Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Nani amesema atapinga matokeo kama hatashinda? Uhuru? Please make sure hauamini hearsays.

Kwa upande mwingine, ni kweli kuna mambo tata yametokea during campaign, mojawapo kubwa ni mauwaji ya Christopher Chenge Musando. Definitely a dent on the current regime. Sijui nani atanufaika na kifo hicho, but wengi wanapeleka lawama kwa Kenyatta.

Pia hapo kwenye katiba yao kutoruhusu mtu asiye mkenya kushiriki kampeni, sina uhakika nalo.

Ila nilicho na uhakika nacho, ni kwamba jamii ya wamasai wa east Africa haina mipaka. Wamasai wa Kenya na Watz ni hao hao, hiyo mipaka iliwaathiri toka wakoloni walipoigawa Afrika, ila bado ni jamii moja. Ndo maana unaskia Lowassa aliposema kuhusu kutozuia wamasai kwenye mpaka wa Namanga.

Kiuhalisia, jamii ya wamasai haina mipaka east Africa. Pia imetokea kwamba Lowassa ndiye Laigwanan wa wa wamasai wa east Africa. Sijui alichaguliwa lini, lakini hata mimi leo ndo nimejuwa ni laigwanani wao.

Kwa jinsi ninavyowafahamu wamasai, wanamsikiliza sana kiongozi wao mkuu ambaye ndo Laigwanani. Atakachosema wanafuata bila shurti, ndivyo navyowafahamu wamasai.

Kwa jinsi ninavyowafahamu wakenya, huwezi kwenda sehemu kuomba kura bila kumtafuta kiongozi wa eneo hilo. Na mara zote kiongozi wa eneo husika hutokana na kabila lililopo eneo hilo.

Imetokea kuwa kiongozi wa kabila hilo la wamasai ambalo ni maarufu maeneo ya mipakani ni mtanzania.

Lakini pia Uhuru Kenyatta akitaka kuongea na hao wamasai, lazima atumie kiongozi wao, na kiongozi wao ndo Lowasssa. Sidhani kama "alitumia siasa tu", ndo maana hakuenda naye kwa wajaluo ama Wakisii kuomba kura.
Wewe wala huwafahamu wamasai unapiga domo tu, ungewafahamu ungekuwa ushajua asili ya Lowasa. Lowasa si mmasai na wamasai wote wanajua hilo, simamisha mmasai yeyote muulize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti against international law. Unafahamu unachoongea au unaleta ligi tu...I rest my case
Foreign Contributions to U.S. Elections | Election Law
Na
Home - FEC.gov
The Federal Election Campaign Act (FECA) prohibits any foreign national from contributing, donating or spending funds in connection with any federal, state, or local election in the United States, either directly or indirectly. It is also unlawful to help foreign nationals violate that ban or to solicit, receive or accept contributions or donations from them. Persons who knowingly and willfully engage in these activities may be subject to fines and/or imprisonment.
Who is a Foreign National?
The following groups and individuals are considered "foreign nationals" and are, therefore, subject to the prohibition:

  • Foreign governments;
  • Foreign political parties;
  • Foreign corporations;
  • Foreign associations;
  • Foreign partnerships;
  • Individuals with foreign citizenship; and
  • Immigrants who do not have a "green card."

Na yawakenya itakua siyo mbali na hapo. Methinks
 
Anord Schwartz niga anatakakufia kwenye maua

Kada wa kwenye CCM mpya
 
Ijumaa kama leo tutakua tushatambua anayestahili kukalia kiti cha Ikulu ni nani

sent from my Tecno W3
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!
hizi siasa zipo dunia nzima,..
Tulishuhudia Farage akimpigia kampen Trump, Trump juzi juzi tu kamsifia Merkel kuwa anafaa akichaguliwa tena, Obama nae aliwahi sema hivyo.

Haya mambo tumeiga huko demokrasia imezaliwa

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Raila chukua fursa hii haraka uwezavyo: Lowasa si mtu mwadilifu, alifukuzwa kazi ya Uwaziri Mkuu kwa wizi wa raslimali za Watanzania, Uhuru si anajua? Tusemeje? Ndege wanaofanana huruka pamoja? SGR ya Uhuru ni twice as much! Uliza ya Tanzania $3.2m/km, ya Uhuru $6.5m/km.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam nami ndiyo nijuavyo hivi. Kumuendorse mgombea mmoja RUKHSA lakini si kutia mguu kwenye nchi yenye uchaguzi na kupanda jukwaani ili kumnadi mgombea. Obama na Trump wote waliwa endorse wagombea tofauti kule France lakini hawakuthubutu kutia mguu kule.

Hakuna nchi inayoruhusu internal affairs kuingiliwa na watu wa nje. Nafikiri
 
Upo sahihi kabisa, this is beyond madness. Yasije yakatokea ya Trump na Putin

Unajua, hata kama si kinyume na katiba kushiriki kwenye siasa za nchi zingine bado kufanya hivyo si jambo la busara hata kidogo.

Siasa za Wakenya ziachwe ziwe zao peke yao.

Hawa viongozi wetu kujiingiza huko Kenya really calls into question their overall judgement.

Sikuwahi kuwaona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Pinda, wala Sumaye wakijiingiza kwenye siasa za nchi zingine.

Magufuli na Lowassa ni bomu kabisa.
 
hizi siasa zipo dunia nzima,..
Tulishuhudia Farage akimpigia kampen Trump, Trump juzi juzi tu kamsifia Merkel kuwa anafaa akichaguliwa tena, Obama nae aliwahi sema hivyo.

Haya mambo tumeiga huko demokrasia imezaliwa

Sent From Ikulu-Magogoni street
It doesn't matter.

It is still wrong.
 
Nimeshangaa sana kwa mzee huyu kuamua kusafiri kwenda kenya kuingilia uchaguzi wa wakenya....

mimi naona badala ya kujiimarisha,anajimaliza kisisa.

Ni hatari sana kisiasa kuonesha wewe ni adui na unashiriki kudidimiza upinzani wa nchi nyingine.....

Chukulia kenya,8/8 ondinga akachaguliwa!!
..
haoni kuwa upinzani wa Tz utadumaa zaidi!,?maana hawatakuwa na sehemu yakukimbilia east afrika yote.

Tuhuma zake za hapa tanzania,pia wakenya wanazijua.....wataona kuwa kumbe na uhuru naye yupo kama lowasa...!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa political bet, hiyo sio his personal decision am sure ila upinzani wameona waitumie kama kete kwa kuwa tayari upinzani wa kule seems ushachoose side kwetu so wao they are just completing the equation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proove how is wrong!!
Ingekuwa Lowassa ana madaraka na akashawishi kuvuruga au kuingilia uchaguzi hapo sawa.

Sent From Ikulu-Magogoni street

How do you want me to prove it is wrong when the proof is in the video and the photos?
 
mwambie na magu aende pia je huoni kama uhuru akishinda ni faraja kwa upinzani uchaguzi ujao
 
Back
Top Bottom