Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

.....waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.
 
Heheheheheee...babu achana na hiyo cannabis sativa. Hehehehehe...eti watu wana mashampoo ya kumwaga...bwahahahahahaha...umedata wewe...
 
mi nataka kujua hiyo kazi ya $20,000 kwa mwezi inahusu nini? Na kama kujiandaa nijiandae kabisa ni give up same day delivery B&N na reasonably priced 3G Network, not to mention eye candy form all over the world.

Tuambizane tu, isije kuwa kuuza bwimbwi au kuja kuwa CEO wa DECI DECI.
 
Kwangu maisha ni popote duniani ninapoweza kufanya kazi na kupata kile ninachohitaji na mafanikio. Sijali ni Tanzania au ulaya au yusiei. Kama napata mshiko wa kunitosha popote, narudia popote kwanguni sawa tu.
Najua kuna watu Tanzania tu huwezi kumwambia nenda ukaishi kwenu Mtwara badala ya Dar akakubali. Wako watanzania kutoka mikoani ambao wako Dar hawana kazi ya maana wengine wanauza maji kwenye vikaratasi vya plastic, wengine wanafanya vibiashara vya u middlemen na kupata tukamisheni tudogo tu na wanaridhika na maisha, lakini huwezi kuwambia rudi Kyela akakubali. Niliwahi kukutana mara nyingi Dar na wababa na wamama wanaomba hata hela ya nauli kurudi nyumbani jioni maana hali imekuwa ngumu katika utafutaji.
Nawaheshimu na naheshimu mawazo yao wote wanaoamua kuishi popote katika kutafuta riziki kwa sababu hapo ndipo riziki yake anapoipatia.
nakubaliana kwa asilimia yote na wote walioamua kuishi majuu kama wanaridhika. Hakuna mbaya. Bongo panaboa sana ingawa ni kwetu.
 
.....waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.
tehe tehe tehe......umesahau na wale AKA wa akina ng'wani.....
 
Tusishangae sana kama vile Tanzania haina kitu na watu wake wote ni maskini wa kutupwa au ni mafisadi wasioweza kujipatia vipato halali! We need to be positive and optimistic kwamba yes we can make it even in our own country.Kama wazungu, wahindi na waarabu wanaweza hapahapa TZ kwanini sisi - wahehe, wasukuma, wanyakyusa tusiweze?
tanzania ni nchi ambayo inabidi ijitafutie sayari yake yenyewe.....

.....kila mtu bongo fisadi kuanzia kwa jk mpaka mkaanga chips anaetumia mafuta ya transfoma kukaangia chips......
 
.....waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.

Ahaa, maji ya moto na shampoo za kumwaga!!! Kazi kwelikweli...
 
Si tumeambiwa umekimbia mjadala baada ya kutukanwa? Kumbe upo na wala hujakimbia.....

Still on my case hata baada ya kukupa a break?

Obviously siyo wewe wala the likes of u can intimidate me.
I dont condone ur language and style.
 
Still on my case hata baada ya kukupa a break?Kwa mawazo yako ulidhani nitakimbia? Obviously siyo wewe wala the likes of u can intimidate me.Ila for sure matusi yako ni kero kwangu na wengine wenye kupenda ustaarabu.
 
Nzokanhyilu;421420 [SIZE="3" said:
Kuhusu concept ya private care, nimesikitika kuona mtu kama FMES ukisema watu watibiwe nje.[/SIZE] !

- Ninaomba kurudia nilichosema na ninasimamia maneno yangu kwa 100%, kwamba kwa mbongo yoyote aliyewahi kushi majuu au US kwa zaidi ya miaka mitano, utakwua ni wenda wazimu siku moja kubeba na kufungasha mizigo na kurudi bongo bila mipangilio ya kujiweka sawa na system ya huko majuu kwa ajili ya matibabu mbele ya safari, atakapokuwa bongo,

- Katika miaka mitano utakayoishi huko majuu, lazima uwe mhangaikaji wa kufikia kujiingiza kwenye system ya Social Security, meaning kwamba utakwua unakatwa hela flani katika mshahara wako, ambao zitakua ni za Social Security na Medicaid, na kwa huko ma-US ku-retire sio lazima ufike 65 au 67, unaweza ukawa 40 na ukaamua kutafuta njiia za mkato zipo nyingi sana uka-retire hivyo ku-secure pension, na matibabu ya bure ingawa ni lazima ulipe co-payment kila unapojaribu kutibiwa kule US, ambayo haitazidi dola 5, sasa unaweza kurudi bongo unalegua pension na matibabu bure, sasa kwa nini usiende ukiumwa?

