Elimu kwa walevi wa pombe kali

Elimu kwa walevi wa pombe kali

kama maradhi gani
Figo kuacha kufanya kazi, ikitokea hapo kazi unayo, itabidi tumbo lako litobolewe ili uwe unatembea na mfuko wa mikojo yako, Ini, hili likifa Ngosha hesabu siku, mwili kukosa nguvu na kudhoofika, akili kutokuwa timamu kila wakati, yaani wewe uko bwi muda tu muda wote, lazima hata maamuzi yako yatakuwa na mashaka kwa wenzako...Ni maradhi mengi mno mkuu, tahadhari tu...
 
kumbe unaongelea wanywa mataputapu na gongo
 
Any thing too much is harmfull mkuu.sio pombe mkuu pekee. Kwa aina ya maradhi uliyoongelea hapo huyo ni mywa gongo na mataputapu aliyekithiri.mimi ninayewasha gari yangu na mke wangu tunaingia pale rose garden au break point kinondoni tunapiga windhoek zetu za kutosha na ugali samaki mkubwa.then tunarudi zetu kupumzika, utasubiri sana tuje tupate hayo maradhi uliyoyasema hapo.
 
Doooh! Tutakunywa nini sasa Maji hayashuki, bia unaacha unakimbilia wine unaambiwa saratani tena!

Kumbe ndo maana wazungu huu ugonjwa unawasumbua mnoo
We mwanamke hebu elezea vizuri hii kitu mana mm ni mtumiaji mzuri wa wine.
 
Duh!!Yaani nafungua huu uzi wakati mezani nina konyagi!!Nimwage sasa!!!Ngoja nimalizie hii chupa ndogo a.k.a kisichana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Swali zuri nadhani kongosho pia inategemea na chakula.Kama yupo kijijini lazima atakuwa anakula mboga za majani kwa sana na vyakula asili.Kama yuko mjini kwenye kukaangiza tunaweza kuweka mjadala.Mama yangu ana miaka karibu 90 anasoma vizuri mm napata tabu kusoma presha yake 120/80 na anakula gongo hatari.Usipime
Halafu wazee wetu hawa wakizeeka wanakimbilia kujidunga kinoma...hivi sababu ni nini? Wanaogopa kifo or?
 
Halafu wazee wetu hawa wakizeeka wanakimbilia kujidunga kinoma...hivi sababu ni nini? Wanaogopa kifo or?
Haa haaa mm nimepambana naye aache nimeshindwa nimeamua kumuacha.Wanakijiji wanasema nimuache ndiyo inamfanya awe na nguvu.
Halafu wazee wetu hawa wakizeeka wanakimbilia kujidunga kinoma...hivi sababu ni nini? Wanaogopa kifo or?
 
Daah! mi mabia hapana, kiungulia nilishindwa asee..

Na yale mapovu ndo kabisaa
No,unaweza ku opt windhook,amstel heineke,peroni,Carlsberg ama Grolsch ......katika hizo bia huwezi kosa hata moja usiipende watoto wa kike wenye class zenu nawaona wakigonga hizo bia bila shida. Hizo hazina povu kama mindovu,castle ama safari....
 
Pombe hatari sana boss, hizo siku tano uwe unakula vizuri na kunywa maji mengi sana, bila kusahau usingizi mno mno, baada ya siku tano unaingia mzigoni tena, weekend, hivyo hivyo boss...Maana pombe ni sumu, uzeeni lazima itaonyesha ilivyo kali, usipoangalia ukijaliwa hai mpaka uzeeni itabidi uwategemee watoto, mke na ndugu kujihudumia...Pombe si mchezo boss achana nayo kabisa, iheshimu kama wanyama wakali..
Wacha kujidanganya mkuu.
Kama shughuli zako ni za sokoni sawa sababu muda mwingi sana unapata wa kupiga zoga na story.
Hivi maisha ya kujichanganya na unajikuta unaweza kukaa miezi kadhaa hujaona family upo katika utafutaji, ati unjwe mimaji?
Hufikishi miaka 2 kama hujajingonga pasi tegemea kupooza, chezea maisha wewe.
Ati usingizi mnono? Umelala na milioni Mia chumbani kesho unatakiwa uziingize kwenye mzunguko, kichwa kinachemka, ati ninywe maji na usingizi mnono?
Usingizi mnono unaujua wewe, mimi nikipiga kitu, Sijui hata nalala saa ngapi mara paap morning.
Kunywa maji yako mkuu
 
No,unaweza ku opt windhook,amstel heineke,peroni,Carlsberg ama Grolsch ......katika hizo bia huwezi kosa hata moja usiipende watoto wa kike wenye class zenu nawaona wakigonga hizo bia bila shida. Hizo hazina povu kama mindovu,castle ama safari....
Asante mkuu, ntaopt hizo imported beer rather than local one! How about Savannah?

But kunywa kiwine siku moja moja nayo ni mbaya?
 
Haa haaa mm nimepambana naye aache nimeshindwa nimeamua kumuacha.Wanakijiji wanasema nimuache ndiyo inamfanya awe na nguvu.
Muache mkuu na stimu yake, sasa unataka aache aanze kunywa maji? Haaa haaa utamuondoa duniani mapema
 
Back
Top Bottom