Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

- Unaona ulivyo nje ya mstari yaani mtu anayeliwpa dola elfu 20 bongo eti hawezi kwenda tibiwa majuu, mkuu sometimes unachekesha sana, watu wanalipwa dola elfu tatu tu kwa mwezi na wanakwenda kutibiwa majuu, itakwua $ 20,000?

Angalia sasa ulivyo changanya data. Nimeongelea mshahara wa 20,000 kwa mwaka, wewe unanichanganyia habari za $3,000 kwa mwezi.

Yule mchangiaji Icadon amedhani mshahara wa
$ 20,000 unatosha kumudu gharama za matibabu Marekani. Haku specify $ 20,000 kwa wiki, mwezi, saa, wiki mbili, siku, hivyo huwa inachukuliwa kwamba unaongelea kwa mwaka. Sasa mshahara wa $ 20,000 kwa mwaka utamudu matibabu Marekani? Marekani ya wapi hiyo? Kama unalipwa $ 20,000 kwa mwaka na una familia basi unahitaji pango la serikali, sehemu ya nane, na lishe ya serikali, stempu ya chakula. Achilia mbali gharama za afya.

Na hiyo hoja ya kwamba umeishi maisha ya mipakani mwa nchi duniani haimaanishi kwamba ulikaa ukaelewa maisha yanavyokwenda huko. Umeharibu vibaya vibaya kutoa ushauri potofu kwamba atakae rudi Bongo ahakikishe amechonga channel za kwenda kutibiwa nje. Channel gani, kutumia kadi za bima za watu? Si wote wanaweza au kutaka kuwa Mponjoli au Escobar. Yana umri wake yale mambo mzee, utaenda utaisha.

Unaandika kwenye kurasa zinazosomwa na watu kila pande ya dunia, unachosema kihakiki. Afya si rahisi kule
.
 
- Irrelevant, Health Centers za US hulipi hapo hapo hata siku moja na kama una akili unapoishi huko kama ulijiandikisha kwenye sysytem ya Social services kama nilivyosema mwanzoni huna sababu ya ku-worry kwa sababu kati ya hela ulizokuwa ukikatwa wakati unaishi kule zinatosha ku-cover part yako ndogo ya kutibiwa kwenye hizo Center.

- Ushauri potofu ni kukatisha tamaa watu as if hayafanyiki ninayoyasema wakati tunawajua watu ambao wamewaingiza hata wazazi wao kwenye huu ujanja mkuu, wazazi wao heudna huko majuu na kutibiwa nakurudi bongo, haya huyajui mkuu sasa uliza usaidiwe, maana yanakupiga chenga sio siri!

FMES.
 
...ni kukatisha tamaa watu as if hayafanyiki ninayoyasema wakati tunawajua watu ambao wamewaingiza hata wazazi wao kwenye huu ujanja mkuu, wazazi wao heudna huko majuu na kutibiwa nakurudi bongo, haya huyajui mkuu sasa uliza usaidiwe, maana yanakupiga chenga sio siri!
FMES.

Okay, Unaona sasa? Kumbe Health Care Plan ya huyu Field Marshall ni ya michongo ya ujanja ujanja. Tukutumie ujumbe wa faragha uutaje? Mimi nilisema kwa kuotea tu, kumbe kweli ni Mponjoli Health Care Plan.

Hakuna tija. Afadhali nikajiandikishe kwenye pyramid scheme ya DECI iliyosajiliwa na serikali nitaliwa hela lakini sitakuwa na haja ya kujificha ficha na kupenyeza penyeza kwenye mahospitali kiuujanja ujanja wakati naumwa.

Nilikwambia, huwezi kuleta michongo potofu hapa kwamba atakae rudi nyumbani kitu kikubwa cha kusumbua kichwa ni afya, hivyo aache amechonga mipango ya kupanda ndege kurudi kutibiwa ghafla. Umekimbizana na michongo ya vikaratasi vya kuishi na kufanyia kazi nchi za watu weeeee halafu bado urudi nyumbani na mawazo na mipango ya michongo michongo ya huduma za afya.

