Elon Musk is a croock freemason ushahidi umewekwa wazi the code X is debunked

Ushauri wangu jikite mbali sana na hii mitandao ya kijamii na pia epuka kutumia majina yako halisi,tarehe halisi ya kuzaliwa pamoja na mwaka utanishukuru kumbuka usiweke picha zako wewe na familia yako pia. Hawa watu wanajua kila kitu.
Okay!.... kutumia hiyo mitandao sio vibaya labda kuanika taarifa zako muhimu ndio inaweza kuwa makosa.
 
Mitandao yote ni Yao uwakwepi labda uache kutumia simu uwe unatumia sanduku la posta
 
Huyu tajiri ni freemason au freemanga anapenda kula vya bure.

Baada ya kubadilisha jina kutoka twitter mpaka X nia na lengo la imani yake imesha julikakana.

Ndugu zangu duniani kuna mitandao mingi mfano mjusi mark ameanzisha mtandao unaitwa threads ambayo chata yake ni 666. Hii hapa. Pia huyu jamaa tajiri elon musk nae kaja na ukweli wote kwamba taasisi ya wanga na wachawi inamiliki pia mtandao wa X. Chata yao hii hapa. Ushauri wangu jikite mbali sana na hii mitandao ya kijamii na pia epuka kutumia majina yako halisi,tarehe halisi ya kuzaliwa pamoja na mwaka utanishukuru kumbuka usiweke picha zako wewe na familia yako pia. Hawa watu wanajua kila kitu.

Kama wewe unafuatilia mitandao hii ni kawaida yako kuota ndoto za watu maarufu kama Wanasiasa na wasanii. Hizo siyo ndoto nzur. Ukiota msanii au mwanasiasa mara nyingi sana jua nyota yako ipo hatarini.

Epuka mitandao ya kijamii tumia kwa akili usiwele taarifa zako za kweli mfano email au namba ya simu zitowe huko anza upya na fekelo lako utanishukuru.

Alama hizi za dini ya freemason zilizotumiwa hapa ni kwa manufaaa ya jamii basi mimi sina lengo la kumtoa mtu kwenye hiyo mitandao. Siku hizi ukimponda mtuaarufu anakufata hadi ndotoni ukiwa umelala.

View attachment 2704094View attachment 2704105
Huu ujinga upo mpaka leo?
Tafuta pesa bro, hacha kuita watu majina mabaya kwa vile wana pesa ndeefu, na wewe huna,
Kwa, mwendo huu, mtoto atakae zaliwa Leo, akifikisha miaka 25,atasema Diamond ni freemason, kwa vile tu atamkuta ana pesa ndeefu, watu wanaumiza vichwa, wewe unashinda unaomba Mungu! Akupe V8, bila kutoa jasho.
 
True Kuna msanii maarufu bongo Huwa namponda kuna siku nilimuota ndotoni kanitembelea tupo location.
Maana yake nini au niwahi kukanyaga mafuta kawe.
 
freemason ni nini hasa

Freemasonry is fundamentally a self-improvement, volunteer association that teaches moral, intellectual, and spiritual lessons through three initiation ceremonies. Freemasonry's three degree are modeled after a craftsman's progress: Apprentice, Fellowcraft, and Master Mason.

Kwa tafsiri ya nje.
Ili neno secret society why secret ndio uleta ukakasi
 
Back
Top Bottom