Eti Wazungu -nyie dada zetu chonde!

Thanks, sasa The Boss....wangekuwa wanajiuza kwa mabaharia weusi ingekuwa sawa.....

natafuta kujua kwanini kuwa kwao na wazungu kulikuathiri? walikuwa wanawakataa nyie,wana prefer wazungu??

aisee mimi hiyo club wala sikuwahi kwenda
nimekuwa nalisikia hilo jina kwa watu wakubwa as nilipokuwa mdogo ndo
nilisikia mambo hayo
 
hakuathiri chochote
ila perception inatokana na background ya mtu
kama alizoea kuona mahusiano kati ya mwanamke mwafrika na mzungu yakiwa ya kibiashara tu ya kuuza k.
hadi leo ukimuona msichana wa kiafrika na mzungu picha ya kwanza inayokuja ni kuwa yule msichana wa kiafrika anauza k

Kuna Mizungu (sipendi sana kutumia hili jina) ni matapeli ya kutupwa.

Tena unakuta kijana ana wasichana kibao hadi hajui idadi yao.

Na unakuta kibinti kina mabwana kibao hadi hakijui idadi yao.......... Ni mwendo wa Alamba kote kote kwa kwenda mbele.

Ila uvivu wa kufanya mapenzi wa wanaume weupe, kuna pelekea wengi kuonekana wana mapenzi ya ukweli.

Sasa wengine watabisha, ebo. Muone Bill Clintin enzi zake na muangalie na Barack Obama, nani mkali wa watoto?
 
aisee mimi hiyo club wala sikuwahi kwenda
nimekuwa nalisikia hilo jina kwa watu wakubwa as nilipokuwa mdogo ndo
nilisikia mambo hayo

ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,nilipokuwa mdogo ndo nilisikia mambo hayo....yakaniathiri....heloooooooooooo!
 
inategemea umekulia wapi,mie nimeona mahusiano kibao ya wazungu na waafrica yako poa tu,na i prefer mzungu than black sema sijampata tu,lol
 
Mweh! Sasa kaka yangu ndo inakuwaje tena? Au machoni pako anabakia 'zungu'?
Kiukweli mie mzungu hata kupita nae mitaani as a lover nitaona aibu, I will feel like a 'magort'
Wazungu ni wakweli, wawazi, wanajali na sio wabinafsi kinyume na kaka zetu weusi. Mi ndio maana nimeamua kwamba sasa hivi waswahili sitaki tena.
 
hakuathiri chochote
ila perception inatokana na background ya mtu
kama alizoea kuona mahusiano kati ya mwanamke mwafrika na mzungu yakiwa ya kibiashara tu ya kuuza k.
hadi leo ukimuona msichana wa kiafrika na mzungu picha ya kwanza inayokuja ni kuwa yule msichana wa kiafrika anauza k

Mwenzio kasema aliathirika wewe Kongosho unasema hakuathiri chochote...seriously kuna kitu hakisemwi....yaishe!
 
inategemea umekulia wapi,mie nimeona mahusiano kibao ya wazungu na waafrica yako poa tu,na i prefer mzungu than black sema sijampata tu,lol

Wow,why do you prefer mzungu over blacks Neema?? If you can share!
 
i was hurt by african brothers,and i come from a broken home....i guess i have low opinion on black men in general....hii ni senstive issue usinifanye nikatupiwa mawe bureee michelle...i just love wazunguz just the way you love black men lol
 
dearest kwa maoni yangu wazungu ni wabinfsi sana,wengine ni wanyama kabisaa....kanyaga tu taratibu na uwe na malengo sahihi na wao na ujiandae kwa lolote....hawa kaka zetu wengi, tatizo lao ni kuendekeza starehe na kukosa vipaumbele kwenye maisha....

Nimeshachoka kukimbizana na wasanii dearest. . . ror!
 
kama nimemwelewa,
alikuwa anasimuliwa na wakubwa yeye kadogo
kuwa huko magort wanauza k
akaathirika kwa kuona au kubaki na picha ya mzungu na mwafrika ni biashara ya k tu
nothing more.

Mwenzio kasema aliathirika wewe Kongosho unasema hakuathiri chochote...seriously kuna kitu hakisemwi....yaishe!
 
Mweh! Sasa kaka yangu ndo inakuwaje tena? Au machoni pako anabakia 'zungu'?
Kiukweli mie mzungu hata kupita nae mitaani as a lover nitaona aibu, I will feel like a 'magort'

Jamani wifi. . . wazungu are people just like us. They are just more discplined.
 
i was hurt by african brothers,and i come from a broken home....i guess i have low opinion on black men in general....hii ni senstive issue usinifanye nikatupiwa mawe bureee michelle...i just love wazunguz just the way you love black men lol

That is enough explanation Neema, if white men also hurt you,will you date Asians?? Let love lead....lol

Usiogope mawe ya JF mamii, unawapotezea....!!
 
...unajua hata mimi zamani hawa wazungu nilikuwa nawaona wa maana sana,
mpaka niliopokuja kukaa nao ndio nimejua mapungufu mengi ya mijusi hawa!

maeneo ya posta kulikuwa na night club inaitwa 'margot'
ilkuwa maarufu kwa wazungu mabaharia na wadada wa kujiuza zamani
hapo tu ndo palikuwa kama kituo cha wadada wanaojiuza na kukutana wazungu..
so ilikuwa maarufu dada yeyote anaejiuza anaitwa wa 'margot'
hata kama hakujui huko 'margot'

...baadae ushirika club enzi za Space 1900 Disco, mitaa ya independence avenue (samora).

Wazungu ni wakweli, wawazi, wanajali na sio wabinafsi kinyume na kaka zetu weusi. Mi ndio maana nimeamua kwamba sasa hivi waswahili sitaki tena.
Nimeshachoka kukimbizana na wasanii dearest. . . ror!

...LOL kwa herufi kubwa!

mzungu awe mzungu tu, au una specific target ya mzungu wa nchi gani...maana
hii mijusi nayo imetofautiana...
 
...unajua hata mimi zamani hawa wazungu nilikuwa nawaona wa maana sana,
mpaka niliopokuja kukaa nao huku kwao ndio nimejua mapungufu mengi ya mijusi hawa!

...baadae ushirika club enzi za Space 1900 Disco, mitaa ya independence avenue (samora).

...LOL kwa herufi kubwa!

mzungu awe mzungu tu, au una specific target ya mzungu wa nchi gani...maana
hii mijusi nayo imetofautiana...

Kwa hiyo mama yake na Obama naye mjusi?
 
...unajua hata mimi zamani hawa wazungu nilikuwa nawaona wa maana sana,
mpaka niliopokuja kukaa nao ndio nimejua mapungufu mengi ya mijusi hawa!

...baadae ushirika club enzi za Space 1900 Disco, mitaa ya independence avenue (samora).

...LOL kwa herufi kubwa!

mzungu awe mzungu tu, au una specific target ya mzungu wa nchi gani...maana
hii mijusi nayo imetofautiana...

sijui nisemeje na hii 'breaking news yetu'
but nahisi Mbu tukikukabidhi jukumu la 'kuokoa jahazi'
kwa Lizzy ili asipotee itafaa sana,unasemaje?
mimi nakuona wewe ndo 'top jf Gentleman' so far
 
Back
Top Bottom