Mkuu, kwa nini muda ule ule?Kula chakula kingi na cha aina tofauti tofauti,kufanya mazoezi sahihi na ya kutosha,kunywa maji mengi kadiri ya mwili wako na kwa kulingana na chakula unachokula na mazoezi unayofanya,kulala usingizi wa kutosha kwa muda ule ule kila siku,tumia pombe kwa kiwango kidogo sana .Ndio suluhisho.
Mkuu, cheers[emoji23]Hiyo ni tofauti na drinkiiiins ndio maana wamekwambia usinywe zaidi ya mbili kwa siku, ila tungi drink to your own risk. mkuu tofautisha
Mkuu..kwa kuwa uliacha huwezi kufa?Utakufa kwa uzembe wako, mimi niliacha mbona?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa boss mpate mbili, zikizidi tatu tu mrudi mkajumuike na familia.Sasa ndio ushauri gani huo mkuu! tukumbushe kunywa kiasi na kula vizuri, sio kuacha bhana!
Mkuu...hayo maisha magumu sana.Hatua hizi zilinisaidia
1. Kuachana na marafiki
walevi.
2. Kujiunga na kanisa
la kilokole
3. Kuwa mtu wa maombi daily
4. Kupokea maombezi /
ushauri kutoka kwa pastor.
5. Ujazo wa Roho Mtakatifu.
Kwa kifupi niliweka kambi kanisani mpaka alcohol yote ikatoweka mwilini.
Kama upo Dar njoo pm nikuelekeze pahali unapoweza kupewa uponyaji bure kabisa.
Yaani ulevi wa pombe itabaki kuwa historia kwako
Sitakufa bali nitaishi kuyasimulia matendo ya BWANA.Mkuu..kwa kuwa uliacha huwezi kufa?
Mshana wewe ni mwalimu nakufananisha na mtu anaitwa padre karugendo.Ni wangapi kati yetu wanajua kuwa pombe kali.. Whisky, brandy na spirit hazitaki msosi wa mawazo.? Kwamba ikishuka tumboni ni moja kwa moja kwenye ini na figo?
Ni wangapi kati yetu wanajua kwamba unaweza ukanywa dawa (kuacha fragile) kisha ukaendelea na pombe bila kuhisi madhara lakini kumbe umeumiza ini na figo zako huku dawa ikishindwa kufanya kazi?
Tuachane na hayo... Upo mtindo wa watu kupenda pombe kali kwa kuchanganya na Red bull (kiswazi red blu)... Pombe inageuka kuwa tamu, ukakasi unaisha na inaongezea nguvu ya kuperfom.. Kuna baadhi huitumia kama booster sawa na viagra..
Nisikilize kwa makini... Unaweza kufanya hivyo mara moja moja lakini isiwe ndio mazoea.... Utajikuta pombe ikiisha mwilini na red bull ikiisha nguvu hupata uchovu wa ajabu na kama ulikunywa zaidi ya red bull mbili basi pamoja na uchovu utajihisi viungo kuuma na misuli kukaza... Discomfort fulani hivi mwilini
Ni vema ukajitibia kwa kunywa maji mengi uondoe sumu mwilini kuliko kwenda kuzimua.... Ukizimua utajisikia vizuri uchovu utaisha viungo na misuli vitarudi katika hali yake... Lakini ndio mwanzo wa kuingia kwenye madawa ya kulevya
Ni ushauri kidogo tu.. Kunywa kwa tahadhari kunywa kwa kipimo figo, ini havina spare
Niliporomokar kiafya, kitambi uchwara kuota, nilikuwa nateseka sana na magonjwa yasababishwayo na alcohol.Mkuu...hayo maisha magumu sana.
Au uliporomoka financially au ki afya...,,[emoji46]
Go to hell!! Hahaha natania Broo!!Kuacha pombe ni kazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] mi itaniua tu
kumbe wewe ndio uliesema ikikuua hulipiKuacha pombe ni kazi [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36] mi itaniua tu
Vp kuhusu bia, unatakiwa usizidi Mls ngap?
Hakuna jibu sahihi utapata. Muhudumu ongeza glass ili nikalale [emoji56][emoji56] !!Mkuu...hayo maisha magumu sana.
Au uliporomoka financially au ki afya...,,[emoji46]
Pombe gani Ulikua unatumia ?Niliporomokar kiafya, kitambi uchwara kuota, nilikuwa nateseka sana na magonjwa yasababishwayo na alcohol.
Sasa nipo fit hamna bp wala kitambi uchwara, nimeokolewa na YESU.
Hivi anafikiri kuna mlevi asiyejua athari ya anachokifanya....... Hahahahahaaa
Bia nakubali ni mbaya ila whiskey ni tiba kiaina. Bia inaongezwa sukari lakini whiskey ni full mchujo without shugar500 mls per day. Na beer isiyo na sukari hata 1000 mls sio mbaya. But Generally beer zenye sukari iliyoongezwa sio nzuri.
BapaPombe gani Ulikua unatumia ?