduni wa kutoa sio kama wazungu,wenyewe hata kama hana mshahara mkubwa atajitahidi asave akupe good time.................................ndio maana napenda wazungu lol hapo usidhanie wanaonunulia wake zao magari ni mabilionea...basi tu...but its true kupanga ni kuchagua kama kuna mkaka mwafrica atakayejinyima anininunulie mie range...i will love him too...hahahahahahh

Ndo maana nikasema, ishu ni kipaumbele, mwanaume anapoweka kipaumbele cha kutoa ofa kwa barmaids na rafiki zake kuliko kukufurahisha mkewe/girlfriend au familia,kwa kweli namhesabu mpumbavu sana....ila tusipende kwasababu ya mali,tutafeli kwenye mahusiano,mpende mtu kwanza kadri ya uwezo wako,na hata kumshauri abadilike inakuwa rahisi.
 
unataka kusema ukiolewa,na kupenda luxury ndio mwisho?? mie nitaolewa na mume wangu akininunulia range i will love him even more...lol hapo nilipobold mbona siwasikiii jamani inabidi na wao wapate media coverage to remove this stereotype ni wazungu pekee lol
Ukweli ni kwamba wanawake na wanaume wa kiAfrika ambao wapo kwenye mahusiano yasiyokosa zawadi sio malimbukeni na wanaume hawataki ujinga wa kutangazwa kwenye mainternet. Hawahitaji coverage kwasababu hawana haja/hitaji la kujionyesha kwa watu hata wasiowafahamu. Hawana mambo ya kuringishiana kama watoto wala hawahitaji kuimpress watu nje ya mahusiano yao. Tofauti na baadhi ya wanaopata hayo kwa wazungu. . . kwanza wazungu wao pengine hata hawajui kutwa wanarushwa mablogini, pili wake/wapenzi wao hao hawaishi kujifurahisha wao wanaishi kumkomoa/ringia fulani na fulani.
 
unataka kusema ukiolewa,na kupenda luxury ndio mwisho?? mie nitaolewa na mume wangu akininunulia range i will love him even more...lol hapo nilipobold mbona siwasikiii jamani inabidi na wao wapate media coverage to remove this stereotype ni wazungu pekee ndio wanaotoa zawadi lol
Neema nilicho sema ni kwamba kama kigezo ya kuwachagua wazungu na kuwakataa weusi ni zawadi za kifahari basi hapo hakuna mapenzi, ni biashara. Na hata yeye akijua unampenda sababu ya zawadi atakuchukulia kama muuzaji, sio kama mpenzi.
Ila kama tayari mnapendana na una asili ya kupenda zawadi za kifahari basi hakikisha mume wako anajua hilo na analitimiza mara kwa mara, hakuna ubaya. na wala hakuna haja ya kumchagua kufatana na rangi yake.
Kama Afrika watu wengi tunalala na njaa, ni normal uone kaka zetu hawatoi zawadi za kifahari sababu hawana hela. Ila ukiwa na mahusiano na watu wenye pesa zao na wakijua unapenda zawadi kama hizo watakupa tu. Mi nawajua wengi sana...
 
dada zetu wengi wanashobokea wazungu kwa sababu mbalimbali, ya kwanza ni uchumi kwani hawakuachi njaa; ya pili, wana amini uwezekano wa mzungu kujivinjari na mwanamke mwingine wa kiafrika wakati yupo na wewe ni mdogo kuliko wa mwafrika; tatu wanadai kwamba wazungu wana affection na mapenzi ya kweli, sisi tunaona kuonyesha mapenzi na affection ni weakness; affection kwa mwanamke ni kitu muhimu sana, ndio maana wanapenda hata kupakata paka, mbwa n.k kwani wanyama hawa wana affection kubwa; na sababu ya mwisho ni kwamba wanaona kutoa na mzungu ni hadhi kubwa kwani kwa wengi ni kitu unique hivyo kinawapandisha self esteem;
 
Back
Top Bottom