boss unatabu kweli kweli yakhe .......hebu msome klorokwini vizuri labda utanielewa
watakuja hapa wengine wakupe maelezo usiwe na wasi wasi, suala lako halitakwenda bure 😛
mkuu moskwito umefanya la maana sana kuliweka hili neno kwenye lugha ya kiswahili, unajua tuiache sex pembeni kabisa.
Mahaba yanaoneshwa kwa namna tofauti katika maeneo/mazingira/kabila/imani tofauti, nadhani hata hapa jf tuliwahi kuambiwa kwamba kuna kabila flani hapa tz kupiga mke ni moja kati ya njia moja ya kuonesha mahaba kwao (romance as per ur definition). Na mimi point yangu kubwa kwenye huu mjadala ndio maana nikaiwekeza kwamba romance ni kujenga mazingira ya kupendwa au kuamsha hisia za kupendwa tu.
Cultural ImperialismKisha mmechunguza mwanamme wa Tanzania anaedekesha sana mkewe watu wakamuona anaitwa 'zoba'
p(^_^)q
Gaijin, nimekusoma sana mwalimu wangu......
Lakini tukumbuke kuwa vionjo vya weupe vitaendelea kuwa vya weupe,
na vya weusi vitaendelea kubaki hivyo..
Neno kujali kwenye mapenzi hasa kwa maisha ya kiafrika....limejikita zidi katika majukumu,
na wala sio hiyo romance sijui romantic love.........
Mwanamke wa kiafrika, kwa walio wengi anaweza kudefine kuwa unampenda,
kama utajali mahitaji yake ya kimaisha...................na wala sidhani hapa makissing, mahugging ndo yana nafasi kwa sana,
hebu jaribu kupiga hayo makissing, mahugging, sijui kununuliana vito vya samani pasipo kutimiza yale mahitaji yake ya kimsingi.....
nadhani utakuwaumepotea.................
Mwanamke wa kiafrika anaweza kuonyesha na kutambua kuwa unamjali kutokana na mambo mengi tu yanayohusiana na mahitaji yake ya kmsingi...
mfano, kujali ndugu zake, kujali familia yako, watoto katika ujumla wa maisha hayo.......
Haya mambo ya kissing, sijui mahuggung na mengine ya dizaini hiyo mengi ni vionjo vya wazungu, ingawa si mbaya kuyaonyesha lakini,
hayana uzito ule unaosimuliwa hasa katika context ya kiafrika........
Nawasilisha.KARIBUNI KAHAWA JAMANI.....
mkuu kloro.....
Kwa mujibu wa majibu haya....hata la kununua gunia la mkaa linahusika hapa...
Ndio mahaba yenyewe lol
Ah Mwalim we acha tu maana hii mada kadri inavyosonga mie Mwj1 naachwa solemba. Pole mpenz wangu maana hawa hawa wanatutaka tuwe wabunifu tusiwe dull halafu bado wanazitaka aibu kama si kutufanya vikatuni ni nini? Maana Mwj1 leo nijifanye naona aibu kwa kuwa mwandani kanibusu ah ankiulizwa kwani ndo mara ya kwanza kukissiwa najibuje?! Mwe! Ah mie nshapata zero huu mtihaniHahaha hapa umenichekesha sana. Huachi! Ati jicho kaa la mgambo wa city ha ha ha
mjadala umetoka kwenye romantics unaingia kwenye great sex...lol
Though its not recomended but you may try this to prove me right : Fanya sex na stranger halaf sex yake ikupagawishe utajikuta unakwenda backward from great sex toward romance.
Close ur eyes and give it a think.
Hivi kwani romance ni lazima iwe na mtu unaemjua? .......you cant have romance with a stranger?
Mbona hii mada inazidi kuota matawi .....lol
Bee ulikuwa wapi muda wote huo! Hadi The Boss anauliza masuala yasiyopatiwa majibu! Lol
heheh mkuu TB Mapenzi ni mechi, unatakiwa kumsoma vizuri mwenzi/ mpinzani wako. Kuna mwengine gunia la mkaa atajipakazia kijiji kizima kwamba mwaka huu kaolewa na nzungu, kuna mwengine ukimpelekea gunia la mkaa anakupa laivu "looh umeskia mie tanuri?" khaaa!mkuu kloro.....
Kwa mujibu wa majibu haya....hata la kununua gunia la mkaa linahusika hapa...
