M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,508
- 1,117
Magu hakuwa Raisi wala mgombea uraisi wakati huo. Lakini hata huyo Magu alipofanya hivyo hakuwa sahihi na akipendwa sana na wengi, hata chama chake kilimponda.
duuuh mkuu umetishaaaa naona tayari mkulu anajina jpya MA SOLEX.,, ana majina mwngi mara juma ponda mali mara pogba.... sometimes hua nacheka tu kua mtanzania raha saaana nchi imejawa na vituko vya kila aina hadi deni la dola bilion 190 za makinikia.....Mkuu hivi unaujua uhusiano wa masolex na odinga
Ova
Kwani msimamo wa Maghufuli kwa Raila ni wa ccm?Kwa Chadema hii ni kilele cha move ya kijinga na careless sana kisiasa. Wengi mtaelewa ila wachache sana wataiona haraka kabla ya wengi.
Atafute mara ngapi wkt mshkaji wake Rostam Azizi yuko Kenya anapiga business muda sasa.Connection ya biashara huyo mzee hapo Kenya anayo muda mref tu.Naona Kenyata baada ya wamasai kuapa kutokumpa kura kutokana na vifo vya utata vya Viongozi wa kmasai akiwemo waziri wa Ulinzi Hayati Nkaisery ameamua kutafta support ya Masai nje ya Kenya bt bado Hawezi kupata kura za wamasai zaidi apo EL anatafta fursa za biashara tu
Peleka wazimu mathare obama nvr supported odinga and nvr will do that this is simple uhuru apite ili chadema ikunikishe kwa magufuli thru kenyatta vry simpleLabda nikwambie kitu chadema kuunga mkono Kenyatta Wafadhili WA marekani hawatawaona tena. Urafiki wao na Raila ambaye ni binamu yake Obama ulimfanya Obama awashawishi wamarekani wawasaidie chadema kipindi cha slaa. Ndio maana chadema ilipata misaada mingi ya wazungu kwa ajili ya Obama. Sasa maadamu wamehamia kwa Kenyatta sio kesi wasubiri Kenyatta auze maziwa yake awachangie chadema. Chadema have lost a very important network. Na ieleweke kuwa chadema hakijawahi kaa mkutano mkkuu kupitisha azimio la kubadili sera za nje na kujadili hilo la chadema kuhama kutoka kumuunga mkono raila odinga na kuvunja urafiki naye na kuanzisha urafiki na Kenyatta na chama chake. Wanachama wa chadema wanaburuzwa na lowasa. Maamuzi hayo yalitakiwa yaamuliwe na mkutano mkuu wa chadema. Lowasa anaburuza wanachama ni dikiteta analotaka analazimisha liwe bila hata vikao na baraka za mkutano mkuu. Hilo la kumuunga mkono Kenyatta halina baraka za mkutano mkuu na vibaraka wake akina tundu lisu wanaojitia wanasheria nguli kwa hili wameufyata wakati liko wazi na ni uvunjifu wa katiba Ya chadema
Mkuu ulichoandika kinahusiana vipi na uchaguzi wa kenyaHivi rais gani alimpasua mtoto wake wa kumzaa nimesahau kidogo nasikia akanywa sumu mtoto
Kipindi Magu amefanya tukio kama hili mbona hukuja hapa kusema chochote. ,,,,,EL bwana ni mwanasiasa mwenye mbinu,,,,,,,hata hivyo amebanwa asifanye siasa hapa,,,,,,unataka afanye nn?./na yeye ana kiu.na ndiyo kazi yake.Kwanini nianzishe sredi? mimi naona ameenda mbali na kakosea kwa kwenda kusimama jukwaani ktk nchi ya ugenini na kuongelea tena ku influence domestic affairs wakati yeye ni foreigner wa nchi nyingine wakati huu wa uchaguzi. Mimi nachangia maada tu hapa, sina hili wala lile.
show how wrong for Lowassa or Maguful (when he was a minister) to campaign for Uhuru or Raila respectivly..How do you want me to prove it is wrong when the proof is in the video and the photos?
show how wrong for Lowassa or Maguful (when he was a minister) to campaign for Uhuru or Raila respectivly..
Mbona mm sion wao wakilalamika?
Nahisi huu ni utamadun wa mda mrefu ktk siasa zetu
Sent From Ikulu-Magogoni street
Ni kweli sizonje ni best na odinga, ila tambua sizonje hajaenda kenya kupanda kwenye jukwaa na kuanza kumnadi odinga....tumia kichwa cha juu kubaini tofauti hiyo.Mkuu hivi unaujua uhusiano wa masolex na odinga
Ova
Point of correction Kenya kuna makabila 44Anapewa na nani. Kati ka nchi ya ukabila ya Kenya kabila moja na nusu zitampigia Kenyatta na makabila 142 na nusu wamesha jiandaa kwenda Canaan na Raila. Labda kuna kura zitaletwa na lowasa ambaye ameenda kumuambukiza Kenyatta ugonjwa wa kushindwa uchaguzi. Birds of a feather flock together.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hutapata jibu!nauliza: hii ni support ya CHADEMA au Lowassa kivyake???
Mzee muoga sana Hana Msaada kwa upinzaniMzee Lowasa nmemmis sana huyu mzee
Heavy Weight
Penda usipende wameshashirikiSipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.
Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.
Disgraceful!!