DVI: Kampuni hewa inayotumia jina la Azam Media na kuchota mabilioni ZBC kinyume cha sheria

Kwa hiyo jamii forums iko kwa ajili ya mambo ya Tanzania bara pekee?

Hauoni hadi kuna mada za kimataifa?
Sijauliza kwa maana kwamba ya Zanzibar hayafai ama hayawezi kujadiliwa.. la hasha.
Nimekuuliza ili tupate kujua na kujadili vizuri, sawa kiongozi hebu punguza jazba
 
Nakuhakikishia Mzee Bakhresa hajui huu mchezo. Ni Meneja wake anayefanya haya mambo.
Inaonekan unatatizo na huyo meneja, sasa umeamua kuja kumharibia ugali wake hapa, na nikuhakikishie mtu mwenye akili hawezi kukuzingatia kwani maelezo yako na ulivyokomaa na kusema ni meneja wake niukweli usiopingika unawivu na mafanikio yake
 
Wewe ni zaidi yetu
Sio kila mada za kuchangia mwezenu kashusha nondo za maana with evidence nyie mnaleta upumbaf.
Sio lazima kuchangia vitu vilivyokuzidi upeo inatosha ukienda kujadili mambo ya udaku huko instagram.
 
Sio kila mada za kuchangia mwezenu kashusha nondo za maana with evidence nyie mnaleta upumbaf.
Sio lazima kuchangia vitu vilivyokuzidi upeo inatosha ukienda kujadili mambo ya udaku huko instagram.
Mpuuzi wewe, watu wanaiba mabilioni wewe umekomaa na hiyo pesa ya mboga? mwenyewe unatamani upate nafasi uibe mali za umma, sema unaona wivu sababu hujapata nafasi wewe ya kuiba.
 
Mpuuzi wewe, watu wanaiba mabilioni wewe umekomaa na hiyo pesa ya mboga? mwenyewe unatamani upate nafasi uibe mali za umma, sema unaona wivu sababu hujapata nafasi wewe ya kuiba.
Binti yaishe sitaki kuwa mpumbaf kama wewe kuharibu uzi wa maana wa watu.
Kwaheri
 
Msingi mkubwa wa biashara kwa sasa ni kuwa na usajili wa kampuni, leseni ya biashara na bank account ya kampuni ili ukipata buz deal mnalipana kwa corporate account.
Then kama mtu anatoa technical support ambayo hata akiwa chumbani au sebuleni kwake anaweza kutengeneza na mteja akaridhika, maisha yanaweza kuendelea.
(Plan International ilianzia sebuleni kwa mtu, Care international ilianzia sebuleni kwa mtu)
Amazon Inc ya Jeff Bezos alinzia kwenye car park (garage); Facebook alianzia bwenini.

Nadhani mtu huyu hakulipwa fedha zote kwa mkupuo, ila huenda alilipwa kwa deliverables. Na kama Azam Media anapata huduma mpaka akaweza kutoa mpaka hizo dola, ndio maana kaendelea kupiga hela.

Kwa ulimwengu tunaokwenda, Corona pia imesaidia kutupa mwanga; watu wanaweza kufanyia kazi nyumbani au popote pale hasa kama kazi zenyewe zinatuma "software" na sio hardware.

Simtetei mhusika ila nataka mleta hoja awe na ufahamu mpana kwenye project management. Kama ambavyo ACACIA haikuwa mining company ila ilikuwa management company inayo-manage mining company, jambo ambalo lipo sana kwa dunia ya kwanza na ndiko tulipo kwa kutumia technology unaweza kila siku ukawa unaenda hotel ukachukua meza na vinywaji then ukatoa tech solution kwa mtu popote alipo na delivarable zikakufanya upate hela kwenye account ya kampuni bila kulazimika kuwa na ghorofa kama ofisi.

Ila kama sisi tumezoea kampuni mpaka iwe na watu wengi ndio iwe kampuni na ina jengo lake au la kukodi, kumbe kwa sasa mtu anaweza kuwa na kampuni na akapata kazi kwa ku-negotiate deal then akatoa sub-contacts kwa technical companies na kila mmoja akapata chake na maisha yakasonga.

AZAM Media waulizwe, wanapata deliverables toka kwa huyo mtasha as per makualiano, jibu kama ni ndio basi muandishi wa makala inabidi apate training ya namna ambavyo hata sasa Tanzania, unaweza ukasajili kampuni kwa kuanzia biashara nyumbani kwako say (car park) na ukapata usajili BRELA, TIN maadam umelipia pango na leseni ya biashara na kama ni kazi za uhasibu au IT, unaweza kupiga kazi tokea hapo na ukipata za kutosha ni either uajiri staff uwe na offuce address au baadae ukawa unatoa sub-contracts na kama deliverables zinakuwa realized, basi maisha yanasonga.
 
HUYU mtoa mada ni mshindani wake katika hiyo biashara ya installation, sasa anataka kumualibia. Kama amepewa kazi Azam na ZBC na ame deliver sasa tatizo lipo wapi eti ofisi Dubai.
 
HUYU mtoa mada ni mshindani wake katika hiyo biashara ya installation, sasa anataka kumualibia. Kama amepewa kazi Azam na ZBC na ame deliver sasa tatizo lipo wapi eti ofisi Dubai.
Umesoma na kuelewa au ndio wale 70% ambao JK alisema ni mbumbumbu, bendera fuata upepo?
 
😈😈😈😈😈😈
 
Ni wivu tu,mtu alipwe mabilioni yote hayo ashindwe kulipia pango la ofisi dubai kweli,lingine kazi inafanyika haifanyiki,kazi za IT na telecom haziitaji kuwa na lijiofisi kuuubwa ni akili tu na watu basi
Ofs anauza uchi huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…