Na ukizingatia hospital ghali pole yao heri mie nisie gusa pombe wala sodaNi wangapi kati yetu wanajua kuwa pombe kali.. Whisky, brandy na spirit hazitaki msosi wa mawazo.? Kwamba ikishuka tumboni ni moja kwa moja kwenye ini na figo?
Ni wangapi kati yetu wanajua kwamba unaweza ukanywa dawa (kuacha fragile) kisha ukaendelea na pombe bila kuhisi madhara lakini kumbe umeumiza ini na figo zako huku dawa ikishindwa kufanya kazi?
Tuachane na hayo... Upo mtindo wa watu kupenda pombe kali kwa kuchanganya na Red bull (kiswazi red blu)... Pombe inageuka kuwa tamu, ukakasi unaisha na inaongezea nguvu ya kuperfom.. Kuna baadhi huitumia kama booster sawa na viagra..
Nisikilize kwa makini... Unaweza kufanya hivyo mara moja moja lakini isiwe ndio mazoea.... Utajikuta pombe ikiisha mwilini na red bull ikiisha nguvu hupata uchovu wa ajabu na kama ulikunywa zaidi ya red bull mbili basi pamoja na uchovu utajihisi viungo kuuma na misuli kukaza... Discomfort fulani hivi mwilini
Ni vema ukajitibia kwa kunywa maji mengi uondoe sumu mwilini kuliko kwenda kuzimua.... Ukizimua utajisikia vizuri uchovu utaisha viungo na misuli vitarudi katika hali yake... Lakini ndio mwanzo wa kuingia kwenye madawa ya kulevya
Ni ushauri kidogo tu.. Kunywa kwa tahadhari kunywa kwa kipimo figo, ini havina spare
Wataalam wanatuambia unywaji wa wine unakuexpose kwenye magonjwa ya sarataniMmmh kwanini mkuu?
Doooh! Tutakunywa nini sasa Maji hayashuki, bia unaacha unakimbilia wine unaambiwa saratani tena!Wataalam wanatuambia unywaji wa wine unakuexpose kwenye magonjwa ya saratani
Balaa,wazungu wanateseka sana na sarataniDoooh! Tutakunywa nini sasa Maji hayashuki, bia unaacha unakimbilia wine unaambiwa saratani tena!
Kumbe ndo maana wazungu huu ugonjwa unawasumbua mnoo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]kabla ya kushusha JAMESON yangu natanguliza supu ya maana ya kongoro mixer mandizi ndizi na maji kubwa.....baada ya dk 45 JAMESON na ICE CUBES zinakua zishafika mezani, hapo ni sasa ni mpaka saa 02;39 a.m nakamata na mutoto mmoja wa jamii ya kinyarwanda nasogea de fransee kunyoosha viungo......
kuacha pombe ni kazi
cc: chama cha wanywaji Tanzania
chama cha walevi Tanzania
kama maradhi ganiKunywa maji kwa wingi hasa baada ya pombe kali ni mandatory, tena ikibidi pumzika hata siku 5 au 7, mwili ukae vizuri tena, pombe kali ukifufuliza kila siku lazima uvune maradhi tu...
kiwango kidogo ni kipi au kinapimwaje mkuuKula chakula kingi na cha aina tofauti tofauti,kufanya mazoezi sahihi na ya kutosha,kunywa maji mengi kadiri ya mwili wako na kwa kulingana na chakula unachokula na mazoezi unayofanya,kulala usingizi wa kutosha kwa muda ule ule kila siku,tumia pombe kwa kiwango kidogo sana .Ndio suluhisho.
utafanya mazoezi kuanzia asubuhi hadi usiku duh hongera[emoji36][emoji36][emoji36] ngoja nianze mazoezi
mbona mzee wangu ana miaka 88 sasa hivi hajui hata hiyo pancrees inafananaje na anapiga tungi tangu anabalehe au hayo madhara yanapendelea.usinijibu ni bahati yakeInadhohofisha Pancreas (Kongosho) na kuharibu mfumo wa uchujaji sukari mwilini.Siyo suala la kupepesuka tu.Mm mwenyewe naelekea Bar sasa hivi ila nimeambiwa ile bia yenye jina la moja ya.mbuga maarufu TZ eti haina madhara!!!Vituko vya ulevi.
1.hata kama wana msaada na wewe sehemu nyingine kwenye maisha?kikazi,kielimu,kimaisha,kifamilia nkHatua hizi zilinisaidia
1. Kuachana na marafiki
walevi.
2. Kujiunga na kanisa
la kilokole
3. Kuwa mtu wa maombi daily
4. Kupokea maombezi /
ushauri kutoka kwa pastor.
5. Ujazo wa Roho Mtakatifu.
Kwa kifupi niliweka kambi kanisani mpaka alcohol yote ikatoweka mwilini.
Kama upo Dar njoo pm nikuelekeze pahali unapoweza kupewa uponyaji bure kabisa.
Yaani ulevi wa pombe itabaki kuwa historia kwako
safi sana kumbe makongosho yanajenga kinga ,sasa jamaa anaogopa niniKongosho lake limejijengea kinga
hahaaa kwamba utaishi,hadi lini mkuuSitakufa bali nitaishi kuyasimulia matendo ya BWANA.
Mungu sio Mungu wa wafu,
Walevi wa pombe wote ni wafu.
Swali zuri nadhani kongosho pia inategemea na chakula.Kama yupo kijijini lazima atakuwa anakula mboga za majani kwa sana na vyakula asili.Kama yuko mjini kwenye kukaangiza tunaweza kuweka mjadala.Mama yangu ana miaka karibu 90 anasoma vizuri mm napata tabu kusoma presha yake 120/80 na anakula gongo hatari.Usipimembona mzee wangu ana miaka 88 sasa hivi hajui hata hiyo pancrees inafananaje na anapiga tungi tangu anabalehe au hayo madhara yanapendelea.usinijibu ni bahati yake
mbona hata chai ina sukari na tunakunywa tangu utotoni.Bia nakubali ni mbaya ila whiskey ni tiba kiaina. Bia inaongezwa sukari lakini whiskey ni full mchujo without shugar
diabetes ipi kuna aina nyingiMtu mwenye diabetes anaweza kunywa pombe gani?