Eti Pisi (Wanawake) wa JF ni wabovu? 🙆🏿‍♂️

Wanawake waJF ndo hao hao wanaoshindia miguu ya kuku uku kitaa, ndo hao wenye UTI sugu, ndo haohao wenye makebo, ndo haohao wazur na ndo haohao wabaya sura za babu

Mwisho wa siku wajinga ndo waliwao na kulalamika
 
Tatizo watu wana matarajio makubwa sana juu ya watu walio mitandaoni bila kujua kwamba tuliomo humu ndio tupo na mitaani. Wanatamani member wa jf tuwe wazuri kama malaika😌😌😌.

Ila ule uzi wa selfika ufutwe tu. Ukisoma ule uzi sio wanaume tu, hata wanawake kutwa nzima kutukana na kudhalilisha wanawake wenzao. Unakuta mwanamke kila siku ni ku body shame wanawake wenzao. Sasa kama sisi tu tunadhalilishana namna hiyo ndio iwe kwa wanaume?
That's too bad!
 
Sana. Mwanzo huo uzi haukuwa hivo kabisa.
Sasa hivi kama unapata trauma kuona mtu anadhalilishwa, anatukanwa kisa ni mfupi, kisa umbo baya, kisa mweusi, kisa mnene, kisa hana nguo nzuri, wala usijaribu kusogelea ule uzi utakuwa traumatized.
Yeah, miaka ya mwanzo ya ule uzi tuliufaidi sana interactions za picha na stories, mambo yalikuwa poa. Wakaja watu wapumbavu kazi yao kusimanga, kuteta wenzao na sisi wengine tukaondoka!
 
Sana. Mwanzo huo uzi haukuwa hivo kabisa.
Sasa hivi kama unapata trauma kuona mtu anadhalilishwa, anatukanwa kisa ni mfupi, kisa umbo baya, kisa mweusi, kisa mnene, kisa hana nguo nzuri, wala usijaribu kusogelea ule uzi utakuwa traumatized.
Wengine tumegundua watu wanawekaga picha baada ya ule mkeka wa picha za warembo ku trendi ila Sidhani kama kuna mtu mbovu kabisa, kuna watu wananyimwa k tu ndo wanalia lia na kudhalilisha wanawake
 
Tatizo watu wana matarajio makubwa sana juu ya watu walio mitandaoni bila kujua kwamba tuliomo humu ndio tupo na mitaani. Wanatamani member wa jf tuwe wazuri kama malaika😌😌😌.

Ila ule uzi wa selfika ufutwe tu. Ukisoma ule uzi sio wanaume tu, hata wanawake kutwa nzima kutukana na kudhalilisha wanawake wenzao. Unakuta mwanamke kila siku ni ku body shame wanawake wenzao. Sasa kama sisi tu tunadhalilishana namna hiyo ndio iwe kwa wanaume?
Noma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom