Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Effects of knowing a person outside jf............prefer anonymuos

Kweli kabisa japo kuna watu matamanije kuwaona outside Jf...hata wew Sakapal n mmoja wao

mimi je? Haahaaahaaa! Utakiambiaje? Ka unakimbizwa na simba vile !
 
Wengine hizo avatar zenu ndo zinawashawishi watu watake kukuona... We hebu mcheki Heaven on earth , mwaJ Munkari Theodora Smile aafuu akuambie muonane, utaanzia wapi kukataaa...???
hapa mkuu umeongea point.. mimi nadhani members mtumie tu vitu kama maua, mimea, cartons e.t.c. kulikoni hizi avator za warembo, maana ukipanga kuonana na mwaJ utategemea kuona hilo tabasamu lake sasa kama hukuliona unaweza kusema hapana sio yeye.. angalia heaven on earth, hizo make-up zake wengine kama mimisa, sakapal na wengineo wengi ambao wana avators za kuvutia.. lakini kwa upande mwengine ni nzuri kwa kuvutia marafiki, sio kama ile ya boflo (mkuu na joke tu..) teh teh...
 
Sidhani kama kufahamiana nje ya jf ni tatizo kubwa sana. Nimekutana na wanajf kadhaa na wengi ni wastaarabu, ila inategemea mnakutana kwa lengo lipi?
 
Mambo dokta...eti si ulifurahi ulivyomuona Dokta watu8 eenh...?
Hivi eti we na watu8 mmeacha kuchat au kupunguza ukaribu wa jamvini thereafter?

binafsi sijawahi kujuta kufahamiana na wana JF.......na ningependa kufahamiana nao zaidi.......
 
Ushauri...
Ni hivi ndugu, kama hujisikii kukutana na mtu wa JF endelea kuwa na msimamo huo...

Mtazamo...
Binafsi huwa sina formula ya kutumia pindi linapokuja suala la kujuana na marafiki wapya...
Rafiki yoyote waweza kutana naye mahali popote ikiwemo JF...
Wapo watu ambao urafiki wao ulianza ndani ya daladala, au hata wengine wakati wakikimbia kichapo cha FFU...

Tahadhari...
Yes, ni muhimu kuchukua tahadhari kwa kuwa huu ni mtandao ambao watu hawatumii vitambulisho asilia.
Kama una mpango wa kuonana na mtu ni vyema makutano yenu yakawa ni sehemu za wazi na zaidi unaweza hata kuongozana na rafiki mwingine.

"Pamoja na kwamba tunatumia avatar na ID's feki, lakini hilo halibadilishi uhalisia wa mioyo yetu."
 
Call me whatever you want lakini i am and will always be very careful who i meet. Kuna mtu hata kuchat nae pm tu ni kero keroro! Anakuwa kama mwandishi wa habari na ataKuweka Front page. Oooh flani ni mkulima wa maembe sijui nini! Khaaa!.
Huu msimamo ni anti-social kwa kweli. mi siukubali. dunia imebadilika. Zamani watu walikuwa wanaanzia urafiki kwenye mikutano ya kijamii kama mdundiko na ngoma zingine--au hata kwenye misiba. Dunia ya leo haya majamvi ndo mikusanyiko yenyewe hii.

Haya; mimi nimependa mind ya mtu nataka nimjue face to face na pengine kujenga mahusiano. Wewe Sakapal unakataza hiyo? Hili wazo lako limekaa anti-social sana alo. Halaf nikwambie hii mikusanyiko imekaa vizuri zaidi kuliko ile mikusanyiko ya zamani kwa kuwa awali ulianzia kwenye sura na maumbile, leo unaanzia kwenye brain. which is very good!

Hapa JF unaanzia kwenye akili ya mtu unavyoisoma. Mimi nasema umempenda mtu hapa, Get Physical!
Likibuma kwan kuna ubaya gani. Mbona hata hizo nyinginezo nazo huwaga zinabuma tu.

