TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,197
- 18,227
mkuu unazidi kutokota.....mkuu nakuambia labda uwadanganye walioko majuu mie nipo hapa.....
....hao ma director unawaowasemea ni wangapi? Kwanza wengi wao ni wageni sio wazawa.....
Pili nina uhakika jamaa mmoja kakimbia tulawaka kwa njaa kali na ni msomi...
.....tatu kwenye banks ndio kabisaaa usiongee hakuna kitu......most ya graduate mule hawafiki hata m1....
acha utoto, nimekueleza kule mwanzo kwamba apply ukiwa abroad your bargain power inluwa kubwa sasa sijui unataka nini....... Vijana wa nyumbani hata lugha ngumu
kuhusu idadi nishakwambia hata wakiwa mia out of 40m ni part ya statistics na tunawatumia
source ya data nimesema pwc, d&t, e&y kama hutaki acha otherwise prove me wrong before denying things you dont know
guys, lets do our research first