Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

He seems not to be very smart politician, if you are smart you don't declare your preference in public something to do with other country internal affairs. It affect relations of the countries and your own position in the future.
Great fact..
 
Umechangia kishabiki zaidi mkuu, bila facts

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema nachangia kishabiki una maana gani?

Kuna mahali nimesema namshabikia yoyote kati ya waliotajwa? Weka ushahidi wa ushabiki wangu.

Unasema nimechangia bila facts. Facts gani unazungumzia?

Kwamba yeye ni Laigwanani, ni fact kutoka kwenye video clip. Nimekuuliza ukashindwa kujibu, badala yake ukasema "wamasai walimkana kuwa si mmasai", hiyo ndo fact?

Kwamba alizungumza na wamasai hiyo ni fact, again, sijatoka nje ya mada. Hiyo ni kwa mujibu clip kwenye bandiko original.

Kwamba wakenya ni wakabila hiyo ni fact

Kwamba wamasai wa Kenya na Tanzania ni jamii moja bila kujali mipaka hiyo nayo ni fact

I can go on and on, wewe facts zako ni zipi?
 
Anaekula mzigo Lowassa wewe mpiga chabo unakata viuno ngoja akimaliza atakuja kukupa ya kimasai afu ukilalamika atakwambia "NA HIYO NI BICHWA BADO MIILI YAKE"
 
Yani hata title huelewi wamefafanua hadi kwenye mabano. Sasa nielezee nini?
Non-Intervention (Non-interference in domestic affairs)
Wakaendelea

Interference pure and simple is not intervention" (Vol. I, 9th ed., 1992, p. 432). But the extent to which acts other than the use of force are, or should be, prohibited is uncertain.
Nipotezee tu wenye kukuelewa watakujibu. You know my principles. Nna kazi pia mkuu

Kaanzishe thread kuwa sheria za kimataifa zimevunjwa ntatafuta muda nije huko
 
Nipotezee tu wenye kukuelewa watakujibu. You know my principles. Nna kazi pia mkuu

Kaanzishe thread kuwa sheria za kimataifa zimevunjwa ntatafuta muda nije huko

Kwanini nianzishe sredi? mimi naona ameenda mbali na kakosea kwa kwenda kusimama jukwaani ktk nchi ya ugenini na kuongelea tena ku influence domestic affairs wakati yeye ni foreigner wa nchi nyingine wakati huu wa uchaguzi. Mimi nachangia maada tu hapa, sina hili wala lile.
 
Unaposema nachangia kishabiki una maana gani?

Kuna mahali nimesema namshabikia yoyote kati ya waliotajwa? Weka ushahidi wa ushabiki wangu.

Unasema nimechangia bila facts. Facts gani unazungumzia?

Kwamba yeye ni Laigwanani, ni fact kutoka kwenye video clip. Nimekuuliza ukashindwa kujibu, badala yake ukasema "wamasai walimkana kuwa si mmasai", hiyo ndo fact?

Kwamba alizungumza na wamasai hiyo ni fact, again, sijatoka nje ya mada. Hiyo ni kwa mujibu clip kwenye bandiko original.

Kwamba wakenya ni wakabila hiyo ni fact

Kwamba wamasai wa Kenya na Tanzania ni jamii moja bila kujali mipaka hiyo nayo ni fact

I can go on and on, wewe facts zako ni zipi?
Ndo nilikuelewesha hapo kwamba huyo si mmasai, maana wewe point yako ilibase kwenye kabila lake ukijiaminisha ni mmasai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini nianzishe sredi? mimi naona ameenda mbali na kakosea kwa kwenda kusimama jukwaani ktk nchi ya ugenini na kuongelea domestic affairs wakati yeye ni foreigner wa nchi nyingine wakati huu wa uchaguzi. Mimi nachangia maada tu hapa, sina hili wala lile.
Wakenya watamshitaki kama kuna sheria amevunja watadeal naye yeye ana aliewapigia debe.

Ama unaweza ukawasaidia NASA. Wapelekee hivyo vifungu vya sheria wachukue hatua.

Maana hata mimi nachangia tu mada hapa, sina hili wala lile.
 
Ndo nilikuelewesha hapo kwamba huyo si mmasai, maana wewe point yako ilibase kwenye kabila lake ukijiaminisha ni mmasai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Umeipitia clip? Ama wewe ndo unachangia kishabiki kwa kusoma tu heading.

Niwekee uthibitisho tofauti na ulioko kwenye video clip kwamba Lowassa ni Laigwanani.

Ukiweza pia niwekee uthibitisho kwamba wamasai hao hao waliomchagua walisema si mmasai.

Habari kwamba si Mmasai zinafahamika. Hilo haliondoi ukweli kuwa ni kiongozi wao kwa mujibu wa taarifa iliyoletwa kwenye bandiko la kwanza kupitia video clip
 
SIKU MUNGU AKIMCHUKUA LOWASSA KILE CHAMA NDO KITATULIA. VINGINEVYO MAPOVU YATAENDELEA KUTOKA KILA ATAKAPOJUWA ANAPANUA MDOMO WAKE HADHARANI.

HOFU HOFU MAPOVU MAPOVU KILA MARA LOWASSA ANAPOTOKEA HADHARANI
 
Duh! Umeipitia clip? Ama wewe ndo unachangia kishabiki kwa kusoma tu heading.

Niwekee uthibitisho tofauti na ulioko kwenye video clip kwamba Lowassa si Laigwanani.
Una papara sana, tuliza akili utanielewa vyema tu, hatushindani tunaeleweshana. Ndo maana nilizungumzia facts ila wewe umekazana na clip.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una level ndogo sana ya uelewa. Either that ama unataka tu kuniprovoke, or maybe both gaddamit
Uko sahihi kabisa, nina level ndogo sana ya uelewa wa ufinyu wa uelewa wako. Kuhusu kuwa provoked ni normal kwa mtu mwenye uelewa finyu akiambiwa adiscuss facts anakuwa provoked na kutoa mapovu. Pole mkuu ila usikate tamaa, tuliza vizuri bongo am sure you can get there.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili ni kosa la kimataifa, hivi haoni mgogoro uliopo usa , juu ya tuhuma kwamba russia waliingilia mambo ya uchaguzi wao?
hata labour party ya uk ni pro democrats ya usa, lakini ukija uchaguzi wa usa labour party hawamuungi mkono mgombea wa democrats hata kama wangependa ashinde mtu wa democrats, na vivyo hivyo kwa conservative party ya uk ni pro republicans lakini hawafiki ktk level ya kuingilia uchaguzi wa nchi zingine.
huyu atatuletea matatizo na nchi jirani kwa kiu chake cha madaraka
Magufuli anafanya kwa kiu ya nini?
 
Sipendi kabisa haya mambo ya wanasiasa wetu kujiingiza kwenye siasa za nchi zingine hususan hizi za jirani.

Hata Magufuli naye aliwahi kushiriki kwenye kampeni za Odinga.

Disgraceful!!
Bad enough hata western countries zina interfere politics za african states either directly or indirectly.
Hakuna mwenye nafuu kwenye hili

So huenda ukawa ugonjwa wa wanasiasa wengi ambao kwa sasa unaleta shida kati ya Russia na Marekani

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom