mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Liongo kubwa hilo lidubwaa toka makinikia fcBro achana na siasa japo mimi sio mfuasi wa siasa za afrika ila nlifatilia kampeni za kenya na sikuona sehem mtu kazomewa..
Kama ni kweli walimzomea basi watakuwa walifanya jambo la kiuungwana. Wangaliweza fanya kitu kibaya zaidi.Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.
Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.
Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?
Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh !! Usimtaje mwalimu ww yule ni kionhozi aliye tukukaCCM bado wanafanya uongo kama wa mwl alikuwa na tv pekee anadanganya watu kuwa ameota kumbe ameona kwenye tv.
Umepatia ni kikohonzi aliyetukuka
Wewe ndiyo mshenga wakeSasa nani kaleta upuuzi ni mimi au aliyeanzisha uzi?
Narudia tena afrika sio chama tawala wala chama cha upinzani inatakiwa kuwa makini sana kuchambua mambo yake
Kiongozi aliyeyetukuka ata Africa nzima inajuaUmepatia ni kikohonzi aliyetukuka
Ulikuwa unamaanisha hivi..Chadema ni kama malaya.anayejiuza leo kiko na odinga kesho kiko na Kenyatta loo!!!
Shukuru condom ilikuwa 'ime-expire' leo hii usingekuwa duniani hii!Chadema ni kama malaya.anayejiuza leo kiko na odinga kesho kiko na Kenyatta loo!!!
SAA nyingine nakukubali kwa msimamo wakoHivi inaruhusiwa kushiriki kwenye siasa za nchi nyingine? Leo Obama atie timu Kenya kumpigia chapuo Uhuru huu uchaguzi si utaingia dosari kubwa sana!?
Wewe humjuhi nyerere, Nyerere aliyelazimisha obotte awe rais, Na kudanganya kabaka, ?? Nyerere kaingilia siasa za mataifa mengi, ma ameplant watu wengi sana kenye nchi nyingi, either direct or indirectUnajua, hata kama si kinyume na katiba kushiriki kwenye siasa za nchi zingine bado kufanya hivyo si jambo la busara hata kidogo.
Siasa za Wakenya ziachwe ziwe zao peke yao.
Hawa viongozi wetu kujiingiza huko Kenya really calls into question their overall judgement.
Sikuwahi kuwaona Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Pinda, wala Sumaye wakijiingiza kwenye siasa za nchi zingine.
Magufuli na Lowassa ni bomu kabisa.
Lowassa noma eeh?Uhuru amepewa baraka ya kuongoza tena! Big up mzee wa kimataifa, aka mamvi yenye akili kubwa!
Kwa sasa sio kamanda kwa hio hana ishu tena, amekua miyeyusho tu!😂Lowassa noma eeh?