Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 102
- Nimewashauri wananchi wa bongo waliowahi kuioshi nje kwa muda mrefu na kfanya kazi huko, kwamba utakua ni ujinga wa hali ya juu sana kwa wao kurudi bongo na kudata.
- Mwalimu ndiye aliyekua na pride kuliko sisi wabongo wote na bongo, lakini guess alipozidiwa alienda wapi kutibiwa? Unless una yako mengine lakini so far sioni hoja yako iko wapi? Sikuwaambia wabongo wote wahamie majuu au wakatibiwe majuu nimewaongelea wale tu waliowahi kufanya kazi kwa muda mrefu majuu.
- Kama una tatizo lingine mkuu na mimi liweke wazi lakini sio vyema kulazimisha hoja hata kama haipo, bado ninawashauri wabongo walioko nje kwa muda mrefu wajitahidi kuhakikisha wkamba wakirudi bongo hawadati.
Respect.
FMES
Wewe na wewe mtu asipokubaliana nawe unasema mtu ana yake mengine.
Pointi yangu ni kwamba, wewe unayeponda mafisadi na kumkoma nyani, hiyo pointi yako haiendani na msimamo wako wa kawaida.