Mi naona kugoma kuonana na watu ni kukosa tu self confidence, ni kukosa tu self esteem!
 
Tabia haina dawa baba. We learn the hard way.

Best hiyo tabia kweli ni ya Kiswahili sana...Hata mimi huwa inanikera sana...
Kuna jamaa ashawahi kusimamisha thread hapa akimwaga sifa kedekede kwa rafikiye waliyetiana machoni...
Pia kuna mwingine ashawahi mpondea dada wa watu sijui walipanga wakutane wapi huko...

Hivyo kama umepanga kukutana na mtu nadhani ni vyema terms na conditions mkaziweka sawa kunako makutano...

"What happens in Vegas, always stays in Vegas"
 
He he he he he
Just kicheko for now

Call me whatever you want lakini i am and will always be very careful who i meet. Kuna mtu hata kuchat nae pm tu ni kero keroro! Anakuwa kama mwandishi wa habari na ataKuweka Front page. Oooh flani ni mkulima wa maembe sijui nini! Khaaa!.
 
Call me whatever you want lakini i am and will always be very careful who i meet. Kuna mtu hata kuchat nae pm tu ni kero keroro! Anakuwa kama mwandishi wa habari na ataKuweka Front page. Oooh flani ni mkulima wa maembe sijui nini! Khaaa!.

hoja ya post yangu haujaijibu. je hili jamvi si mahala pa watu kukutana? badala ya ngomani? au sokoni? na kama ni mahala pa watu kukutana, kuna ubaya gani kikawa chanzo cha watu kufahamiana kwa ukaribu zaidi?

Mi nimekutana na mtu humu JF anatoka nchi za nje. Kafika mpaka kwangu mtu mwema ajabu. unapoteza nini. Kwani waliobuni neno social network walikosea wapi. Kutana na mtu. kama hampendi basi... tatizo liko wapi. Uzuri wengi waliopo humu ni wasomi. It should be very easy to let go.
 
Ushamba nao unachangia bwana. Afu unakuta anaesema hivyo yeye mwenyewe hahuko attractive wala nini! Kuna watu ambao hawawezi kuwa na urafiki usiohusisha ngono!!
Best hiyo tabia kweli ni ya Kiswahili sana...Hata mimi huwa inanikera sana...
Kuna jamaa ashawahi kusimamisha thread hapa akimwaga sifa kedekede kwa rafikiye waliyetiana machoni...
Pia kuna mwingine ashawahi mpondea dada wa watu sijui walipanga wakutane wapi huko...

Hivyo kama umepanga kukutana na mtu nadhani ni vyema terms na conditions mkaziweka sawa kunako makutano...

"What happens in Vegas, always stays in Vegas"
 
Inategemea na target ya mlichopanga kukutania. Mie JF nimekutana na watu kadhaa physically wengine wamekuwa true friends huwa nameet nao for good and for worse. Na wengine wamekuwa washirika wangu wazuri katika masomo na kimtizimo wa maisha hasahasa experience za biashara nk.
CHALLENGE KUBWA IPO KWA WANAOKUTANA KWA MADHUMUNI YA MAPENZI.

hicho ndo hasa na mimi nilitaka kusema, hivi kweli kuna ambao walipanga kukutana kwa ishu nyingine zaidi ya hiyo hapo kwa red and then urafiki ukafa thereafter? can anyone prove this?
 
Hahaha...
Mie nashukuru watu wachache niliokutana nao including your dad Mzee Mtambuzi, ni watu wema wenye kujitambua...
Ni marafiki zangu na kila tukutanapo huwa ni furaha...

Ushamba nao unachangia bwana. Afu unakuta anaesema hivyo yeye mwenyewe hahuko attractive wala nini! Kuna watu ambao hawawezi kuwa na urafiki usiohusisha ngono!!
 
Back
Top Bottom