Ntafanyaje sasa? kufa na ukimwi au pombe? Kipi boraDuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
haiwezekan@ Duu JF kiboko na wewe unaogopwaMwana nimechomeshwa mahindi
Kaka mkubwa hilo jina tu asili yake na totoz haviachani. ila duh !! Unanikata stimu, maana hapa nina jibapa nimelilaza si unajua bro weekend tunamaliza hesabu mapema ili kesho alfajiri tuwahi ?Au dem[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si ucheki list yako Kaka. kwa nini uchomeshwe mahindi halafu uwe mpole ?[emoji12] [emoji12] [emoji12] !!!Mwana nimechomeshwa mahindi
Una roho ngumu mkuu !!Eti SMINEOFF yakweli haya au ni kutuchonganisha tu,kisa wanauza soda
Achana nao embu lete Faru john mmoja hapa,
Huyu ndio mlevi halisiKifo kipo tu hakikwepeki, ikipangwa imepangwa tu