Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Hicho wanachofanya Uhuru na Lowassa hakikubaliki. Hakina tofauti na kile wamerekani walicholalamikia Urusi kuingilia uchaguzi mkuu wao. Kama Lowassa ameenda kumpigia kampeni Uhuru, ingalikuwaje kama Magufuli naye angeenda kumpigia kampeni Raila? Hii mambo inaweza kuwafanya Wakenya kwenda kubatilisha matokeo ya uchaguzi mahakamani kama Uhuru atashinda.
 
deac3b67288720b506d68e55cb03e492.jpg
d3276cf32a1d0704444a91f0e9ee1b9b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

It is wrong, not right at all, he is Tanzanian, he should leave Kenyan politics to Kenyans.
 
Hivi kwa nini wananchi huenda kujisonga kwenye mikutano ya kampeni? Nini kipya wanachotarajia kusikia toka kwa wanasiasa?
 
Hiyo inaitwa political bet, hiyo sio his personal decision am sure ila upinzani wameona waitumie kama kete kwa kuwa tayari upinzani wa kule seems ushachoose side kwetu so wao they are just completing the equation

Sent using Jamii Forums mobile app
nilazima tukubaliane kuwa mkeka alio-bet ukichanika,na yeye byebye,kule,.na huku Tz.
pia n vigumu kwa uhuru 2020 kujitokeza huku Tz kama alivyofanya yy!!maana kenyatta hataweza kuingilia uchaguzi wa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Foreign Contributions to U.S. Elections | Election Law
Na
Home - FEC.gov
The Federal Election Campaign Act (FECA) prohibits any foreign national from contributing, donating or spending funds in connection with any federal, state, or local election in the United States, either directly or indirectly. It is also unlawful to help foreign nationals violate that ban or to solicit, receive or accept contributions or donations from them. Persons who knowingly and willfully engage in these activities may be subject to fines and/or imprisonment.
Who is a Foreign National?
The following groups and individuals are considered "foreign nationals" and are, therefore, subject to the prohibition:

  • Foreign governments;
  • Foreign political parties;
  • Foreign corporations;
  • Foreign associations;
  • Foreign partnerships;
  • Individuals with foreign citizenship; and
  • Immigrants who do not have a "green card."

Na yawakenya itakua siyo mbali na hapo. Methinks
Duh! Sheria za marekani ndo sheria za kimataifa? Unajiconfuse.
 
Kenyatta akichukua tena nchi sijui hizi nchi mbili zitakuwa na uhusiano wa namna gani maana naona Kenyatta kaamua kuonesha wazi kuwa yupo na mpinzani wa Magu
Ndio hvyo, ng'adu kwa ng'adu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
nilazima tukubaliane kuwa mkeka alio-bet ukichanika,na yeye byebye,kule,.na huku Tz.
pia n vigumu kwa uhuru 2020 kujitokeza huku Tz kama alivyofanya yy!!maana kenyatta hataweza kuingilia uchaguzi wa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea, siasa inataka ubunifu sana and taking risks sometimes. Mzee Lowasa anajua fika kwamba anazidi kujiharibia huku lakini anaombea ushindi wa ugenini uje umpe support kwenye kipute chake, kwa logics za kawaida tayari kuna agreements hapo si bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom