BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
Mie sipendi wazungu kabisa, ila wenzetu kwenye mapenzi wmetuzidi, akipenda kakupenda kweli na hakudanganyi, na akikuchoka akatamani mwanamke mwingine mara nyingi hawa cheat anakwambia live kwamba me n you its over,its not that ur a bad person or vipi, ni kwamba nime fall kwa mwingine, unaumiaa weee lakini ukweli unao unaendele, sasa kaka zetu atataka awakusanye woooote ukimuuliza anakataa, hapo tuuuu wakaka kwengine kote mnafunika mbaya