fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 6,028
- 6,361
una matatizo yako binafsi kamuone daktariNilikuwa napiga protein za kutosha lkn nikaishia kuwa mgonjwa tu
una matatizo yako binafsi kamuone daktariNilikuwa napiga protein za kutosha lkn nikaishia kuwa mgonjwa tu
Wewe una Double chance, wazee wa kuweka mzigo wamenielewa.Kufa siku zako zikifika
mbona tunakunywa na familia zetu hazijawahi kulia shidaArafu anasema kama hutaki pombe acha kuleta giza hpa BT ka unataka kunywa sasa muombe hta ela ukanunua unga atakwambia hanaaa hili ndo ttzo lilipoanziaga LA walevi na bila shaka aliewaloga alikufa zaman Sana'a na hta kaburi lake pia halijulikan lilipo hta wakasome jina alikuwa anaitwa nan
Yalikuwa ni matatizo yasababishwayo na pombe, nilipoacha kunywa tu hali yangu ya afya ikarudi kawaida, no kitambi uchwara wala bp nipo fit sasa.una matatizo yako binafsi kamuone daktari
uliyapata wewe tu? au wote uliokua unakunywa nao?Yalikuwa ni matatizo yasababishwayo na pombe, nilipoacha kunywa tu hali yangu ya afya ikarudi kawaida, no kitambi uchwara wala bp nipo fit sasa.
Siku zote za maisha yangu nitaishi.hahaaa kwamba utaishi,hadi lini mkuu
@kasongo umenifanya nicheke kwa sauti...Swali zuri nadhani kongoshi pia inategemea na chakula.Kama yupo kijijini lazima atakuwa anakula mboga za majani kwa sana na vyakula asili.Kama yuko mjini kwenye kukaangiza tunaweza kuweka mjadala.Mama yangu ana miaka karibu 90 anasoma vizuri mm napata tabu kusoma presha yake 120/80 na anakula gongo hatari.Usipime
@kasongo umenifanya nicheke kwa sauti...Swali zuri nadhani kongoshi pia inategemea na chakula.Kama yupo kijijini lazima atakuwa anakula mboga za majani kwa sana na vyakula asili.Kama yuko mjini kwenye kukaangiza tunaweza kuweka mjadala.Mama yangu ana miaka karibu 90 anasoma vizuri mm napata tabu kusoma presha yake 120/80 na anakula gongo hatari.Usipime
wengine wanaishi siku zipi mkuu kama sio za maisha yaoSiku zote za maisha yangu nitaishi.
Niliokunywa nao wala sijui walipo maana niliachana na hao wachochezi wa ulevi.uliyapata wewe tu? au wote uliokua unakunywa nao?
i think na wao pia wanathink your dead ila kiuhalisia kila mtu anaishi maisha yake ya amani mpaka pale mola atakapoamua kuchua roho yake either uanze wewe au mmoja waoNiliokunywa nao wala sijui walipo maana niliachana na hao wachochezi wa ulevi.
I think they're dead
Hujawahi kukutana na kibabu wa miaka 30 wewe.wengine wanaishi siku zipi mkuu kama sio za maisha yao
Wameondoka mie nipo gado najiachia na juice ya miwa kwa raha zangu.i think na wao pia wanathink your dead ila kiuhalisia kila mtu anaishi maisha yake ya amani mpaka pale mola atakapoamua kuchua roho yake either uanze wewe au mmoja wao
Ndio,madhara yake makubwa kabisa ni kutokulewa,unamaliza pesa nyingi alafu haulewi kabisaHivi Wine ina madhara?
hahahaaaa.....Yabanike tu yakiiva minyoo itakula
Unaifahamu hii?hahahaaaa.....
kiukweli kuchanganya pombe kali na kinywaji kingine ndo siwezi labda johnwolker ndo naekaga malimao ya kutosha
acha tuu minyoo wafanye yao..... sasa wote amtaki kutangulia.. ngoja mi nianze nkawawekee nafasi!!
sjazoea kuchanganya na siwezi