Kumbe ni MPANGO WA AFYA BORA WA MPONJOLI KWA KILA MTANZANIA.
 
Angalia sasa ulivyo changanya data. Nimeongelea mshahara wa 20,000 kwa mwaka, wewe unanichanganyia habari za $3,000 kwa mwezi.

Yule mchangiaji Icadon amedhani mshahara wa
$ 20,000 unatosha kumudu gharama za matibabu Marekani. Haku specify $ 20,000 kwa wiki, mwezi, saa, wiki mbili, siku, hivyo huwa inachukuliwa kwamba unaongelea kwa mwaka. Sasa mshahara wa $ 20,000 kwa mwaka utamudu matibabu Marekani? Marekani ya wapi hiyo? Kama unalipwa $ 20,000 kwa mwaka na una familia basi unahitaji pango la serikali, sehemu ya nane, na lishe ya serikali, stempu ya chakula. Achilia mbali gharama za afya.

Na hiyo hoja ya kwamba umeishi maisha ya mipakani mwa nchi duniani haimaanishi kwamba ulikaa ukaelewa maisha yanavyokwenda huko. Umeharibu vibaya vibaya kutoa ushauri potofu kwamba atakae rudi Bongo ahakikishe amechonga channel za kwenda kutibiwa nje. Channel gani, kutumia kadi za bima za watu? Si wote wanaweza au kutaka kuwa Mponjoli au Escobar. Yana umri wake yale mambo mzee, utaenda utaisha.

Unaandika kwenye kurasa zinazosomwa na watu kila pande ya dunia, unachosema kihakiki. Afya si rahisi kule
.

Im quite sure ilikua $20,000 kwa mwezi, ukiangalia mtiririko wa posts linaeleweka hilo.
 
Mwingine huyu out of touch. Tena huyu ni out of touch na sehemu zote, Tanzania na Marekani.

Marekani mtu anaepata $20,000 kwa mwaka kama ana familia basi anahitaji msaada wa serikali wa pango na hela ya kula. Sahau kumudu gharama za afya.

Sasa mbongo atawezaje kutoka na $20,000 zake kwa mwaka akaenda nazo US akategemea aweze kumudu matibabu ya US. Atakula nini mwaka mzima Tanzania?

Tusiwe out of touch.

Hivi zinazozungumziwa ni $20,000.00 kwa mwezi au kwa mwaka? Mimi nilidhani ni $20,000.00 kwa mwezi ambazo kwa mwaka ni $240,000.00
 
-
- Katika huu mjadala mzima naomba kuongeza one thing, ni kwamba ukiwa bongo, unaweza ukawa na everything, lakini tatizo ni moja tu, ukiumwa sana uwezekano wa matibabu mazuri ni mdogo sana, as opposed na majuu, ninawashauri wale wote walioko majuu tafadhali kama inawezekana, hakikisha kabla hujarudi bongo moja kwa moja, umechonga line flani hivi kwamba utakapoumwa ghafla ukiwa bongo, basi unaweza kujipandia ndege kwanza majuu na kutibiwa, ninamjua kiongozi mmoja bongo mashuhuri sana, yeye siku zote huwa na valid tiketi kwenye mkoba wake, akumwa tu haulizi wala hasubiri ushauri wa mtu, hujipandia pipa tena kimya kimya bil aya kumuambia mtu huenda na kutibiwa na kurudi kimya kimya.

Respect.

FMES!

