Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Naona Kenyata baada ya wamasai kuapa kutokumpa kura kutokana na vifo vya utata vya Viongozi wa kmasai akiwemo waziri wa Ulinzi Hayati Nkaisery ameamua kutafta support ya Masai nje ya Kenya bt bado Hawezi kupata kura za wamasai zaidi apo EL anatafta fursa za biashara tu
 
Punguza Chuki Mzee, waatack kisomi zaidi maana ujue upo upande wa mfalme busara muhimu
Labda nikwambie kitu chadema kuunga mkono Kenyatta Wafadhili WA marekani hawatawaona tena. Urafiki wao na Raila ambaye ni binamu yake Obama ulimfanya Obama awashawishi wamarekani wawasaidie chadema kipindi cha slaa. Ndio maana chadema ilipata misaada mingi ya wazungu kwa ajili ya Obama. Sasa maadamu wamehamia kwa Kenyatta sio kesi wasubiri Kenyatta auze maziwa yake awachangie chadema. Chadema have lost a very important network. Na ieleweke kuwa chadema hakijawahi kaa mkutano mkkuu kupitisha azimio la kubadili sera za nje na kujadili hilo la chadema kuhama kutoka kumuunga mkono raila odinga na kuvunja urafiki naye na kuanzisha urafiki na Kenyatta na chama chake. Wanachama wa chadema wanaburuzwa na lowasa. Maamuzi hayo yalitakiwa yaamuliwe na mkutano mkuu wa chadema. Lowasa anaburuza wanachama ni dikiteta analotaka analazimisha liwe bila hata vikao na baraka za mkutano mkuu. Hilo la kumuunga mkono Kenyatta halina baraka za mkutano mkuu na vibaraka wake akina tundu lisu wanaojitia wanasheria nguli kwa hili wameufyata wakati liko wazi na ni uvunjifu wa katiba Ya chadema
 
Hivi inaruhusiwa kushiriki kwenye siasa za nchi nyingine? Leo Obama atie timu Kenya kumpigia chapuo Uhuru huu uchaguzi si utaingia dosari kubwa sana!?
Leigwanan Ni kiongozi wa kabila la Maasai Africa Mashariki.
 
Safi sana odinga urais atausikia kwenye redio [HASHTAG]#UHURUTO[/HASHTAG] ndio chaguo la wakenya
 
Siku zote ukweli hujitenga pembeni, we acha tu tutafuka ,na tutakuja kuelewa baadae siyo sasa hivi
 
Ngoja tuone yatakayojiri baada ya haya..!
 
Yaani wewe ni Bashite kabisa. Sasa huyo mme wako Obama bado yupo ikulu ya Marekani??

Fwambaaaa kabisa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri 2020 tuone chadema pesa za kampeni mtatoa wapi? Watoa pesa wazuri ni wajaluo. Mkikuyu ni zaidi Ya mpare kwa ubahili na anaijua pesa kuliko mchaga na Ana tabia Kama muhindi mkimaliza biashara hakuhitaji tena. mtakoma 2020 kila mgombea atajibeba mwenyewe kwa gharama Zake hakuna pesa za Obama,wazunguu au wajaluo wala wakikuyu.Mtakoma
 
Labda nikwambie kitu chadema kuunga mkono Kenyatta Wafadhili WA marekani hawatawaona tena. Urafiki wao na Raila ambaye ni binamu yake Obama ulimfanya Obama awashawishi wamarekani wawasaidie chadema kipindi cha slaa. Ndio maana chadema ilipata misaada mingi ya wazungu kwa ajili ya Obama. Sasa maadamu wamehamia kwa Kenyatta sio kesi wasubiri Kenyatta auze maziwa yake awachangie chadema. Chadema have lost a very important network. Na ieleweke kuwa chadema hakijawahi kaa mkutano mkkuu kupitisha azimio la kubadili sera za nje na kujadili hilo la chadema kuhama kutoka kumuunga mkono raila odinga na kuvunja urafiki naye na kuanzisha urafiki na Kenyatta na chama chake. Wanachama wa chadema wanaburuzwa na lowasa. Maamuzi hayo yalitakiwa yaamuliwe na mkutano mkuu wa chadema. Lowasa anaburuza wanachama ni dikiteta analotaka analazimisha liwe bila hata vikao na baraka za mkutano mkuu. Hilo la kumuunga mkono Kenyatta halina baraka za mkutano mkuu na vibaraka wake akina tundu lisu wanaojitia wanasheria nguli kwa hili wameufyata wakati liko wazi na ni uvunjifu wa katiba Ya chadema

Hivi rais gani alimpasua mtoto wake wa kumzaa nimesahau kidogo nasikia akanywa sumu mtoto
 
hili ni kosa la kimataifa, hivi haoni mgogoro uliopo usa , juu ya tuhuma kwamba russia waliingilia mambo ya uchaguzi wao?
hata labour party ya uk ni pro democrats ya usa, lakini ukija uchaguzi wa usa labour party hawamuungi mkono mgombea wa democrats hata kama wangependa ashinde mtu wa democrats, na vivyo hivyo kwa conservative party ya uk ni pro republicans lakini hawafiki ktk level ya kuingilia uchaguzi wa nchi zingine.
huyu atatuletea matatizo na nchi jirani kwa kiu chake cha madaraka
 
Back
Top Bottom