Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Naona hapo policcm wanatamani akamatwe kwa uchochezi wa kuwachonganisha sizonje na mazuzu wanaomkubali lakini inashindikana muda si mrefu nahisi lowasa atazuiwa kisafiri nje.
 
Kwani aliwaambia waluo wamchague Kenyatta? Hamjui siasa za wenzenu
Amejionyesha wazi wazi kumsaidia Uhuru awe rais wa Kenya. Hivyo hata ile mitambo yake ya kielekroniki ya kuingilia voting system tuliyoisambaratisha mwaka 2015 pale Dar, sasa inaweza fungwa Monduli kuingilia uchaguzi wa Kenya. Na bila shaka msaada huu kwa Uhuru anautoa kwa malipo ya matrillion ya mapesa. Kweli Lowassa ni mtu wa madili makubwa makubwa. Hii iko ndani ya mishipa yake ya damu tangia utotoni.
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!
I agree with you
 
Tangu mwanzo Chadema,,walishasema wanamusapoti Uhuru Kenyatta.....lia Mimi naona Lowassa Ameenda kama LAIGWANANI MKUU...just to convince Masai to vote for Uhuru.
Chadema wakimuunga mkono jubilee (uhuru) pasipo kwenda kushiriki kampeni moja kwa moja pale kenya hio sio tatizo, vyama vya kisiasa kuwa rafiki kati nchi tofauti inakubalika.
Kumbuka urafiki wa ANC na CCM, au CCM na ZANU PF au CHADEMA na chama flani ujerumani jina sikumbuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA DALILI YA HUYU MHESHIMIWA KUWAKILISHA KABILA LA MASAI BADALA YA KUWAKILISHA CHADEMA.
CHADEMA, SOMENI VIZURI NENO LA MUNGU KUHUSU UPENDO.
HAKUNA UPENDO UANAOZIDI ULE UPENDO WA MTU KUUTOA UHAI WAKE KWA AJILI YA RAFIKI ZAKE.
CHADEMA MNAAMINI KUWA HUYU MH. ANAIPENDA CHADEMA AU KABILA LAKE.
JIBU NI HAPANA . UPENDO WAKE KWA CHADEMA NA KABILA LAKE NI UPENDO WA MASLAHI TU.
KUVAA VAZI LA KIMASAI LENYE MSALABA KUNAASHIRIA UKABILA NA UDINI.
MH. ANAWAKILISHA KABILA NA WAKRISTO NA ANAOMBA KENYATA APEWE KURA KWA SABABU YA UKABILA NA UDUNI.
MWAKA 2O15 WAKATI WA KAMPENI ZA URAIS TANZANIA,ALIWAHI KUWAAMBIA WAKRISTO AKIWA KANISANI, WAKRISTO WALUTERI, CHANGAMUKENI KWA SABABU SASA NI ZAMU YENU.
 
Chadema wakimuunga mkono jubilee (uhuru) pasipo kwenda kushiriki kampeni moja kwa moja pale kenya hio sio tatizo, vyama vya kisiasa kuwa rafiki kati nchi tofauti inakubalika.
Kumbuka urafiki wa ANC na CCM, au CCM na ZANU PF au CHADEMA na chama flani ujerumani jina sikumbuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulishamuona Zuma kaja Tanzania kumfanyia kampeni mgombea urais kupitia tiketi ya CCM? Au Kinana kwenda South Afrika kumfanyia kampeni mgombea urais wa tiketi ya ANC? Kwanza ni kwa sababu tu kuwa Uhuru ndiye current president wa Kenya, hangekuwa hivyo Lowassa angekuwa arrested huko Kenya for political tresspassing.
 
Akae atulie hivyo hivyo, mambo ya Wakenya hayamhusu ajali ya kwao Tanzania
c328f07f2ab2c59e38097aaf5b2e0cd9.jpg

Amekosa mvuto huku TZ sasa anatafuta kick Kenya.
 
Unajua, hata kama si kinyume na katiba kushiriki kwenye siasa za nchi zingine bado kufanya hivyo si jambo la busara hata kidogo.

Siasa za Wakenya ziachwe ziwe zao peke yao.

Hawa viongozi wetu kujiingiza huko Kenya really calls into question their overall judgement.

Sikuwahi kuwaona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Pinda, wala Sumaye wakijiingiza kwenye siasa za nchi zingine.

Magufuli na Lowassa ni bomu kabisa.
magufuli alijiingiza kumpigia kampeni odinga akiwa waziri na kikwete akiwa rais..it implies that jk alijiingiza kwenye siasa za kenya pia kwa kutomkemea/kumkataza waziri wake kujiingiza kwenye kampeni...
all in all sijui nani kawaroga hawa watu hadi wanajiingiza kwenye siasa za nchi nyingine waziwazi hivi!!!!
 
Magufuli mbn alishiriki kumsaidia odinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimsaidia kufanya nini mkuu hebuweka wazi.
Minaongelea kipindi cha kampeni siovizuri kuonyesha upoupandegani tuwaachewenyewe wafanye mamboyao.

Kama unafikiri vizuri najua unafahamu madharayake.Sio kwa hiyo tuu ni kwa viongozi wote tu, kuonyesha support upande flani sio sawa.
Sisi tubanane wenyewe humundanikwetu mambo ya watu wengine tusishughulike nayo hasa katika kipindi kama cha kampeni za uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....
"Dont interrupt your enemy when he's making mistakes"
[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Lowasa ni kiongozi wa wamasai east Africa.. yuko pale at that capacity... ngonjera Zenu humu zinaonesha tu utupu wenu vichwani
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Magufuli mbn alishiriki kumsaidia odinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipanda kabisa jukwaani? Weka picha hapa.
Alafu unavyosema mbona magu yeye alimsaidia odinga hiyo sio tiketi ya lowasa naye kufanya madudu hayohayo.....sasa tofauti tunayoitaka kati ya ccm na chadema ni ipi?? Si bora wabaki haohao ccm tuliowazoea!
Sasa ulishamuona Zuma kaja Tanzania kumfanyia kampeni mgombea urais kupitia tiketi ya CCM? Au Kinana kwenda South Afrika kumfanyia kampeni mgombea urais wa tiketi ya ANC? Kwanza ni kwa sababu tu kuwa Uhuru ndiye current president wa Kenya, hangekuwa hivyo Lowassa angekuwa arrested huko Kenya for political tresspassing.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom