Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

What if????Does it matter?
Mnatafuta undani wangu hautaupata!

Hakuna anayetafuta undani wako. I simply don't give a rat's you know what about you or about it.

You don't make no 20 stacks a month. Not even remotely close.

Now sitcho azz down and be quite coz you're talking sideways right about now.
 
MTM & WOS et al,
Mie pia nipo hapa bongo jamani ......kwa nini mnataka kuwazuga hao watu jamani waingie mkenge wa kurudi huku kwenye moto?????wenye hizo pesa /wanaopata $20,000 kwa mwezi ni kiduchu sana,majority ya mishahara ni btn $3000 na $4000.hio ndio FACTS,Tuwe wakweli plzzzzz.
 
ndugu yangu,
1.hakuna mtu anazugwa arudi.Sidhani kuna mtu mjinga kiasi hicho asiyeweza kupima na kufanya maamuzi sahihi.
2.Kama utaangalia mtiririko wa majadala ulioleta huu mshangao ni kuwa binafsi nimesema kila mtu atafute pale anapoona panamfaa.Mchangiaji mmoja akasema yeye anapata $50,000 nadhani per year na hii ilikuwa katika kuonyesha kuwa tofauti na mtizamo wa wengi , Tz pamoja na kuwa kuna mishahara midogo wapo wenye vipato vikubwa au vya kutosheleza maana inategemea sector uliyomo, ujuzi ulio nao na mambo mengine na hata uwezo na position ya kuweza ku negotiate.Mimi nikaunga mkono ( siyo kishabiki bali with full knowledge) kuwa wapo wenye kupata upto 20,000$ per month..hapo ndo maneno yameanza.
3.Ni kweli kuwa hawa wako wachache na siyo kwenye ajira za serikali.Isitoshe income ya $20,000 per month siyo kitu cha ajabu kwa watu wenye shughuli zao wenyewe.

Tusishangae sana kama vile Tanzania haina kitu na watu wake wote ni maskini wa kutupwa au ni mafisadi wasioweza kujipatia vipato halali! We need to be positive and optimistic kwamba yes we can make it even in our own country.Kama wazungu, wahindi na waarabu wanaweza hapahapa TZ kwanini sisi - wahehe, wasukuma, wanyakyusa tusiweze?

4.Kuna wachangiaji wengine pia wanabeza na kukejeli kuwa haya ni maneno ya saloon au kwa vile nimechangia huu mjadala, sina uwezo wa kuchangia mada hii ( na kwamba niende kwenye mada ya mapenzi) hawa napenda kuwashauri tu kuwa hii mada haina kitu cha ajabu kiasi kuwa ionekane ni ya watu fulani tu.This is one of those "by the way topics" which anybody can discuss.Na mada ya mapenzi vilevile haina tofauti na hii maana nayo ni moja ya mada za kupotezea muda tu.Ningefuata ushauri kama ungenielekeza kwenye mada serious ambazo zitanifanya nitumie nguvu ya ziada to make a point.
Samahani kwa wale wote niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine.
 
Top exc. hadi 20,000$ kwa mwezi watu wanapata unaongelea 4000.

Mimi nikaunga mkono ( siyo kishabiki bali with full knowledge) kuwa wapo wenye kupata upto 20,000$ per month..hapo ndo maneno yameanza.
3.Ni kweli kuwa hawa wako wachache na siyo kwenye ajira za serikali.Isitoshe income ya $20,000 per month siyo kitu cha ajabu kwa watu wenye shughuli zao wenyewe.

Can you name at least one top executive who makes $20,000.00 a month? Or with your "full knowledge" can you name at least two companies that pay their top execs $20,000.00 a month....for example, you can say, the CFO for Wateraid makes $21,150.00 a month....that ain't that hard, is it?
 
I gotcha!
I know exactly where you are leading me too and im not gonna go there!
Dont expect spoonfeeding from me ...do ur own homework DAWGGG!!
 
I gotcha!
I know exactly where you are leading me too and im not gonna go there

You are not gonna dare to even show your face there coz you know you don't know. How hard is it to name even a company that rewards its top execs that kind of money. Is that rocket science? Come on now...you claimed to have full knowledge of it so why don't you share it us. Girl stop lying.

Dont expect spoonfeeding from me ...do ur own homework DAWGGG!!

It's done and you are a liar liar pant's on fire!!
 
Hakuna anayetafuta undani wako. I simply don't give a rat's you know what about you or about it.
You don't make no 20 stacks a month. Not even remotely close.

Now sitcho azz down and be quite coz you're talking sideways right about now.
Mbona una madonge sasa kama u dont give a ......
Utabakia na ati ati hivyo hivyo..wenzio wanasonga mbele.
 
You are not gonna dare to even show your face there coz you know you don't know. How hard is it to name even a company that rewards its top execs that kind of money. Is that rocket science? Come on now...you claimed to have full knowledge of it so why don't you share it us. Girl stop lying.

It's done and you are a liar liar pant's on fire!!

My own private company...if u wanna know...aint no lying!
happy?
 
Donge liko wapi bibie? Yaani nikuonee donge wewe...no..I can't do that..

Wewe nitajie tu huko wanakolipa mishahara hiyo...mbona unanizungusha kama nimekuomba uchi vile....aaaaah

Hey!
Mind your language.
This debate is now closed.
 
MAISHA SIO KAMA KUMNYWESHA MTOTO UJI.

Maisha ni mapambano,sio kazi rahisi.Hii mipaka kati ya Nchi na Nchi imewekwa na binadamu kwa maslahi yao ya kidunia na haina maana kuwa wewe ukiona kuna ugumu bongo basi ulazimishe tu,nenda popote duniani ili mradi hauvunji sheria za Nchi husika,ugumu wa maisha Bongo sio sawa na Marekani.Tuwe na tabia ya kutiana moyo,na kupeana uzoefu na sio kutishana.Its me KHATIBU.
 
Can you name at least one top executive who makes $20,000.00 a month? Or with your "full knowledge" can you name at least two companies that pay their top execs $20,000.00 a month....for example, you can say, the CFO for Wateraid makes $21,150.00 a month....that ain't that hard, is it?

...ingawa nimekuta mjadala katikati watu wanaochota 20K plus kwa mwezi kule nyumbani nakumbuka walikuwa wale majamaa wa NetGroup wa Tanesco, jamaa wa Breweries, Wa-Danish CRDB, na CEOs wa makampuni ya madini,...........nilichoshudia hii mishahara wanapewa wazungu zaidi....nafasi hizo hizo ukipewa wewe Ng'waninyami watakupa zaidi zaidi between 10-15K per month
 
Shukrani mzee wa midoti doti...................................................................................................................................
 
Yo Yo,

Umeshapata hiyo Video ya Kikwete akiwaambia Watanzania kwamba nyumbani kuna ajira, warudi nyumban
i?

Naisubiri ili "niache kubisha" kwa madai yangu kwamba Kikwete huwa hasemi Watanzania warudi nyumbani, ila anasema wachochee uwekezaji nyumbani wakati wakiwa nje, na kwamba Yo Yo usikae hapo ukategemea Kikwete na wengine ndio wakutengenezee ajira wewe uje kuzikuta zinakusubiri uzichukue tu.

Kongoli: Media

Kwenye Public Video List, nenda alfabeti 'J' utapata 'Jakaya Kikwete Q&A - London Feb 07'. Kama una moyo wa kumwangalia kwa saa nzima, nadhani Yoyo anakumbushia hiyo, labda alisema kitu kama hicho.

Ukiona anazungusha sana story kama WoS basi we kong'oli hapa; Roho Ya Sabuni
 
Linki zenu zote hazifunguki. Naona mnapata tabu. Ngoja basi tusaidiae, niwape vidhibiti vyangu ambapo Kikwete anasema yale yale niliyoyasema kwamba Yo Yo na Nzokahyilu msikae hapo mnasubiri mtengenezewe kazi nyumbani mje mchukue. Na upotoshaji wenu kwamba Kikwete amewahi kusema kazi zipo nyumbani, njooni, si kweli. Kikwete anasema jengeni, chocheeni investment kwenu. Hakuna wa kukujengea nchi:

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=NRshx-3_nsw"]YouTube - Ujio wa Mh. Rais J.K - OSLO[/ame]

Kikwete anasema, kuanzia dakika ya tano:

' ' Usisahu nyumbani
East,West, Home's best
Chumeni huku, jengeni nyumbani
Hatuna ugomvi na nyinyi
Chumeni, jengeni nyumbani
Mabarabara sisi tutaendelea nayo
Na mahospitali sisi tunaendelea nayo
Lakini mwenye kuweza kuleta wawekezaji, watalii, alete.' '

Na si mara moja. Ujumbe wa Kikwete alipokutana na Watanzania, 2006, kusini mwa Afrika:

' ' Nakumbuka nilitembelea nchi moja nikakutana
na Watanzania kama ninavyokutana na nyinyi,
eti wakaniuliza vipi mzee nyumbani huko kuzuri...
Hakuna atakayeijenga Mtwara kama sio wewe.
Ujenzi wa Tanzania unawategemea nyinyi,
nchi yoyote inajengwa na wazalendo.
Michango yenu ndiyo itajenga nchi ' '

Tafsiri:
Hakuna ajira zinakusubiri nyumbani, sote tujenge ajira, chocheeni investement kwenu.
 
hata waliokuwa wansema ukimwi upo walikuwa wanatletea video za walioathirika kanyigo,kyakailabwa kwingineko ambapo ulianzia.....wewe hebua tuambie taasisi gani tanzania inayolipa wafanyakazi wake $20000? sio mtulazimishe tukubali hali halisi tunaiona....labda kama mnaizungumzia tanzania yenu sio hii niliopo.....

KWahiyo unataka video za wanaopata 20K?

Kaazi kwelikweli
 
MTM,
Aaaaaaaaaaaaaah sasa unatia aibu mkulu, Yo Yo hana maana anataka video za wanaolipwa 20k.....anataka just concrete evidence ya hao watu au mashirika yanayolipa hivyo na si video kama ulivyoelewa.Hapo ya video ni mfano tu alioutoa na si vinginevyo.Mie ndo nilivyomuelewa.
 
Linki zenu zote hazifunguki. Naona mnapata tabu. Ngoja basi tusaidiae, niwape vidhibiti vyangu ambapo Kikwete anasema yale yale niliyoyasema kwamba Yo Yo na Nzokahyilu msikae hapo mnasubiri mtengenezewe kazi nyumbani mje mchukue. Na upotoshaji wenu kwamba Kikwete amewahi kusema kazi zipo nyumbani, njooni, si kweli. Kikwete anasema jengeni, chocheeni investment kwenu. Hakuna wa kukujengea nchi:

Bredren please,
Kwanza kabisa, sehemu gani katika thread hii imekufanya uniweke katika kundi fulani? Unajua, msipuuzie hata siku moja watu walio nje, we know alot more than majority of you in Tanzania (yaani kuzidi hata watu unaotegemea wanaupeo fulani wa maendeleo, lakini hawajui kabisa kinachoendelea nchini hapo).
Some of the cream of Tanzanian talent, ni hawa hapa;

Tanzanian CEOs

Naamini kati ya hawa kuvuta $20K na ziadi inawezekana, ila sitaki ni comment zaidi. Lakini kama kuna anayevuta hapo $20K naomba WoS u-confirm. WoS, sijaona mwanamke CEO katika hayo makampuni, nakuombea kampuni lako lifanikiwe na wewe uingie hapo kwa mfano.