Thanks FMES, Kuna Ukweli na baadhi yasiyo kweli; kwasababu inategemea;

  • Uwezo wa anayeishi huko majuu, wew unaonyesha hao unaojichanganya nao ni poa na hata wewe ni poa... sijui wa kipato cha chini huko majuu anasurvive vipi bila health insurance. Ni wachache wanaweza kuacha kwenda india au SA na kuamua kupanda pipa kuja us for treatment, in most cases ni pesa za umma
  • Ugonjwa - kama ni tropical disease [mostly communicable and infectious] then its not UK or US, its Brazil, India or South Africa
  • Kuna baadhi hutoka US kwenda india, china au uswisi kwa tiba pia

so it all depends
 
Quote:

Field Marshall ES
View Post

- Katika huu mjadala mzima naomba kuongeza one thing, ni kwamba ukiwa bongo, unaweza ukawa na everything, lakini tatizo ni moja tu, ukiumwa sana uwezekano wa matibabu mazuri ni mdogo sana, as opposed na majuu,

ninawashauri wale wote walioko majuu tafadhali kama inawezekana, hakikisha kabla hujarudi bongo moja kwa moja, umechonga line flani hivi kwamba utakapoumwa ghafla ukiwa bongo, basi unaweza kujipandia ndege kwanza majuu na kutibiwa,

ninamjua kiongozi mmoja bongo mashuhuri sana, yeye siku zote huwa na valid tiketi kwenye mkoba wake, akumwa tu haulizi wala hasubiri ushauri wa mtu, hujipandia pipa tena kimya kimya bil aya kumuambia mtu huenda na kutibiwa na kurudi kimya kimya.

Respect.

- Dilunga

Okay, Unaona sasa? Kumbe Health Care Plan ya huyu Field Marshall ni ya michongo ya ujanja ujanja. Tukutumie ujumbe wa faragha uutaje? Mimi nilisema kwa kuotea tu, kumbe kweli ni Mponjoli Health Care Plan.

Hakuna tija. Afadhali nikajiandikishe kwenye pyramid scheme ya DECI iliyosajiliwa na serikali nitaliwa hela lakini sitakuwa na haja ya kujificha ficha na kupenyeza penyeza kwenye mahospitali kiuujanja ujanja wakati naumwa.

Nilikwambia, huwezi kuleta michongo potofu hapa kwamba atakae rudi nyumbani kitu kikubwa cha kusumbua kichwa ni afya, hivyo aache amechonga mipango ya kupanda ndege kurudi kutibiwa ghafla. Umekimbizana na michongo ya vikaratasi vya kuishi na kufanyia kazi nchi za watu weeeee halafu bado urudi nyumbani na mawazo na mipango ya michongo michongo ya huduma za afya.

Kumbe ni MPANGO WA AFYA BORA WA MPONJOLI KWA KILA MTANZANIA.

- Dilunga soma tena maneno yangu original ni tofauti kabisa na yako, next time soma kwanza kabla ya kukurupuka!

FMES!
 
1.

- Kama kawaida yako, knowing all lakini knowing nothing, kama hujui how it works uliza usaidiwe maana kuna wabongo kibao wanafanya kama nilivyosema, waliwahi kuishi huko majuu na wanafanya haya ya kwenda kutibiwa tu, siku hizi majuu wameshitukia mchezow a kwenda kujifungulia watoto huko, US kuna illegal kibao sasa kwa maneno yako haya wanalipaje matibabu yao?
2.

- Hapa kwangu unaongea na master of this game mkuu, all my life nilikuwa mkata maborder, ingawa siku hizi ninayakata kihalali!

- Mkuu again hapa unaongea na master of this game, wakati mwingine uwe unakubali wkamba kuna mengi kwenye maisha huyajui na hili la mbinu za kuishi majuu huzijui, uliza tulioishi hizi mbinu tukusaidie kabla na wewe hujaupanda mkenge wa bongo!

Respect.

FMES!

