Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Labda nikwambie kitu chadema kuunga mkono Kenyatta Wafadhili WA marekani hawatawaona tena. Urafiki wao na Raila ambaye ni binamu yake Obama ulimfanya Obama awashawishi wamarekani wawasaidie chadema kipindi cha slaa. Ndio maana chadema ilipata misaada mingi ya wazungu kwa ajili ya Obama. Sasa maadamu wamehamia kwa Kenyatta sio kesi wasubiri Kenyatta auze maziwa yake awachangie chadema. Chadema have lost a very important network. Na ieleweke kuwa chadema hakijawahi kaa mkutano mkkuu kupitisha azimio la kubadili sera za nje na kujadili hilo la chadema kuhama kutoka kumuunga mkono raila odinga na kuvunja urafiki naye na kuanzisha urafiki na Kenyatta na chama chake. Wanachama wa chadema wanaburuzwa na lowasa. Maamuzi hayo yalitakiwa yaamuliwe na mkutano mkuu wa chadema. Lowasa anaburuza wanachama ni dikiteta analotaka analazimisha liwe bila hata vikao na baraka za mkutano mkuu. Hilo la kumuunga mkono Kenyatta halina baraka za mkutano mkuu na vibaraka wake akina tundu lisu wanaojitia wanasheria nguli kwa hili wameufyata wakati liko wazi na ni uvunjifu wa katiba Ya chadema
Ndg YEHODAWA KWANI HAPO UNAMUONA NANI? HUYU SI NI LOWASSA JAMANI!!! AU LOWASSA NDIYE CHADEMA? HV WAKATI ULE ODINGA ALIENDA KUMTEMBELEA MAGUFULI INA MAANA ALIENDA KWA MWENYEKITI WA CCM AU KWA RAFIKI YAKE? HAYA MAGU ANAMSAPOTI ODINGA KAMA RAFIKI YAKE , SASA NDIYO TUSEME CCM PIA INAMSAPATI? JARIBU KUTOFAUTISHA MBOWE ,TL, LOWASSA AU LEMA NA CHADEMA INAPOTAKIWA KUWA HIVYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hacha ukuda wewe utayapenda tu hats kwa lazima! Kwani huyo magomen mbona kipindi like alimpigia ongata! Were unaleta nyege hapa

Nyege ni siasa za kuigizana ujinga, Magu alifanya uzembe wa kisiasa alipokuwa waziri kuhudhuria campaign ya Raila, NA leo Lowasa nae anaendeleza uzembe ule ule.
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!
sidhani kuwa ukichukia kutabadili issue yeyote we nikisisimiz MDOGO tu
 
Hapa ndio nimegundua kuwa urais ni kitu kitamu sana yaani sasa mzee kaamua kwenda kuusaka kenya hii ni hatari sana ..
kwa usemi wa polepole huu unaitwa umalaya wa kisiasa ...
Kama magufuli amewapoteza kiasi hichi basi ni bora mkakaa chini na kuitafakari wapi mlikosea

Kwahiyo Polepole ndo mmeo?
 
Naona imewachoma sana team Lumumba, Kenyatta atashinda na chadema mikutano yetu ya mashambulizi tutakuwa tunafanyia Kenya uchaguzi wa 2020
 
Ni kweli sizonje ni best na odinga, ila tambua sizonje hajaenda kenya kupanda kwenye jukwaa na kuanza kumnadi odinga....tumia kichwa cha juu kubaini tofauti hiyo.
Hapa mamvi kaenda kushiriki moja kwa moja siasa za ndani za kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI naona poa tu!

Ova
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!

Magufuli alikuwa kama rafiki we mpumbavu. Mbona sasa Rais haendi. Ndo ujue sio kila kitu cha kunya hapa. Unanuka ujinga
 
deac3b67288720b506d68e55cb03e492.jpg
d3276cf32a1d0704444a91f0e9ee1b9b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

View attachment 558088 View attachment 558093 View attachment 558094
Wezi wanafahamiana hata wakiwa wanaishi nchi mbali mbali
 
Lowasa ni kiongozi mkuu wa Masai Eas Africa, wamasai wamemsapoti Uhuru ndio maana umemuina hapo.
Hii ya Wamasai wa East Africa ni mdudu gani? Ni nchi in A katibu na sheria zake au ni ukabila tu? In Kenya it is more serious kwa vile sana matatizo ya ukabila tangiapo. Kuna Wajaluo nao wako huku na huku, je wakisema wanamuunga Raila itakuwaje? Mimi bombs Serkali itoe tamko kwamba Tanzania ahatuko hivyo; hatuendeshi mambo yetu kwaukabila. Lowassa kapewa na nani madaraka kuwasemea Watanzania watampigia nani, eti to aakwa misingi ya ukabila? Huku ni kuingilia mambo ya ndanu YA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom