Eti niende na ini na figo kaburini vizima😂😂 yaaani niwapelekee funza na wadudu wengine viungo vyote vizima? Hapana aise hata hivyo mbinguni tutapewa miili mipya.
Tusitishane.Kifo ni wakati wowote na chochote chasababisha kifo.Iwe maji,chakula au hewa.Matumizi ya ziada ya chochote ni hatari!Ni wangapi kati yetu wanajua kuwa pombe kali.. Whisky, brandy na spirit hazitaki msosi wa mawazo.? Kwamba ikishuka tumboni ni moja kwa moja kwenye ini na figo?
Ni wangapi kati yetu wanajua kwamba unaweza ukanywa dawa (kuacha fragile) kisha ukaendelea na pombe bila kuhisi madhara lakini kumbe umeumiza ini na figo zako huku dawa ikishindwa kufanya kazi?
Tuachane na hayo... Upo mtindo wa watu kupenda pombe kali kwa kuchanganya na Red bull (kiswazi red blu)... Pombe inageuka kuwa tamu, ukakasi unaisha na inaongezea nguvu ya kuperfom.. Kuna baadhi huitumia kama booster sawa na viagra..
Nisikilize kwa makini... Unaweza kufanya hivyo mara moja moja lakini isiwe ndio mazoea.... Utajikuta pombe ikiisha mwilini na red bull ikiisha nguvu hupata uchovu wa ajabu na kama ulikunywa zaidi ya red bull mbili basi pamoja na uchovu utajihisi viungo kuuma na misuli kukaza... Discomfort fulani hivi mwilini
Ni vema ukajitibia kwa kunywa maji mengi uondoe sumu mwilini kuliko kwenda kuzimua.... Ukizimua utajisikia vizuri uchovu utaisha viungo na misuli vitarudi katika hali yake... Lakini ndio mwanzo wa kuingia kwenye madawa ya kulevya
Ni ushauri kidogo tu.. Kunywa kwa tahadhari kunywa kwa kipimo figo, ini havina spar
Kaka cheni bloku ni ipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]njaa hawali vizuri nyama choma zao ni
Mapupu
Halohalo
Cheni bloku
Ngozi
Na namba 11
Sent using Jamii Forums mobile app
Utumbo wa kuku[emoji23]Kaka cheni bloku ni ipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my GIONEE S11 lite using JamiiForums mobile app
Huna lolote weweNi wangapi kati yetu wanajua kuwa pombe kali.. Whisky, brandy na spirit hazitaki msosi wa mawazo.? Kwamba ikishuka tumboni ni moja kwa moja kwenye ini na figo?
Ni wangapi kati yetu wanajua kwamba unaweza ukanywa dawa (kuacha fragile) kisha ukaendelea na pombe bila kuhisi madhara lakini kumbe umeumiza ini na figo zako huku dawa ikishindwa kufanya kazi?
Tuachane na hayo... Upo mtindo wa watu kupenda pombe kali kwa kuchanganya na Red bull (kiswazi red blu)... Pombe inageuka kuwa tamu, ukakasi unaisha na inaongezea nguvu ya kuperfom.. Kuna baadhi huitumia kama booster sawa na viagra..
Nisikilize kwa makini... Unaweza kufanya hivyo mara moja moja lakini isiwe ndio mazoea.... Utajikuta pombe ikiisha mwilini na red bull ikiisha nguvu hupata uchovu wa ajabu na kama ulikunywa zaidi ya red bull mbili basi pamoja na uchovu utajihisi viungo kuuma na misuli kukaza... Discomfort fulani hivi mwilini
Ni vema ukajitibia kwa kunywa maji mengi uondoe sumu mwilini kuliko kwenda kuzimua.... Ukizimua utajisikia vizuri uchovu utaisha viungo na misuli vitarudi katika hali yake... Lakini ndio mwanzo wa kuingia kwenye madawa ya kulevya
Ni ushauri kidogo tu.. Kunywa kwa tahadhari kunywa kwa kipimo figo, ini havina spare