FMES, I am your great admirer because of your honest and enegry on most of the posts you put here

Ila sasa mkuu, kama umefuatilia mwanzo humu watu wali-characterise kwamba hii thread imejaa ujuaji na inaweza isitusaidie kujifunza, hasa kwa akina siye tuli kinondoni shamba!! na wewe somewhere umeappreciate hiyo ujuaji

...Sasa mbona tena na wewe ghafla umekuwa Master of the Game, na huu ni ujuaji au kwa walio nje wana haki ya kuwa wajuaji na siye wa huku hananasif hatutakiwi?

Lets help each other so that we make informed decision rather than being more passionate than resourceful

Naomba kuwakilisha
 
MTM,
Kuwa mkweli maisha ya bongo ni makali sana I mean magumu....its a third world country innit.Mie nipo hapa bongo na nayaona live...sema unaendeleza mjadala ili na weye upate point otherwise labda una chuki na watu wa majuu labda ulibunda Visa.Tofauti kati ya maisha ya majuu na bongo ni kubwa sana...ni kama kichuguu na mlima but jipe matumaini kwamba bongo ni tambarare lakini si kihivyo kwani hata hao wenye pesa zao wanaishi kwa wasiwasi sana na hizo pesa wala hazifaidi...shida tuu.
Anyway endeleza mjadala tupate points toka kwa sauti za umeme na wengineo walioko huko majuu.
 
Nimesoma katika thread moja Dilunga akiwa address kama Kuhani. Je, Kuhani na Dilunga ni mtu yule yule au ni watu wawili tofauti? Shukrani

Ni mtu na mdogo wake, baba na mama moja!

Tuwe realistic, kazi bongo ambayo wenye sifa na mtoto wa fukara kama mimi hardly utapata 2-3 million kwa mwezi...zaidi ya hapo lazima uwe linked na familia za kifisadi yaani Jina lako liishie na chenge Kagoda, Megji, Lowassa, Mkapa, Mramba etc etc bila kujali sifa. Waalimu wa chuo Kikuu Tz senior lecturer havuki 2 million....

Unayesema kuna watu wanalamba 10 million unadanganya ....sema hizo sehemu tutupe CV kama watatuchukua....kuna washikaji highly paid Standard chartered wanalamba 3 mil, M bank 1.6 mil kwa mwezi

Acha uzushi
 
MTM,
Kuwa mkweli maisha ya bongo ni makali sana I mean magumu....its a third world country innit.Mie nipo hapa bongo na nayaona live...sema unaendeleza mjadala ili na weye upate point otherwise labda una chuki na watu wa majuu labda ulibunda Visa.Tofauti kati ya maisha ya majuu na bongo ni kubwa sana...ni kama kichuguu na mlima but jipe matumaini kwamba bongo ni tambarare lakini si kihivyo kwani hata hao wenye pesa zao wanaishi kwa wasiwasi sana na hizo pesa wala hazifaidi...shida tuu.
Anyway endeleza mjadala tupate points toka kwa sauti za umeme na wengineo walioko huko majuu.

Nashukuru na ni kweli bongo ngumu, but saying its pathetic napata shida kwasababu kila sehemu duniani kuna raha na shida and its worth painting a true image no matter how many colours it has [kwa hapa kuna kila rangi tunaona, good and bad] vilevile sina chuki kwasababu obvious... i appreciate majuu kwani nilibahatika kupata elimu ya ziada yote huko na mpaka leo na-benefit mambo mengi sana hata working tools kutoka huko

Kuhusu kupata points sijakuelewa ila najifunza mengi through this thread

Huwezi jua labda natamani au napima options zangu na mpaka sasa sijapata tangible reasosn za kunichanganya zaidi ya matusi na majigambo

... Like my friend Kiluminati, he once joined the "agreeing team" hata kama haijaleta maana.... Na mimi nasalimu amri maana it seems kama kuna ligi ndogo inaendelea wanyumbani na wa duniani

Chinese
 
Hivi zinazozungumziwa ni $20,000.00 kwa mwezi au kwa mwaka? Mimi nilidhani ni $20,000.00 kwa mwezi ambazo kwa mwaka ni $240,000.00
onhoo.....
Ila ukumbuke wigo wa ajira bongo sasa ni mpana zaidi.
4000 usd unashangaa!! mbona ni kitu cha kawaida kwa mid level staff kuipata? Top exc. hadi 20,000$ kwa mwezi watu wanapata unaongelea 4000.
 
