Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Kwanza umesema sheria za kimataifa, ukidhani zinaitwa sheria za kimataifa kwasababu ni sheria za taifa la nje.

Hujui kwamba kuna sheria za kimataifa.

Hujui kwamba sheria za marekani siyo sheria za kimataifa.

Haufahamu tofauti kati ya sheria za kimataifa na sheria za mataifa.

Jipange upya
on-Intervention (Non-interference in domestic affairs)

Author:
Michael Wood
Introduction / Definition:
In international law, the principle of non-intervention includes, but is not limited to, the prohibition of the threat or use of force against the territorial integrity or political independence of any state (Article 2.4 of the Charter)

international law requires political integrity [ ... ] to be respected" (ICJ Reports 1986, p.106, para. 202). It went on to say that "the principle forbids all States or groups of States to intervene directly or indirectly in the internal or external

Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs) | Encyclopedia Princetoniensis
 
Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs)
In international law, the principle of non-intervention includes, but is not limited to, the prohibition of the threat or use of force against the territorial integrity or political independence of any state (Article 2.4 of the Charter)...
Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs) | Encyclopedia Princetoniensis
Nani ame intervene wapi? Unajiconfuse.

Nani amethreat intervention?

Nani anataka kuivamia Kenya?

Nani anaitisha Kenya?

Please kabla hujabandika hoja za copy and paste

Please jiridhishe unaelewa unachobandika kabla ya kufanya hivyo.
 
Wenye uelewa wameshaelewa.
 
Nimeshangaa sana kwa mzee huyu kuamua kusafiri kwenda Kenya kuingilia uchaguzi wa wakenya....

Mimi naona badala ya kujiimarisha,anajimaliza kisisa.

Ni hatari sana kisiasa kuonesha wewe ni adui na unashiriki kudidimiza upinzani wa nchi nyingine.....

Chukulia kenya,8/8 ondinga akachaguliwa!!
..
haoni kuwa upinzani wa Tanzania utadumaa zaidi!,?maana hawatakuwa na sehemu yakukimbilia east afrika yote.

Tuhuma zake za hapa tanzania,pia wakenya wanazijua.....wataona kuwa kumbe na uhuru naye yupo kama lowasa...!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa mkuu, ikitokea marafiki wawili wakawa marais wa kule na huku, biashara zake zitakuwa hatarini na ushawishi wake utakuwa umefeli mtihani mkubwa wa kisiasa.
 
Wenye uelewa wameshaelewa.
Usijifariji, umetokota, hujui unachoongea unabandika tu. Wewe upo humu toka kitambo enzi zile nikakuita "Mkapa's map". Sasa unabandika issue za kuhusu nchi kuvamiwa na kutishiwa wewe ndo unafananisha ni kilochotokea kwa Lowassa na Kenyatta?

Umesoma ulichobandika ukaelewa? Na kwa jinsi ilivyo, tulia na usome siyo lazima uchangie kila kitu. Tumia nafasi kujifunza vile vile.
 
Usijifariji, umetokota, hujui unachoongea unabandika tu. Wewe upo humu toka kitambo enzi zile nikakuita "Mkapa's map". Sasa unabandika issue za kuhusu nchi kuvamiwa na kutishiwa wewe ndo unafananisha ni kilochotokea kwa Lowassa na Kenyatta?
intervene

intransitive verb

-·vened′, -·ven′ing
  1. to come, be, or lie between
  2. to take place between two events, points of time, etc.
  3. to come or be in between as something unnecessary or irrelevant
  4. to come between as an influence, as in order to modify, settle, or hinder some action, argument, etc.
  5. LAWto come in as a third party to a suit, to protect one's own interests

Origin of intervene
 
Mleta Mada huijui Siasa wewe.

Unabwabwaja tu.
 
Nimeshangaa sana kwa mzee huyu kuamua kusafiri kwenda Kenya kuingilia uchaguzi wa wakenya....

Mimi naona badala ya kujiimarisha,anajimaliza kisisa.

Ni hatari sana kisiasa kuonesha wewe ni adui na unashiriki kudidimiza upinzani wa nchi nyingine.....

Chukulia kenya,8/8 ondinga akachaguliwa!!
..
haoni kuwa upinzani wa Tanzania utadumaa zaidi!,?maana hawatakuwa na sehemu yakukimbilia east afrika yote.

Tuhuma zake za hapa tanzania,pia wakenya wanazijua.....wataona kuwa kumbe na uhuru naye yupo kama lowasa...!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ondinga ndio nani?
 
intervene

intransitive verb

-·vened′, -·ven′ing
  1. to come, be, or lie between
  2. to take place between two events, points of time, etc.
  3. to come or be in between as something unnecessary or irrelevant
  4. to come between as an influence, as in order to modify, settle, or hinder some action, argument, etc.
  5. LAWto come in as a third party to a suit, to protect one's own interests

Origin of intervene
Unaweka definition ya intervention badala ya kufafanua hiyo policy ya non intervention inazungumzia nini?

Kwa taarifa yako, inazungumzia matumizi ya nguvu dhidi ya taifa jingine huru.

Mimi nilikwambia pitia kabla hujabandika uwe unajuwa unachofanya, kuifahamu na hivyo kuitetea hoja yako kama ipo.
 
Nimeshangaa sana kwa mzee huyu kuamua kusafiri kwenda Kenya kuingilia uchaguzi wa wakenya....

Mimi naona badala ya kujiimarisha,anajimaliza kisisa.

Ni hatari sana kisiasa kuonesha wewe ni adui na unashiriki kudidimiza upinzani wa nchi nyingine.....

Chukulia kenya,8/8 ondinga akachaguliwa!!
..
haoni kuwa upinzani wa Tanzania utadumaa zaidi!,?maana hawatakuwa na sehemu yakukimbilia east afrika yote.

Tuhuma zake za hapa tanzania,pia wakenya wanazijua.....wataona kuwa kumbe na uhuru naye yupo kama lowasa...!?

Sent using Jamii Forums mobile app
akili zenu vijanawa mtaa wa Patrice mnazijua wenyewe
 
Unaweka definition ya intervention badala ya kufafanua hiyo policy ya non intervention inazungumzia matumizi ya nguvu dhidi ya taifa jingine huru.

Yani hata title huelewi wamefafanua hadi kwenye mabano. Sasa nielezee nini?
Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs)
Wakaendelea

Interference pure and simple is not intervention" (Vol. I, 9th ed., 1992, p. 432). But the extent to which acts other than the use of force are, or should be, prohibited is uncertain.
 
Back
Top Bottom