Dunia ijadili chanzo cha ugaidi sio matokeo yake

Dunia ijadili chanzo cha ugaidi sio matokeo yake

Tujadili nini wakati inajulikana wazi? wanajaribu kujificha kwenye mgongo wa dhuluma, kumbe ni msingi wa dini yao kuua watu. Kitendo cha kumwaga damu ni kutoa kafara kwa mashetani. Hao hao walioanzisha hivi vikundi ndio waliowaletea hiyo dini wanayoabudu. Waafrica ndo wahanga wakubwa maana hii mi mtu inaamini tu kwa kuhubiriwa ndo maana hata maandiko yao wamekatazwa kutafasiri..nyambafu kabisa!
 
First of all,you have to define terrorism properly,


What is terrorism???Who is a terrorist??

What is islam??Who is Muslim??What does islam say concerning terrorism??


You have to define it properly,


Who started the first world war??muslims??

Who started the second world war??muslims??

Who killed about 20 milions of Aborigines in Australia?muslims??

Who sent the nuclear bombs of hiroshima and nagasaki??muslims??

Killed more than 100 millions of indians in north america?muslims??

Who killed more than 50 millions of indians in south america?muslims??

Who took more than 180 millions of african people as slaves and 88% of them died and were thrown in Atlantic ocean?muslims??

Who is fighiting the war with the lord resistance army in uganda??muslims??

NO,NOT MUSLIMS...!!

So,you have to define terrorism properly,

If a non muslim does something bad,it is crime,but if a muslim commits the same is a terrorist...

Hahaaaa mkuu nimeipenda hii basi tubadili jina tusiite ugaidi bali jihad!! swali la kizushi mkuu kwa nini uisilam especially madrasa unafundisha vitu vibaya na si upendo? kulipiza kisasi na si kusamehe!!
 
Osama ni nadharia iliyotengenezwa na Mmarekani kuteleza hujuma zake dhidi ya uislamu.

Napata shida sana kwa mtu kama wewe... you dont make sense at all ... hivi bado unaamini kuwa osama alitumwa na marekani?
 
Terrorists hata siku moja hawawezi kukosa sababu ya kufanya ugaidi... shetani ni shetani tu,hata umpe nini itabaki kuwa shetani tu ... terrorism is an evil spirit,no way you can negotiate with devil ...
 
Wewe uwelewa wako sijuwi niseme mdogo kuhusu ugaidi! Au unajuwa ila unapotosha ukweli,kwanza gaidi ni mtu yeyote yule anayepinga dhulma au kudhulumiwa,kunyanyaswa,kukandamizwa,na kupinga sheria ya masuper power wa ulimwengu ikiwemo maricani,uk,mgerman,mfaransa, wewe tayari unaitwa gaidi sas usilamu unapinga dhuluma,kudhulumu,kudhulumiwa,kukandamizwa,kunyanyaswa,kuonewa,kufuata sheria isiyo ya kisilamuu na ndiyo maana utakuta kuta karibia asimia95% ya hao wanaoitwa magaidi ni wasilamu kwasababu usilamu unapinga mambo hayo niliyo tangulia kuyaeleza,navilevile usilamu unafundisha ukiona uovo inakupasa uondowe kwa mkono ukishindwa usemehadharani,kama anavyofanya ponda,na mwisho uchukie moyoni nahiyo ni imani dhaifu hiyo ya kuchukia,navilevile wasilamu wamefundishwa kulipa kisasi ukiuawa musilam na nyinyi muuwe hiyo dini na ndiyo mafundisho yake,ukubali ukatae ndiyo ukweli huo.
 
Napata shida sana kwa mtu kama wewe... you dont make sense at all ... hivi bado unaamini kuwa osama alitumwa na marekani?


Hatari sana,yan ina maana we huujui uhusiano uliokawepo baina ya osama na marekani??

Hujui kwamba washawahi fanya kazi pamoja??hujui ya kwamba mafunzo yale kwa kias kikubwa alipatiwa na wamarekani??

Yan unamshangaa mwenzako ili hali mtu anaepaswa kuwa anashangaza ni wewe??kaazi kweli kweli
 
Huko Iraqi, Afganistani na Pakistani zote ni nchi za kiislamu, lakini inakuwaje wanalipuana misikitini kila kukicha, wanadai haki kwa nani? Mwl. JKN alipata kusema "...ukimbagua mwenzako,... dhambi ya ubaguzi haita kuacha, itakutafuna tu...!" He was VERY CORRECT-RIP Mwl. JKN.
Nakuheshimu binafsi my countryman, Tafadhali nipe mfano mwingine kuliko huyo ulonitajia!!
Sasa nikujuze IRAQ ni nchi ya pili duniani kutoa Mafuta, Iraqi ni yenye utajiri wa historiya MaIraqi wengi ni Wasomi/Scientist na ni nchi Tajiri.....! Watu wake ni Majabri na wenye nguvu (NGUVU)
Afghanistan Sasa hivi imekanyaga ardhi yenye reserve mafuta ipatyo 300 trillions sqmtr. baki ya popa, nchi yenye historiya ya kutotawaliwa wala kuhukumiwa, watu wake ni wenye NGUVU.
Sasa mkuu piga hesabu zako halafu weka jawabu =

