GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,469
Mkuu wadau wanasema kuna “faida” lukuki kwenye unywaji bia.. Embu peruzi hapa ujionee:Asante kwa Somo.Vipi Whisky na Beer kipi kinaumiza ini/figo haraka?Wengine wanasema whisky hazina wanga kwa hiyo si mbaya na hasa kwenye Suala la Blood Sugar.Karibu
From Wine to Whiskey: 7 Crazy Health Benefits of Alcohol