Elimu kwa walevi wa pombe kali

Elimu kwa walevi wa pombe kali

Kwa hiyo mshana hizi safari zangu mbili nazokunywa kila siku jioni zina madhara?
e303eb90edb82fc913a0d79422521307.jpg
 
kaka tangu lini umekua mtaalamu wa haya mambo...maana mimi nakujua zaidi kwenye ule upande mwingine
 
Hatua hizi zilinisaidia

1. Kuachana na marafiki
walevi.

2. Kujiunga na kanisa
la kilokole

3. Kuwa mtu wa maombi daily

4. Kupokea maombezi /
ushauri kutoka kwa pastor.

5. Ujazo wa Roho Mtakatifu.

Kwa kifupi niliweka kambi kanisani mpaka alcohol yote ikatoweka mwilini.

Kama upo Dar njoo pm nikuelekeze pahali unapoweza kupewa uponyaji bure kabisa.

Yaani ulevi wa pombe itabaki kuwa historia kwako
Ukiwa mtu wa maombi daily, pombe unaiacha

Vipi kuna mafanikio umeyapata baada ya kuachana na ulevi?
 
Lakini hata sasa asema bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote
 
Kunywa maji kwa wingi hasa baada ya pombe kali ni mandatory, tena ikibidi pumzika hata siku 5 au 7, mwili ukae vizuri tena, pombe kali ukifufuliza kila siku lazima uvune maradhi tu...

Mkuu upumzike siku tano pombe kali au upumzike pombe kabisa? Duh siku saba (7) hujanywa pombe, unaishije sasa? Ngumu sana kwangu.
 
Mkuu upumzike siku tano pombe kali au upumzike pombe kabisa? Duh siku saba (7) hujanywa pombe, unaishije sasa? Ngumu sana kwangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora ujisemee ukweli tu
 
Mkuu upumzike siku tano pombe kali au upumzike pombe kabisa? Duh siku saba (7) hujanywa pombe, unaishije sasa? Ngumu sana kwangu.
Pombe hatari sana boss, hizo siku tano uwe unakula vizuri na kunywa maji mengi sana, bila kusahau usingizi mno mno, baada ya siku tano unaingia mzigoni tena, weekend, hivyo hivyo boss...Maana pombe ni sumu, uzeeni lazima itaonyesha ilivyo kali, usipoangalia ukijaliwa hai mpaka uzeeni itabidi uwategemee watoto, mke na ndugu kujihudumia...Pombe si mchezo boss achana nayo kabisa, iheshimu kama wanyama wakali..
 
Back
Top Bottom