Ona shida ya mifumuko ya bei na upandaji juu wa bei za petroli/diesel maisha kuwa ghali Duniani hiyo yote ni sababu za nchi mbili hizi ......,!!
Mkuu jipangee ujue Udini, ubaguzi haujana leo wala jana hata katika familiya na ukoo mambo haya yapo full-kudhulumiana.
kila la heri na jioni njema.
 
umenena vyema, naongezea sio imani tu, ugaidi ni zao la dhulma na uonevu.
Hebu jiulize, mtu akiwauwa wazazi wako, kakufanya mkimbizi ndani ya nchi yako, kabomo nyumba, shule ulokuwa unasoma, kawajeruhi nduguzo kawaacha vilema.
Maisha yako yote kayavuruga, je utaona manufaa ya kuendelea kuwa hapa duniani?
Utasita kumfanya lolote upatapo nafasi?

Si mpaka umpate huyo aliyefanya hivyo? ukifanya wazimu na kuwaua wengine ovyo ovyo kwa kisingizio hicho ndio sahihi? Ingekuwa dunia yote inanyanyuka kulipa visasi vya namna hiyo kungekuwa na maisha kweli hapa duniani? kila mtu asimame katikati na shortgun au silaha yoyote aanze kuiachia kisa ameudhiwa na wengine sijui wapi, au anadhulumiwa- una uhakika baada ya madhara unachokiita haki utakuwa umeipata?
 
Tena huyo Sheikh Rogo walimchelewesha,ni kama yule wa kwetu ambaye anapreach hatred kwenye Utube,kuua mapadre au maaskofu.
Nawasifu Jews huwa,wana get rid hawa vilaza mapema sana.
Mh.Uchwara upo buheri, Kweli baada ya maoni yako juu Mkuu Suali Moja tu??? Kwa hivyo walovyoamkia Shabab hapo NBR ni sawaaa?
Au ni visasi vya jadi? (ujue vijana nao walijikusanya kutoka kila kona duniani kuja kulipa visasi) !!
 
Si mpaka umpate huyo aliyefanya hivyo? ukifanya wazimu na kuwaua wengine ovyo ovyo kwa kisingizio hicho ndio sahihi? Ingekuwa dunia yote inanyanyuka kulipa visasi vya namna hiyo kungekuwa na maisha kweli hapa duniani? kila mtu asimame katikati na shortgun au silaha yoyote aanze kuiachia kisa ameudhiwa na wengine sijui wapi, au anadhulumiwa- una uhakika baada ya madhara unachokiita haki utakuwa umeipata?
Mpendwa Monyi. haya yanayotokea Kenya v/s Somalia ni Historiya yao!! (ujue vijana nao walijikusanya kutoka kila kona duniani pembe zote kuja kulipa visasi) Tujiandae kesho Jeshi la kenya litavamia makambi na miji ya wasomali... halafu baada ya miaka nao watarejesha malipo. Big surprise!
 
Hatari sana,yan ina maana we huujui uhusiano uliokawepo baina ya osama na marekani??

Hujui kwamba washawahi fanya kazi pamoja??hujui ya kwamba mafunzo yale kwa kias kikubwa alipatiwa na wamarekani??

Yan unamshangaa mwenzako ili hali mtu anaepaswa kuwa anashangaza ni wewe??kaazi kweli kweli
Mkuu, inasikitisha kuwa jamaa wengi humu hawajui historia ya OBL.!!
 
Ugaidi ni zao la dhuluma yeyote atakae dhulumiwa,kukandamizwa,kunyanyaswa,kuonewa kupngiwa sheria na kiumbe mwenzake isiyo kuwa ya mungu wala maslahi kwake,mtu haoni sababu yakuendelea kuishi kwenye hali hiyo,dunia kwake siyo mahali salama,tena, lazima awe gaidi kwahiyo ugaidi utaisha baada walimwengu kuacha kudhulumiana,kukandamizana,kunyanyasana
 
wewe utakuwa umelaaniwa, hivi unachoshabikia hapa ni nini? Kumbuka hao watekaji nao hata kama wapo hai hadi sasa lakini ni maiti zilizosimama kwani hawatapona kamwe na nashangaa sana kwa hawa watu kukubali kutumika kipumbavu kiasi hiki huku ukijua kabisa kufanya operation kama hiyo ni kujiingiza katika hukumu ya kifo huko kiongozi wao alli mohamed rage akiongea na waandishi wa habari huku anakunywa kahawa. Na wewe kwa akili zako ukitumwa kama hao wenzako unaweza kujitolea kufanya upumbavu kama huo.