- Makampuni ya kiTanzania yanakuja UK mwezi ujao ku-recruit. Kuna wabongo wengi wanaenda. Hao wabongo watatuambia offers za mishahara zinazotolewa.
-Pili, kuna wengine tunajuana na recruitment agents across Africa, na mishahara ya $20K kwa mwezi ipo, ila Tanzania sijaona wala sijasikia.
-Kuna kampuni Tanzania waliuliza nataka kiasi gani (fraction ya hiyo $20K per month), nikataja mshahara tu, wakasema fyucha bosi wako anaingiza nusu ya hiyo. Yeye hakuangalia nina skillz gani ambazo huyo basi hana (hayo ndo mawazo ya kibongobongo).
-Kuna msanii wa bongoflava alishawahi kuniambia anaingiza $20K kwa mwezi hapo Tanzania. Sikubisha, I acted dumb, maana michongo ya kibongo bana, LOL.
-Range ambazo hazitanishangaza kabisa ni kati ya $4K mpaka $10K kwa mwezi (na hawa ni wa kuhesabu). Ila pia najua watanzania wachache wanaoibwa Tanzania na kuwa recruited nje ya nchi kwasababu wanapata ofa hizo nchi zingine (za range $6K kupanda juu, meaning wako underpaid big time). Meaning, majority ya wenye kisomo kizuri ni chini ya $3K.

-Mishahara iko chini, ila kila now and then, vitripu vinapatikana watu wanatengeneza hela kihivyo. Ndio watu hung'ang'ania vitripu kudadeki. Na tripu zenyewe unakuta watu wanaenda ambao hawastahili, na ndio kutokufayika kazi. Work ethics is zero.

-Kuhusu kujiajiri, it takes alot mtu uache ufanyacho ukaparangane na bureacracy ya kibongo. Kufungua kampuni mpaka uhonge, uhangaike sijui wiki na miezi. Wakatai huku unafungua kampuni kwa masaa machache, huhongi mtu yeyote kudadeki. Ukisema uajiri wabongo wakati uko huku, jinsi njaa ilivyo kali, wenyewe wanawaza wakuibie vipi, kudadeki bongo tambarare.

Kuna mshikaji kanichekesha hivi karibuni, anasema kwanini nirudi bongo magonjwa na hospitali lazima uhonge kupata huduma, walinzi wa usiku wanataka wakutokezee gizani wako uchi...ukiamka umejaa chanjo. Anasema bora akae majuu, hata masikini unapata huduma fresh, na walinzi wa-usiku hawafiki huku maana akija uchi usiku anapigwa baridi.

Kuhusu concept ya private care, nimesikitika kuona mtu kama FMES ukisema watu watibiwe nje. Au nikisikia mtu anasema, siku hizi kuna private care bongo, ni pesa yako tu. Kwenye afya bana, mimi naamini maendeleo ya nchi yanapimwa kwa quality na usawa katika afya on a basic level. ndio maana napenda huduma za NHS UK. Daktari huyo huyo anaweza akatibu mtu masikini, na huyo huyo siku hiyo hiyo akatibu privately kwa standard zile zile. Tofauti ya huduma ni spidi tu. Kama uko private waweza tibiwa muda huo huo, kama ni national health, basi unapigwa kideti cha siku au wiki kadhaa. Lakini kama ni emergency unatibiwa asap.

Halafu kudadeki nyio wabongo mtindo wa kukimbia washikaji wakija bongo muache, maana mkiwa huku huwa tunawapa misaada na kuwazungusha shenzi zenu na kuwafundisha kuvuka traffic lights oxford circus ohooo. Mnajifanya mnaingiza $20K, shopping oxford street inawashinda mnakimbilia seven sisters kudadeki!!Mnajifanya mko bize maofisni hamuonekani, ila mko baa, bize kula nyama choma na kukuza vitambi ndo mnasema bongo tambarare? Kazibueni mitaro yenu kwanza, mji mzima unanuka mavi yanaeleaelea, I aint hating, thats a fact. I love you Tanzania and will die for you...LOL!!
 
Back
Top Bottom