Kwa mawazo haya ndugu yangu ninayasimamia kwa 100%, kwamba ndio the right thing kama umemenyeka majuu hasa US na unataka kurudi bongo kula kuku kwa mrija, wengi wamefanya na wengine wanaendelea kufanya haya, badala ya kuiba makontena na credit cards, ule ni uzembe sana kwa sababu hata ukirudi bongo utaiba tena!

Ahsante Mkuu.

FMES!
 
MTM,
Aaaaaaaaaaaaaah sasa unatia aibu mkulu, Yo Yo hana maana anataka video za wanaolipwa 20k.....anataka just concrete evidence ya hao watu au mashirika yanayolipa hivyo na si video kama ulivyoelewa.Hapo ya video ni mfano tu alioutoa na si vinginevyo.Mie ndo nilivyomuelewa.

Sikujua kuuliza ni kutia aibu... anyway naona mauza uza tu saa hizi na mambo ya hom versus abroad/USA
 
Still on my case hata baada ya kukupa a break?

Obviously siyo wewe wala the likes of u can intimidate me.
I dont condone ur language and style.

Well...Kuhani kasema umekimbia ndio maana nashangaa bado upo. He was wrong.
 
.....waliosema America the beautiful hawakukosea,watu huku wameiva na kutakata ile mbaya kwa misosi,hewa safi,maji ya moto 24/7 na kila aina ya shampoo,education huku ni kwa kila mtu kama una nia na kazi kidogo tuu utasoma,huyo mnayemwita mpiga box ana afford cable with high definition,high speed internet,gari,blackberry,hata designer jeans sio big deal etc na bila kusahau anatuma school fees kwa wadogo zake wawili pale mlimani na tayari ana kiwanja boko na kila mwaka wako bongo,nyie na korosho zenu endeleeni kujipa moyo tuu wanaoishi states wana tough times,nafikiri inawafanya mjisikie vizuri kidogo (sio vibaya) lakini states sio league yenu ila mnakaribishwa kuja kuenjoy life kama wengine.

Yaani yoote uliyoyasema hapo tunapata na korosho juu, halafu tunasomesha wanne na kusaidia wanapita dar kwenda muhimbili kwa viuji vya ulezi ndugu... dont degrade Tanzania to that extent

we have different opinions and experience but we shouldnt look at people in Tanzania as people in the jungle because that wouldnt make any difference from the ignorant wazunguz who think we live in trees

Lets trade blows with respect and harmony as we always do as TAnzanians
 
tanzania ni nchi ambayo inabidi ijitafutie sayari yake yenyewe.....

.....kila mtu bongo fisadi kuanzia kwa jk mpaka mkaanga chips anaetumia mafuta ya transfoma kukaangia chips......

Yo Yo, we differ in opinions but hiii ya mkaanga chips imeniacha hoi na ni kweli wapo ila its not fair to generalize kwamba chips zote zinapitia mafuta ya transformer

BTW, sio kila mtu ni fisadi, fuatilia ile thread ya DNA utapata shule ya statisictics japo kichwa
 
- Ninaomba kurudia nilichosema na ninasimamia maneno yangu kwa 100%, kwamba kwa mbongo yoyote aliyewahi kushi majuu au US kwa zaidi ya miaka mitano, utakwua ni wenda wazimu siku moja kubeba na kufungasha mizigo na kurudi bongo bila mipangilio ya kujiweka sawa na system ya huko majuu kwa ajili ya matibabu mbele ya safari, atakapokuwa bongo,

- Katika miaka mitano utakayoishi huko majuu, lazima uwe mhangaikaji wa kufikia kujiingiza kwenye system ya Social Security, meaning kwamba utakwua unakatwa hela flani katika mshahara wako, ambao zitakua ni za Social Security na Medicaid, na kwa huko ma-US ku-retire sio lazima ufike 65 au 67, unaweza ukawa 40 na ukaamua kutafuta njiia za mkato zipo nyingi sana uka-retire hivyo ku-secure pension, na matibabu ya bure ingawa ni lazima ulipe co-payment kila unapojaribu kutibiwa kule US, ambayo haitazidi dola 5, sasa unaweza kurudi bongo unalegua pension na matibabu bure, sasa kwa nini usiende ukiumwa?

Kwa mawazo haya ndugu yangu ninayasimamia kwa 100%, kwamba ndio the right thing kama umemenyeka majuu hasa US na unataka kurudi bongo kula kuku kwa mrija, wengi wamefanya na wengine wanaendelea kufanya haya, badala ya kuiba makontena na credit cards, ule ni uzembe sana kwa sababu hata ukirudi bongo utaiba tena!

Ahsante Mkuu.

FMES!