MTM & WomenofSubstanc

Waungwana mnajua mnachokiongea na mimi nakubaliana nanyi 100%. Hiyo mishahara ni kweli ipo Tanzania, tena hata kwa watoto wa wakulima; asiyeamini shauri yake.

Ng'waninyami & YoYo

Wakuu mnanikumbusha miaka ile ya 80's tulipokuwa tunaambiwa kuna ugonjwa unaitwa Ukimwi, tukawa hatuamini mpaka pale walipoambukizwa ndugu na jamaa wa karibu yetu, ndipo tulipozinduka na kuamini kweli Ukimwi upo na unaua kifo vibaya..!!

Mtabaki kama mlivyo mpaka siku kaka au dada zenu wa damu waje wawaonyeshe pay slips zao.!!
hata waliokuwa wansema ukimwi upo walikuwa wanatletea video za walioathirika kanyigo,kyakailabwa kwingineko ambapo ulianzia.....wewe hebua tuambie taasisi gani tanzania inayolipa wafanyakazi wake $20000? sio mtulazimishe tukubali hali halisi tunaiona....labda kama mnaizungumzia tanzania yenu sio hii niliopo.....
 
Hii $20,000 inaelekea inakusumbua sana. maana kila post yako unarejea 20k!... ndiyo changamoto ili uchacharike zaidi kutafuta badala ya kufikiria kuwa TZ ajira ni uniform na kila mtu anapata kichele, au kama ulivyonikebehi hapo mwanzo kuwa ni maneno ya saloon.Tatizo moja ni kuwa mtu kama hajui anadhani kile akijuacho yeye ndiyo universal knowledge.Ukiwa na mentality kama iyo hutakaa upate taarifa wala kutonywa wapi kuna mambo mazuri.Sitapenda kusema sana maana nitaonekana kama im bragging..so I better keep mum na wewe endelea kukejeli.
 
Yo Yo,

Umeshapata hiyo Video ya Kikwete akiwaambia Watanzania kwamba nyumbani kuna ajira, warudi nyumbani?

Naisubiri ili "niache kubisha" kwa madai yangu kwamba Kikwete huwa hasemi Watanzania warudi nyumbani, ila anasema wachochee uwekezaji nyumbani wakati wakiwa nje, na kwamba Yo Yo usikae hapo ukategemea Kikwete na wengine ndio wakutengenezee ajira wewe uje kuzikuta zinakusubiri uzichukue tu.
 
Hii $20,000 inaelekea inakusumbua sana. maana kila post yako unarejea 20k!
Inashangaza data zako unazitoa wapi, $240 per year?

ndiyo changamoto ili uchacharike zaidi kutafuta badala ya kufikiria kuwa TZ ajira ni uniform na kila mtu anapata kichele
Hivi unafikiri watu hawachachariki eeh?
Wewe huwezi kuja hapa na figure zako umezikia saluni ukaja hapa kusema watu wanapata $20k........wewe sema taasisi fulani muajiliwa wa pale anapata $20k kwa mwezi......

Tatizo moja ni kuwa mtu kama hajui anadhani kile akijuacho yeye ndiyo universal knowledge.Ukiwa na mentality kama iyo hutakaa upate taarifa wala kutonywa wapi kuna mambo mazuri
najua sana wabongo akiwa anajua kitu basi atakifanya deal....mie sijui ila naongea kwa data nilizonazo.....

......umeshafanya dili sasa......prove bana data zako...sio utuambie wapo wapo.....wapo wapi aisee?
 
Back
Top Bottom