Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Kuna walikutana humu, wakakutana nje ya hapa, sasa ni wanandoa, au wanashare kampuni. Ni mtazamo, na mpangilio tu
Sababu ya kutaka kumwona mtu ndiyo tatizo mdogo wangu na wala siyo kuonana kwenyewe....
Nimekutana na watu wengi sana...na bado sijabadili ID wala sitarajii kufanya hivyo...Na kizuri sana ni kuwa sijawahi kuwa disappointed...
Babu DC!!