**jamani hapo kwenye red huyu jamaa ni ukoo mmoja na ismail aden rage?**

itakuwa mkuu si unaona simba inaenda kigaidi hv
 
Huko Iraqi, Afganistani na Pakistani zote ni nchi za kiislamu, lakini inakuwaje wanalipuana misikitini kila kukicha, wanadai haki kwa nani? Mwl. JKN alipata kusema "...ukimbagua mwenzako,... dhambi ya ubaguzi haita kuacha, itakutafuna tu...!" He was VERY CORRECT-RIP Mwl. JKN.
wanaoishi huko sio wote ni waislamu. Usione wameripuriwa watu misikitini bhas ujue ni muislamu karipua
 
Chanzo cha ugaidi ni zaidi ya Ukristo na Uislamu, Dini zote mbili zilikuwepo zaidi ya miaka 400 nyuma, kwanini ugaidi ukithiri leo na siyo 1940's? Kenya(Wakristo) na Somalia(waislam) walikuwa majirani kwa siku nyingi wakiuziana mirungi kwa amani, kwanini wauwane leo? Kumetokea nini leo ambacho juzi hakikuwepo? Kudai ukristo na uislam ndicho chanzo ni hoja nyepesi hizo. Hebu tutafute chanzo halisi
 
Chanzo cha ugaidi ni zaidi ya Ukristo na Uislamu, Dini zote mbili zilikuwepo zaidi ya miaka 400 nyuma, kwanini ugaidi ukithiri leo na siyo 1940's? Kenya(Wakristo) na Somalia(waislam) walikuwa majirani kwa siku nyingi wakiuziana mirungi kwa amani, kwanini wauwane leo? Kumetokea nini leo ambacho juzi hakikuwepo? Kudai ukristo na uislam ndicho chanzo ni hoja nyepesi hizo. Hebu tutafute chanzo halisi

Majirani hawa wanaUhasamawa jadi na wa miaka mingi, tangu Kenya Mzee jomo.K na kabla waSomali wanadai ardhi yao ilichukuliwa na wakenya enzi hizo. Usidanganyike kuwa wanauziana miraa hapo hakuna usalama wala Amani kuna visasi na Visasi haswa.... pia ujue kuna WaSomali wa Kenya na Mashtaa wa hukhujo somalia. "hapo ngoma nzito" tusubiri Part 2...
 
Nashawishika kuamini unachokisema, lakini napata shida sana kwa sababu zifuatazo,
1.Kwanini hawa washukiwa wa ugaidi wanaoonekana kuwa mobilised sehemu mbali mbali duniani?
2.Kuwepo kwa taarifu toka kwa wachache waliosalimika ndani ya Mall kuwa waliachiwa baada ya kugundulika kuwa ni waislamu?
Pamoja na kuwa unajaribu kuondoa dhana ya udini lakini bado mzunguko unarudi palepale.
Wakati vita inaendelea nchini Somalia, mataifa ya magharibi yamechukua wakimbizi kuwapatia makazi ya kudumu.


Nchi zilizofanya hivyo ni kama Norway, USA, Sweden n.k.

Vijana wanaopelekwa huko wanapata elimu ambayo ni ya juu.

Hata hivyo wanakuwa ‘brain washed’ na kurubuniwa ili wajiunge na makundi kama Alshabaab.


Kwa mtazamo huo itaonekana wanakuwa mobilized duniani, ukweli ni kuwa wanatumia fursa walizopewa kwa njia mbaya ikiwa ni pamoja na hati za kusafiria.


Nimesema kuwa Alshabaab kama walivyo makundi mengine ni rahisi sana kutumia mwamvuli wa dini ili kupata sympathy. Mfano, kumuuliza mtu mke wa mwisho wa mtume ni nani haimaniishi kuwa atakayejibu ni mwislam.

Lazima watu watambue tofauti kati ya Uislam au Ukristo na mwislam au mkristo.


Dhana ya udini haipo bali inapandikizwa ili kujenga mazingira ya sympathy. Kwa msingi huo leo tuna watu wanaogopa kusema huu ni uovu kwasababu muovu amejinasabisha na dini na kuteka hisia na akili zao.



 
Watu wetu wengi wasio na hatia wanapoteza maisha na viungo vyao kutokana na ugaidi, hii inauma, lakini inauma zaidi kuona dunia iko kimya kujadili chanzo halisi cha ugaidi duniani, badala yake tunalia na matokeo ya ugaidi tu. Hii ni ngoma ya 'do me do you', kama Marekani yenye nguvu ilishindwa vibaya huko Somalia enzi zile, je, Kenya? al-shababu na 'magaidi' watasambaratisha maisha yetu na chumi zetu tusipokuwa waangalifu na ugaidi. Tunacheza ngoma tusizozijua vema. kenya ondoka Kenya, vinginevyo uchumi wako utasambaratika kabisa kama Uchumi wa marekani unavyoyumba sasa kwa kuwasaka magaidi duniani.

Kwanini chanzo cha ugaidi hakisemwi huko the Huge?

???????
 
Back
Top Bottom