Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

kenyatta anachukua tena
Anapewa na nani. Kati ka nchi ya ukabila ya Kenya kabila moja na nusu zitampigia Kenyatta na makabila 142 na nusu wamesha jiandaa kwenda Canaan na Raila. Labda kuna kura zitaletwa na lowasa ambaye ameenda kumuambukiza Kenyatta ugonjwa wa kushindwa uchaguzi. Birds of a feather flock together.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wewe hukai ukatulia,kila leo Lowasa,wapinzani,kwanini umsemee wewe ni nani ? Au umetumwa na magufuli ? Unamtuliza lowasa,lakini magufuli akipata maarifa ya udikteta kwa kagame,humtulizi ! ccm ni zaidi ya mnyonya damu.una hofu gani na kuungwa mkono Uhuru,au ushindi wa Uhuru ? Anakuja kuchukua kiti cha magufuli ? Wivu wenu sasa unavuka mipaka.ila habari zenu zikivuka mipaka mkitangazwa BBC mnalia kama mmekanyaga moto !. Oneeni aibu fikra zenu na midomo yenu.ya Lowasa muachieni mwenyewe. Mbona magufuli akimdhalilisha polisi na kumburura Lowasa bila sababu manafurahi ? Sasa akimuunga Uhuru kwa nazi au mafuta muacheni,licha ya kumuunga mkono !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta akichukua tena nchi sijui hizi nchi mbili zitakuwa na uhusiano wa namna gani maana naona Kenyatta kaamua kuonesha wazi kuwa yupo na mpinzani wa Magu
Kama amnavyo Magu alivyoamua kumuonesha Kenyatta wazi kuwa yupo na mpinzani wake.Tens akamualika katika mapumziko kijijini Chato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mchezo haujitaji hasira El anaujua Masolex atapata wakati mgumu sana 2020
 
Hapa ndio nimegundua kuwa urais ni kitu kitamu sana yaani sasa mzee kaamua kwenda kuusaka kenya hii ni hatari sana ..
kwa usemi wa polepole huu unaitwa umalaya wa kisiasa ...
Kama magufuli amewapoteza kiasi hichi basi ni bora mkakaa chini na kuitafakari wapi mlikosea
do you have some kind of a mental retardation?
 
Ila kuna watu nchi hii hawatutakii mema wanyonge, hususani aina ya watu km ya akina Edward ni watu hatari namkumbuka Mwl Nyerere alioona mbali juu ya huyu mtu tungeuzwa asb kweupe!!!
Ajabu kubwa zaidi chama cha upinzani kuunga mkono serikali. Kwa nini wapo upinzani wakati wenyewe sio wapinzani?
 
Wizara ya Mambo nchi za nje si vibaya ikilitolea tamko na msimamo wa Tanzania
magufuli akiwa wazir wa JMT alienda kumsupport odinga na akatoa maneno ya kejeli dhidi ya UHURUTO kua watakua wanashinda hague.........

naona wakat ule ndio ulikua sahihi kwa wizara ya foreign affairs kutoa tamko,,, saying so simaanishi naunga mkono hii move ya Lowassa kuunga mkono uhuruto this time around.....
e0867e3dff83e226628d02a5dc86a05a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi huu ni kwa Kenya tu...sisi hapa Tanzania haturuhusu na sijawahi ona mgeni kwenye jukwaa za kisiasa.
 
Masolex ndo nani?
Solex ni brand moja ya makofuli ambayo ni popular sana Tanzania na zinaaminika. Solex imekuwa maarufu kama kampuni ya shell ilipopata umaarufu na kila kituo cha mafuta watu huita shell. Kiaina, solex ni kama hivyo.

Huyo jamaa atakuwa alimaanisha Makofuli aliposema masolex.
 
Hivi inaruhusiwa kushiriki kwenye siasa za nchi nyingine? Leo Obama atie timu Kenya kumpigia chapuo Uhuru huu uchaguzi si utaingia dosari kubwa sana!?
Au Magufuli akampigie kampeni Odinga!
 
Back
Top Bottom