Ndio mahaba yenyewe lol
mwenzenu alihiari mauti baada ya kunogewa na mahaba mjue :]
mahaba ya dhati, yameniingia
yangu tathliti, imenichongea
nahiari mauti, kuliko mahaba haya
jamani majuto, mwisho wa mahaba
na masikitiko, na nyingi suluba
na hiari mauti, kuliko mahaba haya
Hivi kweli mwalim haujawahi kuona in some cases great sex ndio inakuwa initiator ya the so called prerequisite?
gee wee acha tu.....(si nimekuona ndo nkasema acha nipitie kidogo, nawahi gengeni mwenzio nataka kuwa romantic baadae...lol)
maswali ya boss yapi? Hayo ulogomea ww kuyajibu ya kuongelea vile viuongo vingine mbele yao? Mi nina mzio nayo, labda aulize mengine yanayojibika kwa kadamnasi
Mkuu Mbu hii post yako iko kiimani zaidi, kumbuka sio wapendanao wote wana imani.
....kiswahili hiyo inaitwa kuzini nje,.....wadhungu wanaita CHEATING.
kabla hamjakwenda mbali sana, nambieni ukweli....una link vipi great sex na romance wakati wa cheating,
halafu ukirudi nyumbani kwa mkeo/mumeo unadai shetani alikupitia?....
hapana, hakuna uwiano baina ya romance na great sex, tena na stranger---huko ni kujaribu kuhalalisha uzinifu.
hiyo ni fantasy----njozi tu!...
'kutandikiwa khanga kwenye tuta la viazi na mke wa mtu sio romantic moment bana!'....sawa sawa na mwanamke 'kumalizana' na mfanyakazi mwenziwe chooni after office hours....halafu anarudi kwa mumewe na big smile eti alipata romantically great sex with a stranger...hahhh?!.... fantasies (matamanio) sio romance (mahaba)
....kiswahili hiyo inaitwa kuzini nje,.....wadhungu wanaita CHEATING.
kabla hamjakwenda mbali sana, nambieni ukweli....una link vipi great sex na romance wakati wa cheating,
halafu ukirudi nyumbani kwa mkeo/mumeo unadai shetani alikupitia?....
hapana, hakuna uwiano baina ya romance na great sex, tena na stranger---huko ni kujaribu kuhalalisha uzinifu.
hiyo ni fantasy----njozi tu!...
'kutandikiwa khanga kwenye tuta la viazi na mke wa mtu sio romantic moment bana!'....sawa sawa na mwanamke 'kumalizana' na mfanyakazi mwenziwe chooni after office hours....halafu anarudi kwa mumewe na big smile eti alipata romantically great sex with a stranger...hahhh?!.... fantasies (matamanio) sio romance (mahaba)
Dah! mstaafu wewe umenisoma vilivyo kabisa.Kweli kabisa, tena kwa wanaume hili suala lina-apply sana,
Yaani baada ya mavituz ya nguvu...jamaa anaandika cheki hata kama ni hewa ana atoa ahadi ya kujenga ghorofa (wakati yeye anapanga uani) au kuangusha helikopta!!
sasa mbona lile lingine mmejibu kwa urahisi saana..
Hili langu lina ugumu gani?
heheheh lakini usisahau shem huko post za nyuma tulikubaliana kuwa kila mtu ana romantic chart yake, uskute Mbu hilo jicho la mgambo wa City ndio linampotezea faham.
Gee wee acha tu.....(si nimekuona ndo nkasema acha nipitie kidogo, nawahi gengeni mwenzio nataka kuwa romantic baadae...lol)
Maswali ya Boss yapi? Hayo ulogomea ww kuyajibu ya kuongelea vile viuongo vingine mbele yao? Mi nina mzio nayo, labda aulize mengine yanayojibika kwa kadamnasi
Tatizo ni mtazamo.
Kila mtu ana mtazamo wake wa nini haswa ni romantic na mwanamke/mwanaume wa aina gani ni romantic. Kuna mtu mumewe kumpikia ni romantic na mwingine anaona kwa kufanya vile mumewe anajishusha. Kuna mwanaume mkewe kumpigia simu three times a day ni romantic na mwingine anaona ni pure usumbufu. Kwahiyo kwa vyovyote vile...kwa kutumia kipimo chochote kile hamna mtu ambae atakubalika na kila mtu (watu wenye background na mategemeo tofauti ) kwamba yeye ni romantic universally.
Kujibu maswali yako
1. Wanaume wa Tanzania ni romantic. Just not to everybody.
2.Kama sio kwa baadhi ya watu sioni kwanini kosa liwe la yeyote yule. Ni vizuri kila mtu akawa vile alivyo...wanaopenda his kind of romantice watakuwepo na ikitokea bahati nzuri akawa na mahusiano na mmoja wao hakutakua na malalamiko kati yao.Akikutana na ambae ni tofauti basi ni jukumu la huyo mwenza kumjulisha mwenzake kwamba ningependa kitu fulani na fulani ili nifurahi na iwapo hicho kitu kiko ndani ya uwezo na matakwa ya mwanaume basi kitafanyika.
3. Vigezo vinaofautiana kati ya mtu na mtu/sehemu na sehemu.Hamna kipimo ambacho ni universal amabcho majibu yake kila mtu atakubaliana nayo.