Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,618
Tajiri ELon musk amesema anaweza kutoa zaidi ya dollar za kimarekani bilioni moja ikiwa kampuni ya Wikipedia itajibadilisha jina lake.
CEO wa Tesla amewapa ofa Wikipedia kwa kuwataka wabadili jina lao toka Wikipedia kuwa Dickpedia. Pendekezo Hilo lisilo la kawaida ambalo lilitolewa Kwenye mtandao wa Twitter (X) na kuwavutia watu wengi wa jamii ya mtandao huo.
Shida hii imekuja baada ya mmiliki wa Wikipedia Jimmy Wales kumkosoa Elon musk kwa kuwadhibiti baadhi ya watu wanaomkosoa Rais wa Uturuki Mr Recep Tayyip Erdogan kuhusu jinsi nchi anavyoendesha.
Wikipedia huwa inatabia ya kuchangisha watu pesa kwa Ajili ya kuchangia kwa Chochote mtu anachokiweza ndipo Elon musk aliwaambia waite TU Donationpedia maana wanachangisha sana watu pesa.
Sio hivyo TU Elon musk ameongezea kwa kusema atawapa hiyo dollar za kimarekani bilioni moja ikiwa watabadili jina Hilo kwa mwaka mmoja TU japo Wikipedia wali post Wikipedia haiuzwi.
Ungekua wewe mmiliki wa Wikipedia ungefanyaje ??