Elimu kwa walevi wa pombe kali

Elimu kwa walevi wa pombe kali

aaaaa wewe kunywa mpaka figo zife ndo ushauri. ila mimi msosi lazima na nikijua naenda kunywa makali huwa nagonga msosi wa kutosha maji kisha na pumzika then naenda nafuta ka nyama hata nusu kakuchoka kisha ndo naanza kunywa na nikipiga k vant ndogo inanitosha sana ndo naanza na bia mbili siku imeisha nikienda kula kula nakunywa maj ya moto kama glasi nzima kisha nakula nalala.
 
3ba728be03d54e7ffde6226dd10d971e.jpg
 
researchers wanarecommend 21units za kilevi kwa wanaume na 14 units wanawake kwa wiki, units unacalculate kwa kuzidisha ujazo wa chupa na asilimia za kilevi, then unagawa kwa 1000, mfno pombe yenye 38% of alcohol na volume 200ml ina unit 7.6.
ukifuata hii ushauri hizo alcoholic cirrhosis, hepatocellular carcinoma, chronic hepatitis unaweza usipate, reference google.com
 
researchers wanarecommend 21units za kilevi kwa wanaume na 14 units wanawake kwa wiki, units unacalculate kwa kuzidisha ujazo wa chupa na asilimia za kilevi, then unagawa kwa 1000, mfno pombe yenye 38% of alcohol na volume 200ml ina unit 7.6.
ukifuata hii ushauri hizo alcoholic cirrhosis, hepatocellular carcinoma, chronic hepatitis unaweza usipate, reference google.com
unaakili kijana wangu safi sana. tatizo watu wana fukia tu ndo tatizo
 
Hatua hizi zilinisaidia

1. Kuachana na marafiki
walevi.

2. Kujiunga na kanisa
la kilokole

3. Kuwa mtu wa maombi daily

4. Kupokea maombezi /
ushauri kutoka kwa pastor.

5. Ujazo wa Roho Mtakatifu.

Kwa kifupi niliweka kambi kanisani mpaka alcohol yote ikatoweka mwilini.

Kama upo Dar njoo pm nikuelekeze pahali unapoweza kupewa uponyaji bure kabisa.

Yaani ulevi wa pombe itabaki kuwa historia kwako
Utabaki ulevi wa brainwash tu.
 
Ujumbe mzuri kwa wale walevi, Mkuu hii inawahusu walevi wote though wanakuja kupata same problem

yani mlevi ukimfata kumweleza haya anakwambia unataka pombe [emoji15] [emoji15]
Arafu anasema kama hutaki pombe acha kuleta giza hpa BT ka unataka kunywa sasa muombe hta ela ukanunua unga atakwambia hanaaa hili ndo ttzo lilipoanziaga LA walevi na bila shaka aliewaloga alikufa zaman Sana'a na hta kaburi lake pia halijulikan lilipo hta wakasome jina alikuwa anaitwa nan
 
Bro !! Mshana. unajisumbua. hivi hujastukia unaowasiliana nao hata mambo yetu hawatumii ? Nafahamu your IQ is high , so why worry about those peoples ? I wonder !!
 
Ni wangapi kati yetu wanajua kuwa pombe kali.. Whisky, brandy na spirit hazitaki msosi wa mawazo.? Kwamba ikishuka tumboni ni moja kwa moja kwenye ini na figo?
Ni wangapi kati yetu wanajua kwamba unaweza ukanywa dawa (kuacha fragile) kisha ukaendelea na pombe bila kuhisi madhara lakini kumbe umeumiza ini na figo zako huku dawa ikishindwa kufanya kazi?
Tuachane na hayo... Upo mtindo wa watu kupenda pombe kali kwa kuchanganya na Red bull (kiswazi red blu)... Pombe inageuka kuwa tamu, ukakasi unaisha na inaongezea nguvu ya kuperfom.. Kuna baadhi huitumia kama booster sawa na viagra..
Nisikilize kwa makini... Unaweza kufanya hivyo mara moja moja lakini isiwe ndio mazoea.... Utajikuta pombe ikiisha mwilini na red bull ikiisha nguvu hupata uchovu wa ajabu na kama ulikunywa zaidi ya red bull mbili basi pamoja na uchovu utajihisi viungo kuuma na misuli kukaza... Discomfort fulani hivi mwilini
Ni vema ukajitibia kwa kunywa maji mengi uondoe sumu mwilini kuliko kwenda kuzimua.... Ukizimua utajisikia vizuri uchovu utaisha viungo na misuli vitarudi katika hali yake... Lakini ndio mwanzo wa kuingia kwenye madawa ya kulevya
Ni ushauri kidogo tu.. Kunywa kwa tahadhari kunywa kwa kipimo figo, ini havina spare
Wewe wa kike au kiume?
 
Asante kwa Somo.Vipi Whisky na Beer kipi kinaumiza ini/figo haraka?Wengine wanasema whisky hazina wanga kwa hiyo si mbaya na hasa kwenye Suala la Blood Sugar.Karibu
dawa za hospital vidonge vina madhara mara 100 zaidi ya pombe
 
Bro !! Mshana. unajisumbua. hivi hujastukia unaowasiliana nao hata mambo yetu hawatumii ? Nafahamu your IQ is high , so why worry about those peoples ? I wonder !!
Kuna wachache watasikia.. Watakaopuuza kuna siku watanikumbuka au wataikumbuka hii post.. Tuna dhima ya kuelimisha pia
 
Pombe inafaida kulikp hasara


Kwanza wanywaji Wa pombe chemical wanazo tumia n chache kuliko watumia novida


Maana Sie n pombe Tuu


HV wajua walevi kuumwa n nadra sana??

Unajua chemical zinazopatikana mahospital,bado soda bado umesahau wasio tumia pombe ulevi WAP Mkubwa n wasichana??

Tuachen

By the way

Spirit ni bora zaid kuliko hayo mabia

Mwana karibun Hapa nipo jipaba la maaana
 
Back
Top Bottom