Mkuu, pension ninayo imejengeka na inazidi kujengeka na siyo ya mazabe kama za bongo, watu kudai mafao yao ni kushikana mashati na kupiga camp nje ya Ikulu kudadeki. So wewe unaposema watu waende nje ya nchi kutibiwa, ni jinsi gani inaonyesha nchi ilivyo choka mbaya hata viongozi wanaenda kutibiwa nje ya nchi. Hii haionyeshi pride yoyote kwa nchi inayosifiwa mambo tambarare. Hapo husaidii kutetea upande wanaosifia Tanzania. Concepts za Health Insurance na pension nazijua na nitazitumia ipasavyo muda ukifika. Ila imenishangaza, you of all people unayependa kutetea wanasiasa fulani fulani, kama mawazo yako ni hivi, na nijuavyo na wenyewe hutibiwa nje ya nchi...basi mawazo yao nao ni hivyo hivyo, and there is nothing to be proud of Tanzania in terms of health care, maana viongozi hawana mpango wa kubadili, na wananchi hawana mpango wa kubadili. Watu kupeleka wagonjwa India ni dili, basi dili libaki watu waingize hiyo $20K a month by any means neccessary, hata kama kuna waTanzania wana uwezo wa kutibu magonjwa hayo hapo nchini. Dude, the country is messed up.
Dude, i wouldnt wanna be broke in Tanzania, but i can be broke in Europe, and so long i have my strength, silali njaa, nitapata afya bora na basic needs hata nibebe maboksi nivunjike mgongo (insurance italipa). Maisha sio lazima uingize $20K.Maisha ni kukidhi vitu basic ili uwe na afya nzuri. Tanzania hakuna hivyo.
 
. So wewe unaposema watu waende nje ya nchi kutibiwa, ni jinsi gani inaonyesha nchi ilivyo choka mbaya hata viongozi wanaenda kutibiwa nje ya nchi. Hii haionyeshi pride yoyote kwa nchi inayosifiwa mambo tambarare. Hapo husaidii kutetea upande wanaosifia Tanzania. Ila imenishangaza, you of all people unayependa kutetea wanasiasa fulani fulani, kama mawazo yako ni hivi, na nijuavyo na wenyewe hutibiwa nje ya nchi...basi mawazo yao nao ni hivyo hivyo, and there is nothing to be proud of Tanzania in terms of health care, maana viongozi hawana mpango wa kubadili, na wananchi hawana mpango wa kubadili.

- Nimewashauri wananchi wa bongo waliowahi kuioshi nje kwa muda mrefu na kfanya kazi huko, kwamba utakua ni ujinga wa hali ya juu sana kwa wao kurudi bongo na kudata.

- Mwalimu ndiye aliyekua na pride kuliko sisi wabongo wote na bongo, lakini guess alipozidiwa alienda wapi kutibiwa? Unless una yako mengine lakini so far sioni hoja yako iko wapi? Sikuwaambia wabongo wote wahamie majuu au wakatibiwe majuu nimewaongelea wale tu waliowahi kufanya kazi kwa muda mrefu majuu.

- Kama una tatizo lingine mkuu na mimi liweke wazi lakini sio vyema kulazimisha hoja hata kama haipo, bado ninawashauri wabongo walioko nje kwa muda mrefu wajitahidi kuhakikisha wkamba wakirudi bongo hawadati.

Respect.

FMES

Yaani yoote uliyoyasema hapo tunapata na korosho juu, halafu tunasomesha wanne na kusaidia wanapita dar kwenda muhimbili kwa viuji vya ulezi ndugu... dont degrade Tanzania to that extent

we have different opinions and experience but we shouldnt look at people in Tanzania as people in the jungle because that wouldnt make any difference from the ignorant wazunguz who think we live in trees

Lets trade blows with respect and harmony as we always do as TAnzanians

...respect my a$$,mmeanza wenyewe kuita walio juu wana njaa na tough times sasa mkijibiwa mnalia foul,nimesikia mengi na nimeona mengi hapo Dar on my vacations lakini hata kama kuna ukweli sometimes unaacha yapite tuu maana ndio life na sioni big deal,ila hii bashing ya watanzania wanaoishi overseas ni tabia inayojitokeza sana siku hizi ndani ya watanzania wengi (back home) na ukiangalia vizuri iko rooted in ignorance & jealous tuu,nyie watu our lives are "none of of your business" so get a life....na mkumbuke s-tupidity hujibiwa na s-tupidity kwa hiyo mkiendelea na bashing zenu msitegemee any constructive conversation from this thread...mtaendelea kusikia shampoos,superhighways and America the magical place!
 
Back
Top Bottom