Mkuu kabla ya kunywa hiyo hakikisha umepiga protein ya kutosha. haitakusumbua kamweBapa
Daah! Hapo si ni bia moja tu kiongozi? Wale wazee wa kata mti panda mti hawawezi hii.500 mls per day. Na beer isiyo na sukari hata 1000 mls sio mbaya. But Generally beer zenye sukari iliyoongezwa sio nzuri.
Nilikuwa napiga protein za kutosha lkn nikaishia kuwa mgonjwa tuMkuu kabla ya kunywa hiyo hakikisha umepiga protein ya kutosha. haitakusumbua kamwe
Daah! Hapo si ni bia moja tu kiongozi? Wale wazee wa kata mti panda mti hawawezi hii.
Nilikuwa napiga protein za kutosha lkn nikaishia kuwa mgonjwa tu
Hahahaaa! Amen![emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa boss mpate mbili, zikizidi tatu tu mrudi mkajumuike na familia.
Sometimes afadhali bia kwakuwa kuna watu hiyo whisky huipiga dryAsante kwa Somo.Vipi Whisky na Beer kipi kinaumiza ini/figo haraka?Wengine wanasema whisky hazina wanga kwa hiyo si mbaya na hasa kwenye Suala la Blood Sugar.Karibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inadhohofisha Pancreas (Kongosho) na kuharibu mfumo wa uchujaji sukari mwilini.Siyo suala la kupepesuka tu.Mm mwenyewe naelekea Bar sasa hivi ila nimeambiwa ile bia yenye jina la moja ya.mbuga maarufu TZ eti haina madhara!!!Vituko vya ulevi.
Ndio narudi hewani jana nilikula jibapa, Dompo viceroy nikamalizia na mchina.. Hapa nahisi huu mwili si wanguBro Mshana leo hajatinga kwenye mambo yetu. ana kazi kubwa ya kuratibu ishu za kikao kule kilingeni msataaa [emoji12] [emoji12] [emoji12] !!!